Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mkurugenzi Idara ya Habari Assah Mwambene atoa ufafanuzi juu ya tuzo ya Muungano aliyopewa Jaji Joseph Sinde Warioba.

$
0
0
Mkurugenzi  wa Idara  ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene amesema Jaji Joseph Warioba alitunukiwa tuzo ya muungano iliyotukuka  kwa kuwa alistahili kupewa kama viongozi wengine na  kuwa kitendo  hicho si kumkejeli kama baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti  hivi karibuni.  Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi huyo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu  suala hilo katika  

Taswira za mkutano wa UKAWA katika viwanja vya Kibanda Maiti mjini Unguja, Zanzibar

$
0
0
Viongozi wa Wajumbe wa kundi la UKAWA (Umoja wa Katiba ya Wananchi) ndani ya Bunge Malaum la Katiba, wamehutubia maelfu ya watu waliohudhuria mkutano wao katika viwanja vya Kibanda Maiti mjini Unguja, Zanzibar jioni ya leo.  Kwa mujibu wa Katibu wa UKAWA ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CUF Tanzania Bara, Julius Mtatiro, kesho mkutano mwingine wa UKAWA unatarajiwa kufanyika Pemba kabla

Wema Sepetu na Diamond wanaswa wakidendeka hadharani....

$
0
0
MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, walijikuta wakionesha upendo wao mbele za watu kwa kudendeka  barabarani... Ishu hiyo ambayo wapendanao wengi huifanya kwa faragha, ilijiri hivi karibuni maeneo ya Bamaga- Mwenge jijini Dar es Salaam...   ILIVYOKUWA Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo,

Waziri wa fedha: Bajeti ya mwaka 2014/ 2015 ni sh. 19.6 Trilioni....Matumizi kuzingatia mfumo wa matokeo makubwa sasa, kipaumbele ni kilimo, Elimu, Maji,Nishati na miundombinu

$
0
0
Serikali imetoa mwelekeo wa Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2014/15 kuwa ni Sh19.6 trilioni, ikilinganishwa na Sh18.2 za Bajeti iliyopita.    Vipaumbele vya Bajeti hiyo ni kuendeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano ulioanza mwaka 2011 na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ambao unajumuisha maeneo sita ya kitaifa ya kilimo,

Rais Kikwete kuhutubia wafanyakazi leo katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi)...Tucta yalilia mishahara

$
0
0
Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kuhutubia wafanyakazi katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), limeitaka Serikali kupandisha kima cha chini hadi kufikia Sh750,000.    Katibu Mkuu wa Tucta, Nicolas Mgaya alisema jana kuwa

Magazeti ya leo tarehe 1 May 2014

$
0
0
Magazeti  ya  leo  tarehe  1 May  2014 <!-- adsense -->

Gari la Mbowe lakamatwa nchini Kenya likihisiwa kuhusika na UGA*DI nchini humo.....Gari hilo lilikuwa na namba mbili, STK na KUB...Polisi Kenya yamsubiri Mbowe kwa mahojiano

$
0
0
GARI la Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, limekamatwa na kuendelea kushikiliwa mjini Mombasa nchini Kenya, kutokana na kuwa na namba mbili.   Taarifa za  jana  kutoka Kenya  zilieleza kuwa polisi nchini Kenya walipata taarifa za kuwepo kwa gari hilo na watu ambao walionekana kutokuwa na kazi maalumu.   Baada ya kupata taarifa hizo, Polisi hao walio katika msako wa

Sherehe za Mei mosi jijini Mwanza:....Wafanyakazi waomba kodi ipunguzwe

$
0
0
Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo yalihitimishwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba.  Wafanyakazi wa Mkemia Mkuu wa Serikali wakiingia uwanjani CCM Kirumba Mwanza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza .

Ray afunguka: "Msiniingilie maisha yangu ya Mapenzi...Mbona ninyi mnafanya uzinzi na hakuna anayewasema?"

$
0
0
Msanii  wa  filau, Vicent  Kigosi  "Ray"   amesema  kuwa  anashindwa  kuelewa  ni  kwa  nini  baadhi  ya  wanawake  wamekuwa  wakishabikia  mahusiano  yake  wakati  yeye  hana  habari  nao  wala  hajawahi  kufuatilia  mambo  yao.... Alisema  kuwa  kutokana  na  hilo  sasa  anaamua  kufanya  mambo  yake  kimya kimyan  kwani  baadhi  ya  wasanii  wa  kike  wamekuwa  na  tabia  ya  kuingilia

Lulu Michael ashambuliwa baada ya kupost mtandaoni picha ya Rihanna akiwa nusu uchi

$
0
0
Muigizaji wa bongo movies Elizabeth ‘Lulu’ Michael ambaye huonesha wazi jinsi anavyompenda Rihanna na hata kupozi kwenye jarida la VibeTz kama Rihanna kwenye jarida la GQ, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kupost picha   ya  nusu  uchi  ya mwimbaji huyo kwenye Instagram.   April 29  Lulu alipost picha ya Rihanna aliyekava jarida la Lui akiwa amepozi na ameacha maziwa yake wazi

Picha: Victoria Kimani akianika kifua chake kisiwani Mbudya

$
0
0
  Victoria Kimani aliamua kuyafaidi maji ya bahari ya Hindi kisiwani Mbudya, Dar es Salaam kwa kuyaoga bila kuvaa kitu chochote cha kusitiri mat*ti maziwa yake na kwakuwa Mungu kamjalia ‘bo***bs’ za kuvutia kama za Katy Perry, ilikuwa burudani tu kwa waliomshuhudia. <!-- adsense -->

Ray C akanusha kurudiana na Mwisho Mwampamba ‘he is happily married, am single and happy’

$
0
0
Rehema Charamila aka Ray C amekanusha kilichoandikwa na gazeti la Visa kuwa amerudiana na aliyewahi kuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa mara mbili Mwisho Mwampamba. Wawili hao waliwahi kuwa na uhusiano miaka kadhaa iliyopita. Kupitia Instagram Ray C ameandika: Sijamuona Mwisho na Kama mwaka wa Sita huu!!!udaku Mwingine umezidi kwakweli sipendi……..He is

Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 2 April 2014

$
0
0
                          Magazeti  ya  leo  Jumanne  ya  tarehe  2  April  2014

Kajala amcharukia Wema Sepetu......Asema hana mpango wa kumlipa zile milioni 13 alizotoa Wema Sepetu Mahakamani, aeleza mambo mazito

$
0
0
Zile shilingi milioni 13 alizolipa staa mkubwa wa kike Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ mahakamani ili kumnusuru Kajala Masanja kwenda gerezani, zinaendelea kusababisha fukuto na sasa Kajala amejibu mapigo, akisema hatamlipa Wema fedha hizo. Wema na Kajala wapo kwenye gogoro zito kwa muda mrefu huku mashabiki wa mastaa hao waliojipa majina ya Team Wema (wanaomuunga mkono

UKAWA waendelea na Kampeni yao Pemba

$
0
0
Kiongozi wa UKAWA Freeman Mbowe, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Gombani ya Kale, Chake Chake Pemba. Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Gombani ya Kale, Chake Chake Pemba. Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Gombani ya Kale

Rais Kikwete awataka wabunge kuhakikisha katiba inapatikana ndani ya siku 60 alizowaongeza....Asisitiza ikishindakana basi

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete, amesema iwapo siku 60 za nyongeza zitakwisha bila wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kufikia maridhiano na kupata Katiba mpya, hakutakuwa na nyongeza nyingine ya muda. Rais Kikwete aliyasema hayo jana wakati akihutubia maelfu ya wafanyakazi katika sikuku ya Mei Mosi ambazo Kitaifa zilifanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Rais Kikwete alisema hadi

Hii ni video nyingine toka Kenya iliyofungiwa kuchezwa kwenye TV kutokana na kukiuka maadili

$
0
0
Mpaka sasa video hii imetazamwa zaidi ya mara laki moja na elfu 30 kwenye mtandao wa Youtube toka ianze kuonyeshwa April 29 2014 ikiwa ni video ya kipekee na ya kiwango kingine cha juu tofauti na ilivyozoeleka kwa Sauti Sol.    Mtandao wa Kenya ghafla.co.ke umeripoti kwamba imefahamika video hii imezuiwa kuchezwa kwenye TV stations mbalimbali za Kenya kwa sababu imevunja maadili.  

Jack Wolper arudisha penzi kwa Ali Kiba

$
0
0
  "Hakuna  kitu  kama  hicho, hayo  ni  maneno  tu  ya  watu.Mimi  na  Ali Kiba  ni  kama  dada  na  kaka, hakuna  linaloendelea.Kifupi  ni  kwamba  huyo  Kiba  mwenyewe  sijaonana  nae  muda  mrefu  sana" Huo  ni  utetezi  wa  Wolper  baada  ya  madai  kwamba  wamerudisha  penzi  lao  lililokufa  miaka  mingi  iliyopita  na  kwamba  wawili  hao  hivi  sasa  wamekuwa  wakikutana  kwa  siri 

Matukio katika picha Diamond Platnumz akiwasili Mtwara kwa burudani kali jioni ya leo.

$
0
0
        Matukio katika picha Diamond Platnumz akiwasili Mtwara kwa burudani kali jioni ya leo. <!-- adsense -->

Ndoa ya Aunt Ezekiel Chali....Mume atupwa Jela, Aunt aponda raha....Yadaiwa Aunt haimuumi mumewe kuwa ndani

$
0
0
Habari za mjini zinadai kuwa, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel yuko Dubai akiponda raha huku mumewe, Sunday Demonte akidaiwa kuwa jela jijini Abu Dhabi katika nchi za Falme za Kiarabu (UAE).    Awali, ilidaiwa kuwa, Aunt aliondoka  Bongo kwenda Dubai kuungana na mumewe katika ndoa, lakini vyanzo vya karibu vikahoji mumewe yupi? Mbona yuko jela baada ya kudakwa kwa kuishi kinyume cha
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images