Rais Mstaafu wa Namibia Sam Nujoma
akisalimiana na Dkt. Harisson Mwakyembe alipowasili Kwa ajili ya sherehe
za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania
Rais wa Lesotho Mfalme Letsie 111
akiwasili Kwa ajili ya sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania
kushoto ni Waziri wa Kilimo Christopher Chiza
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mizengo Pinda akiwasili uwanjani Kwa ajili
Viongozi wa Nchi mbalimbali wawasili Nchini Kwa ajili ya Maadhimisho ya sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania.
↧
↧
"Muungano unawanufaisha wananchi, Tuudumishe"....Asema Rais Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa katika matembezi ya pamoja na viongozi wenzake wakati wa mapokezi
ya matembezi ya Kizalendo yaliyofanywa na vijana nchini jana jijini Dar es
Salaam.Mwenye gauni la kitenge ni Mke wa Rais Kikwete Mama Salma Kikwete.
Na
Concilia Niyibitanga na Gogina Misama
Rais
waJamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho
↧
Picha: Sherehe za miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar toka uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wananchi
waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam na
kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali wa ndani na nje ya nchi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la Jeshi la wananchi kwenye sherehe za miaka 50 ya
↧
Baby madaha asimulia jinsi anavyotongozwa na wasanii wenzake wa kike......"Mastaa wengi tu wanasagana, wapo wanaonitaka kwa kila hali"
Baby Madaha akipigana denda na msichana mwenzake Bar.
****
Wakati sakata la kusagana ndani ya mastaa wa bongo movie likiwa bado bichi, Msanii wa muziki na maigizo Baby madaha ameibuka na mapya juu ya mastaa wenye tabia ya usagaji....
Akiongea na mwandishi wetu juzi kati jijini Dar,msanii huyo alisema kuna mlolongo wa wasanii wa kike kwenye
↧
Picha: Askari magereza wakionesha jinsi wanavyopambana na wafungwa wakorofi wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya muungano
'Wafungwa'
wakijifua kupambana na askari Magereza katika moja ya maonesho
yaliyotia fora sana kwenye sherehe za miaka 50 ya Muungano katika Uwanja
wa Taifa jijini Dar es salaam leo
Askari akipambana na 'Mahabusu' aliyeasi
Askari akila sahani moja na 'wafungwa' watatu
Askari anapangua teke....
Kisha anakata zote bee....
Mfungwa hoi...
↧
↧
Picha: Jeshi la wananchi wa Tanzania ( JWTZ ) likionesha ujuzi wake na baadhi ya silaha za kivita wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano
Makombora ya kutungulia ndege za adui yakionyeshwa kwa wananchi.
Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kutoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.
Kikosi
cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kuonyesha uwezo wake katika
mapambano ya Karatee na mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete
Makomandoo hawa wakionyesha uwezo mkubwa wa mapambano na
↧
Magazeti ya leo Jumapili ya tarehe 27 April 2014
↧
Waziri mkuu wa Korea Kusini ajiuzulu kufuatia kuzama kwa ferry iliyosababisha vifo vya watu 187
Waziri mkuu wa Korea Kusini Chung Hong-won amejiuzulu kufuatia kuzama
kwa Ferry ya Sewol iliyokuwa na jumla ya abiria 476 wengi wao wakiwa ni
wanafunzi na walimu, huko pwani ya kusini ya nchi hiyo wiki iliyopita.
“vilio vya familia za wale ambao bado hawajaonekana vinanikosesha usingizi usiku” alisema Chung Hong-won.
Maafisa wa Korea Kusini wamethibitisha jumla ya watu 187
↧
Picha: ...Papa Francis awatangaza Mapapa John XXIII na John Paul II watakatifu
Mapapa wa zamani, John XXIII na John Paul II wametangazwa watakatifu
Jumapili hii na Papa Francis hafla iliyoshuhudiwa na umati mkubwa wa
waumini wa kanisa katoliki kwenye viwanja vya St. Peter’s Square, jijini
Vatican.
Waumini wa kanisa katoliki wakifuatilia sherehe za kutangazwa watakatifu mapapa John XXIII na John Paul II
Mamilioni ya watu wengine duniani wameangalia kupitia
↧
↧
Diamond anatafutwa China.....Aliyejifanya dansa wake adakwa na madawa ya kulevya kama Jack Patrick, ni katika uwanja uleule wa ndege akiwa na shehena ya Unga
STAA wa muziki wa bongo fleva nchini, Abdul Nassib "Diamond" ametakiwa kutokanyaga kabisa nchini China na kwamba akitokeza pua yake nchini humo asahau kabisa kurudi uraiani...
Hiyo inafuatia kijana mmoja mtanzania kukamatwa wiki iliyopita uwanja wa ndege wa Macau China na kudai kuwa yeye ni mcheza shoo wa mwanamuziki Diamond kutoka Tanzania
↧
Rais Kikwete azindua rasimi kituo cha magonjwa ya moyo Muhimbili.....
Rais
Jakaya Kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto waliofanyiwa
upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya
Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi jana April 27, 2014
Rais Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama
tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi
(kushoto) wakioneshwa moja ya vifaa vya kisasa vya kuchunguzia
↧
Rais Kikwete atoa msamaha kwa wafungwa 3,967 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho miaka 50 ya Muungano wa Tanzania
RAIS Jakaya Kikwete, ametoa msamaha kwa wafungwa 3,967 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho miaka 50 ya Muungano wa Tanzania.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, Rais ametoa msamaha kwa wafungwa kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya ibara ya 45 (1) (d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
↧
Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unatatizo la kufika kileleni mapema?....Bofya hapa ukutane na maajabu ya korodani za mbuzi na kuku na dawa ya Jiko katika kutibu tatizo hilo
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha.
Tatizo hili linawakabili mamilioni ya wanaume duniani na limekuwa na
athari nyingi kama vile kuvunjika kwa mahusiano na hata ndoa.
Mwanaume mwenye tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume anakuwa
hana uwezo wa kumtosheleza mwanamke kwenye tendo la ndoa.
↧
↧
Mwanafunzi wa chuo afariki katika chumba cha boyfriend wake akijaribu kutoa mimba
Mwanafunzi wa Eden Hilling College aliyetajwa kwa jina la
Atu Gabriel amefariki akidaiwa kujaribu kutoa mimba kwa kunywa vidonge.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani (RPC), Orech Mtei, katika kuthibitisha kutokea kwa tukio hilo, alisema
Jumamosi April 26 mwili wa Atu ulikutwa katika chumba cha mwanaume
aliyefahamika kwa jina la Hafidhi ambaye anadaiwa kuwa mpenzi wake.
Kamanda
↧
Profesa J adai Diamond alilia machozi wakati anafanya chorus ‘Kipi Sijasikia’
Profesa J amesema Diamond Platnumz, alilia machozi wakati anafanya chorus ya wimbo wake ‘Kipi Sijasikia’
Rapper huyo alikiambia kipindi cha Sunrise cha Times FM kuwa wakati
Diamond anarekodi chorus hiyo yeye na Majani walishangaa kumuona
hitmaker huyo wa ‘My Number One’ akibubijikwa na machozi ndani ya
‘booth’.
“Lakini kilichotushangaza alipoingia booth ili arekodi chorus Diamond
↧
Rais Kikwete akabidhi Vitabu 2,181 kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo katika Ikulu ya Dar es Salaam
amekabidhi vitabu 2,181 kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa ajili ya vyuo
vya Jeshi ili kuongeza taaluma.
Rais amekabidhi vitabu hivyo kwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na
kuahidi kuendelea kutafuta vitabu zaidi kwa ajili ya kuboresha Maktaba ya Jeshi
iliyopo katika Chuo Cha Kijeshi kilichopo Monduli, Mkoani
↧
Shilole ajisifu kuwapiga vibuti wanaume......"katika uhusiano wa kimapenzi sijawahi kuachwa bali huwa naacha mwenyewe"
STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed
‘Shilole’ amefunguka kuwa katika uhusiano wa kimapenzi hajawahi kuachwa
bali huwa anaacha mwenyewe.
Akistorisha na mwanahabari wetu, Shilole alisema tangu aanze kuwa na
uhusiano, amekuwa bingwa wa kupiga ‘vibuti’ wanaume ambao hawaeleweki.
“Ukweli sijui nina nini ila naamini Mungu amenipa kitu cha pekee kwa
sababu naweza
↧
↧
Majambazi yahukumiwa kifungo cha miaka 270 Jela wilayani Chunya mkoani Mbeya
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Chunya mwishoni mwa wiki
iliwahukumu watu tisa kwenda jela jumla kwa miaka 270 baada ya
kupatikana na hatia ya wizi wa kutumia silaha.
Washtakiwa hao ni Samweli Sarehe (40), Bahati
Kenson (29), Aulesi Andason (28) na Ayubu Swila (24), wote wakazi wa
Mbalizi Wilaya ya Mbeya Vijijini.
Wengine ni Mathias Simfukwe (31), Pascal Simchimba
(27) wote
↧
Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 29 April 2014
↧
Basi la Sumry (Kigoma-Dar) laua watu 14 papo hapo usiku wa kuamkia leo maeneo ya Ikungi mkoani Singida
WATU 13
aiwemo askari wa kikosi cha usalama barabarani wamepoteza maisha baada
ya kugongwa na basi la kampuni ya Sumry lililokuwa likitoka Kigoma
kwenda Dar katika kijiji cha Ikungi mkoani Singida usiku wa kuamkia leo.
Ajali hiyo
ilitokea baada ya ajali ya kwanza iliyolihusisha lori lililomgonga
mwendesha baiskeli aliyepoteza maisha papo hapo na wakati wananchi
wakiwa
↧
More Pages to Explore .....