Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Idadi ya Wagonjwa waliopandikizwa Figo Hospitali ya Taifa Muhimbili yafikia 19

0
0
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inaendelea kutoa huduma ya kupandikiza figo ambapo hadi hivi sasa tayari wagonjwa 19 wamenufaika na huduma hiyo tangu ilipoanzishwa kwa mara ya kwanza hapa nchini  Novemba mwaka 2017.

Utoaji wa huduma hiyo ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambayo ili elekeza kuweka mipango thabiti ya kupunguza rufaa za wagonjwa kwenda nje ya nchi kwa ajili ya matibabu ambayo yalikuwa hayatolewi hapa nchini ama kutokana na wataalam wa kutoa huduma hizo au vifaa vya uchunguzi.

Taarifa hiyo imetolewa  jana na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Hedwiga Swai alipokua akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Prof. Lawrence Museru kuhusu  upandikizaji figo.

“Tunapenda kuwafahamisha kuwa wagonjwa wote tuliowapandikiza figo pamoja na ndugu zao waliojitolea figo wanaendelea vizuri na shughuli zao kama kawaida. Hii inaonesha ni kwa kiwango gani huduma hii imefanikiwa tangu ilipoanzishwa Novemba mwaka jana ”. alisema Dkt Swai.

Akifafanua alisema zoezi hilo la upandikizaji  figo limeshirikisha wataalamu wazalendo toka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Hospitali ya BLK, Taasisi ya Saifee iliyopo Mumbai India pamoja na Hospitali ya kimataifa ya Sakra ya nchini India.

“Tunapenda kuwataarifu kuwa katika kutoa huduma hii, tayari wataalamu wetu wa ndani hususani Madaktari bingwa wa upasuaji wamepata ujuzi wa kufanya upandikizaji wenyewe kwa kiwango cha asilimia 75 huku asilimia 25 wakielekezwa na wataalamu kutoka nje. 

"Hii ni hatua kubwa sana katika kuongeza ujuzi wa kutoa huduma hiyo. Maeneo mengine tayari wamefikia asilimia 100 hususani wauguzi wa vyumba vya upasuaji, Madaktari bingwa wa tiba ya magonjwa ya figo (Nephrologists), wataalam wa vipimo vya maabara na Radiolojia."

Kwa mujibu wa Dkt. Swai MNH  itaendelea kufanya upasuaji kwa wagonjwa watano kila mwezi ikiwa ni mpango  wa muda mfupi katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu kuanzia sasa ambapo mpango wa muda mrefu  ni kufanya upasuaji kwa mgonjwa mmoja kila siku sawa na wagonjwa 20 kwa mwezi ambapo watakuwa wagonjwa 200 hadi 240 kwa mwaka.

Kwa upande wake Daktari bingwa wa magonjwa ya figo Hospitali ya Taifa Muhimbili Onesmo Kisanga alisema utafiti uliofanyika Kaskazini mwa Tanzania unaonesha kwamba asilimia 6.8 wana matatizo ya ugonjwa wa figo. 

Hivyo amewashauri Watanzania kupima afya zao angalau mara moja kwa mwaka na kuepuka matumizi mabaya ya dawa bila ushauri wa Daktari ili kuepuka magonjwa hayo.


Je Wewe ni Mwanasiasa, Mfanyabiashara.?...... Tunazo dawa na PETE za bahati Zenye Uwezo wa Kubadili Maisha Yako

0
0
Je Wewe ni Mwanasiasa, Mfanyabiashara,M saniiwa Maigizo, Mwanamziki, ama mwanafunzi tunazo Dawa na PETE za Bahati zenye uwezo mkubwawakuyabadilisha maisha yako nakukupatia mafanikio makubwa ndani ya mda mfupi tu. 
Kutana na Chief MAKATA.Yeye ni mtaalam na mtabibu wa nyota zab inadam na bingwa wa tiba za asili Afrikam ashariki. Wasiliana na mtaalam huyu kwani yeye ufaulu pale wote waliko shindwa na pia humaliza kazi zilizo shindikana ama zilizo achwa ndani ya siku1 tu. chief MAKATA  ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOPIGA SIMU ZA SHUKRANI NA KUTOASHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO SAIDIA-  Chief Sasa amezianza ziara zake za mikoani na atayatembelea maeneo mbali mbali ndani na inje ya nchi. 
Anatibu magonjwa sugu yanaojulikana nayasiojulikana kwakutumia QUR_AN MAJI , KIOO MAJINI NA MITISHAMBA.
Anazo dawa za mapenzi( Mpigie Simu sasa Hivi Ujionee Muujiza wa Papo Anauwezo wa Kurudisha Mahusiano yako na Kuimarisha NDOA Ndani ya saa 12 tu LIMBWATA) kumrudishaa alipote, kutoa Mikosi, Kutatuwa shida za chumaulete, mvuto wa biashara na sehem za kazi, kusafisha nyota, kurudisha mali zilizo ibiwa, zilizpotea, ama zilizodhulumiwa, kushika wezi na wachawi, kutoa ndagu, Kutoa kinga ya mwili, nyumba, Biashara, kufukuza majini wabaya, KUUZA kwa haraka (shamba, NYUMA, GARI..), Kesi mahakamani, Kuweka Zindiko ya mwili, nyumba, shamba, Gari, kupata Kazi na kupandishwa cheo, mali naU TAJIRI bila masharti na mengine mengi yaS iri. (Anazo Pia Pochi zisizo kwisha Hela MAGIC WALLET)

Kwa tiba na ushauri wasiliana na ofisi kwa
nambari ya simu
+255 676 014 385
+255 767 202 654 Chief MAKATA

Tanzania Iko Hatarni Mno Kuambukizwa Ebola......Wizara Ya Afya Yatoa ANGALIZO Tena kwa Watanzania Wote

0
0
Manamo tarehe 10/08/2018 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ilitoa taarifa kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) uliotangazwa na shirika la Afya Duniani mnamo tarehe 1/08/2018. 

Katika taarifa hiyo ilielezwa kwamba jumla ya wagonjwa 26 na vifo 10 (CFR = 38.5%) vilitokea katika Nchi ya DRC. Hata hivyo tangu tulivyotoa tamko hadi tarehe 18/08/2018, hali ya ugonjwa imeendelea kwa kasi sana na kufikia wagonjwa 91 na vifo 50 (CFR = 54.9%). 

Aidha wagonjwa hawa wanatokea maeneo matano ya afya (Health zones) katika jimbo la Kivu Kaskazini na eneo jingine moja la Ituri. 

Huu ni mlipuko wa 10 wa ugonjwa wa Ebola kutokea nchini DRC, na umetokea wiki moja tu baada ya nchi hiyo kutangaza kumalizika kwa mlipuko mwingine uliotokea mwezi Mei 2018.
 
Sambamba na takwimu  hizi zilizotolewa na WHO, Wafanyakazi tisa (9) wa Afya wamethibitishwa kuugua ugonjwa huu, huku ikifanya jumla yao kufikia 10 (9 wamethibitika na 1 anafuatiliwa); na hadi sasa mfanyakazi mmoja amepoteza maisha. 

Wafanyakazi hawa wa Afya inaaminika kwamba wamepata ugonjwa huu wakati wakiwahudumia wagonjwa katika Kliniki zao za kawaida na sio zile za kutibia wagonjwa wa Ebola (Ebola Treatment Centres (ETCs), na wengi wao wameambukizwa kabla ya Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) kutangaza mlipuko huu. 

Tumeona ipo haja ya kuongea nanyi leo kutokana na ukweli kuwa Shirika la Afya Duniani (WHO) limefanya tena tathmini ya hatari ya kusambaa kwa ugonjwa wa Ebola nchini DRC na katika nchi zinazopakana  na DRC na kubaini kuwa hatari ya kusambaa kwa ugonjwa huu kwa nchi zilizo jirani na DRC, ikiwemo Tanzania, imeongezeka maradufu na ni “kubwa” (yaani High risk) kutokana na kwamba; eneo lililoathirika la Kivu Kaskazini linapakana na nchi jirani ya Uganda, uwepo wa uhusiano wa wasafiri na wakimbizi wa DRC wanaoingia nchi jiarani za Uganda na Rwanda, na pia machafuko ya kijamii ambayo yameendelea kuchukua muda mrefukwenye  majimbo ya Kivu kaskazini na Ituri na hivyo kutatiza kwa kiwango kikubwa makabiliano dhidi ya ugonjwa huu. 
 
Aidha, eneo hili la sasa ni la karibu na nchi yetu kuliko eneo lingine lolote ambako ugonjwa huu umeshawahi kutokea kwenye nchi ya DRC. 

Hivyo nchi yetu ipo katika hatari ya kuambukizwa ugonjwa huu kutokana na ukaribu na mwingiliano  wa watu, hasa wasafiri wanaotoka na kuingia DRC kuja hapa nchini. 
 
HADI SASA HAKUNA MGONJWA YEYOTE ALIYEHISIWA AU KUTHIBITISHWA KUWA NA VIRUSI VYA EBOLA HAPA NCHINI. 

Hata hivyo kutokana na ukweli kwamba  kuna mwingiliano mkubwa wa wananchi kati ya nchi hizi mbili na ugonjwa huu kugunduliwa kwenye jimbo la Kivu Kaskazini ambalo linapakana na nchi ya Uganda ni ukweli unaotuweka kwenye hali ya wasiwasi mkubwa. 

Hivyo tunasistiza kwamba wanajamii wote ikiwemo wafanyakazi wa sekta ya Afya kuelewa vyema dalili za ugonjwa huu pamoja na kuongeza nguvu katika kufuata kanuni za kuzuia maambukizi katika vituo vya Afya yaani Infection Prevention and Control (IPC) measures. 
 
Wizara inapenda kutoa tahadhari kubwa ya ugonjwa huu kwa Wananchi wote, na katika mikoa yote hasa ile inayopakana na nchi jirani ya DRC ambayo ni Mwanza, Kagera, Kigoma, Katavi, Rukwa na Songwe. 

Aidha, hii haiondoi ukweli kwamba, viwanja vya ndege vya Julius Nyerere (JNIA) cha Dar es Salaam, Kilimajaro (KIA) na Songwe cha Mbeya kuwa vipo katika hatari ya kuweza kuingiza mgonjwa wakati wowote ule. 
 
Kutokana na hali hii, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, kwa kushirikiana na Washirika mbali mbali, ikiwemo WHO, wanafanya juhudi mbalimbali ili kuhakikisha kwamba tunaimarisha ufuatiliaji wa wasafiri wanaopita katika mipaka yetu yote ili kuzuia kuingia kwa ugonjwa huu hapa nchini.  
 
Ugonjwa wa Ebola husababishwa na virusi vya Ebola na mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Ebola hutokea pale binadamu anapogusana na mnyama aliyeathirika na ugonjwa huu kama vile Nyani, Sokwe au Popo. 

Aidha ugonjwa huu huenezwa kutoka kwa binadamu mmoja kwenda kwa binadamu mwingine kwa njia zifuatazo; 
Kugusa damu au majimaji kutoka kwa mtu aliyeambukizwa Virusi vya Ebola 
Kugusa vitu vya mgonjwa wa Ebola, kama vile nguo, shuka au godoro 
Kugusa au kutumia vifaa vilivotumika kwa mgonjwa wa Homa ya Ebola kama sindano 
Kugusa au kuosha maiti ya mtu aliyefariki kwa Ebola 
Kugusa wanyama (mizoga au wanyama hai) walioambukizwa kama vile sokwe na nyani wa msituni Kukutana kimwili na binadamu mwenye maambukizi ya virusi vya Ebola.
 
Aidha tunasisitiza kwamba ugonjwa wa Homa ya Ebola hauenezwi kwa njia ya hewa, maji au chakula. 

Dalili za Ugonjwa 
Dalili za Ugonjwa huanza kuonekana kwa mtu aliyeambukizwa kutoka siku 2 hadi 21 tangu kupata maambukizi ya ugonjwa huu. Dalili hizo ni pamoja na; Homa kali ya ghafla,  Kulegea kwa mwili, Maumivu ya misuli,  Kuumwa kichwa na vidonda kooni.  Mara nyingi dalili hizo hufuatiwa na kutapika, kuharisha, vipele vya ngozi na pia figo na Ini kushindwa kufanya kazi.  Kwa baadhi ya wagonjwa kutokwa na damu nyingi ndani na nje ya mwili. 
 
Namna ya Kujikinga na ugonjwa wa Ebola:
Ugonjwa wa Ebola unaweza kuzuilika. Njia kuu za kujikinga na ugonjwa huu ni kama ifuatavyo:-
Epuka kugusa damu, mkojo, jasho, kinyesi, machozi na majimaji mengine yanayotoka mwilini mwa mgonjwa mwenye dalili za ugonjwa  wa Ebola
Epuka kushughulikia maiti ya mtu aliyefariki kwa dalili za ugonjwa wa Ebola; Aidha unatakiwa kutoa taarifa kwa uongozi wa kituo cha kutolea huduma za Afya kwa ushauri.
Epuka mila na desturi zinazoweza kuchelewesha mgonjwa kupatiwa huduma muhimu za Afya na kupelekea kueneza ugonjwa wa Ebola.
 
Kuzingatia  kanuni za Afya na usafi wa mwili Kutoa taarifa mapema kwa viongozi wa Serikali na kwa wahudumu wa Afya katika ngazi zote pale anapotokea mtu mwenye dalili za ugonjwa wa Ebola. Kuwahi katika vituo vya huduma za Afya pale mtu anapoona dalili za ugonjwa huu.
 
Wizara yangu imeendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kuimarisha uwezo wetu wa utayari katika kukabiliana na ugonjwa huu kwa kuzuia usiingie, na hatua za kuchkua iwapo utaingia hapa nchini.  Hadi sasa Wizara imefanya yafuatayo; 
 
Kufanya tathmini ya utayari wa kukabiliana na ugonjwa wa homa ya Ebola hapa nchini (Operational readiness assessment). Tayari tathmini hiyo imefanyika kwa kushirikiana na WHO kwenye mikoa minane ambayo ni Rukwa, Katavi, Songwe, Mbeya, Kigoma, Kagera, Arusha na Kilimanjaro na kuanisha uwezo uliopo na mapungufu ambayo yanafanyiwa kazi. 
 
Aidha, WAMJW imeajiri wataalamu wapya 33 ili kuongeza nguvu katika mipaka yetu na tayari wamesambazwa kwenye vituo vya mipakani.  
 
Tunaendelea kuimarisha ufuatiliaji wa wasafiri mipakani (Travellers entry screening) kwa kutumia vifaa vya kupima joto (thermo scaners) na fomu maalum za wasafiri wanaoingia nchini, ambapo tayari kupitia MSD imepokea vifaa vyenye thamani ya Bilioni 5 kutoka WHO na vimeshapelekwa  kwenye maeneo husika ikiwa ni pamoja na kupeleka vifaa kinga kwa watumishi wa afya (Personal Protective Equipment, PPE’s) kwenye maeneo yote nchini.  
 
WAMJW kwa kushirikiana na Taasisi ya Udhibiti wa Magonjwa ya Kuambukiza ya Marekani (Centres for Diseases Control, CDC) na Water Reed imenunua “kits” nne za kupima Ebola zenye uwezo wa kupima wagonjwa zaidi ya 400 na hivyo kuiwezesha Maabara ya Taifa na hile ya kanda ya Mbeya kuwa na uwezo mzuri. 
 
Hadi sasa WAMJW ina uwezo wa kupima ugonjwa huu Nchini kwa kutumia maabara ya Taifa Dar es Salaam, Hospitali ya kanda ya MBEYA na KCRI katika Hospitali ya KCMC, Kilimanjaro
 
Mafunzo ya usimamizi wa sampuli yamefanyika kwa Mikoa ya Mwanza, Arusha, Ruvuma, Kilimanjaro, Kigoma na Kagera kwa wiki iliyopita na kupatiwa jumla ya Triple packaging materials 18.
 
Uelimishaji wa umma unaendelea kufanyika kupitia matamko pamoja na matumizi ya vyombo vya habari ikiwemo vile vya kitaifa, vya binafsi, mitandao ya kijamii, vipeperushi na mabango. 
 
WAMJW tayari imeshatoa tahadhari kwa wadau na sekta muhimu wakiwemo TAMISEMI pamoja na mamlaka ya viwanja vya ndege ili kuongeza utayari wa maeneo husika
 
Vilevile Wizara yangu imepanga kufanya yafuatayo
Kuendelea kutoa mafunzo dhidi ya ugonjwa wa Ebola ikiwemo kuwaongezea wataalamu wapatao 80 wa mipakani uwezo wa ufuatliaji na utambuzi wa ugonjwa huu. Mafunzo haya yanaendelea mjini Morogoro 
 
Kutoa mafunzo kwa Timu za dharura na maafa (Rapid Respond Teams) ambayo yanategemewa kuanza mnamo tarehe 27 Agosti 2018 jijini Mwanza. Lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wa jinsi ya kuratibu na kukabiliana na ugonjwa huu endapo utatokea hapa Nchini. Idadi ya wataalam watakao pata mafunzo hayo ni kama ifuatavyo; Mkoa wa Mwanza (15), Kagera (15) na Kigoma (15) ili kujaza nafasi ya mapungufu katika wilaya ambazo ziko katika hatari na bado hazijapata mafunzo haya. 
 
Timu ya Wakurugenzi wa Wizara ikiongozwa na Mganga Mkuu wa serikali itatembelea mikoa ya Kigoma, Kagera na Mwanza. Lengo la ziara hii ni kufuatilia kwa ukaribu utayari wa mikoa hii katika kukabiliana na ugonjwa huu endapo utatokea
 
Kituo chetu cha uratibu wa milipuko ya magonjwa na majanga yaani Public Health Emergency Operation Center (PHEOC) kipo katika utahadhari wa juu (level 1 – High Alert) ili kufuatilia kwa ukaribu ugonjwa huu nchini DRC pamoja na kuratibu utayari wetu Kitaifa na katika ngazi ya Mikoa
Wananchi wanatakiwa kuendelea kuchukua tahadhari na kujikinga na ugonjwa huu, pamoja na kwamba hadi sasa hakuna mtu yeyote aliyeripotiwa  kuugua ugonjwa huu hapa nchini. 
 
Hivyo naelekeza yafuatayo:-
Wakuu wa Mikoa yote, waitishe kikao cha Afya ya msingi (PHC) na kujadili jinsi mikoa yao ilivyojiandaa kukabiliana na ugonjwa huo endapo utaingia kwenye maeneo yao
Wananchi wanatakiwa kutoa taarifa katika ofisi za serikali za mitaa au kijiji au kituo cha kutolea huduma za Afya endapo kutatokea mtu  yeyote mwenye dalilil za ugonjwa wa Ebola
Waganga Wakuu wote wa Mikoa na Wilaya, na hasa wale walioko katika mikoa iliyo katika hatari kubwa zaidi ya maambukizi, wawe macho na makini zaidi katika kusimamia jitihada hizi za Wizara. 
 
Aidha Wizara itaendelea kushirikiana na sekta mbalimbali, zikiwemo taasisi za kimataifa katika kuimarisha ufuatiliaji na kutekeleza mikakati ya kudhibiti iugonjwa huu ili usiingie hapa nchini.

Wema Sepetu : Niacheni Tafadhali, Nimekaa Kimya Mmeanza Tena

0
0
Msanii wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu amewataka watu wanaomchokonoa na kumfatilia mambo yake waache mara moja.

Muigizaji huyo hakuweka wazi mara moja ni nani anayemchokoza lakini mashabiki katika mitandao ya kijamii wamelihusisha suala hilo na Hamisa Mobetto, Zari pamoja sakata ambalo linadaiwa kusambaa katika mitandao ya kijamii kwamba amepata mpenzi mpya.

“Mnaniona nimekaa kimya mnanichokonoa eeh…. Mtahangaika sana wallahy…. 😒😒😒…. Niacheni tafadhal….,” aliandika Wema.

Muigizaji huyo alikuwa kimya kwa muda mrefu toka ahukumiwe na mahakama ya Kisutu kwa kosa la kutumia dawa za kulevya.

Toka tukio hilo litokee mrembo huyo amekuwa haonekanai mara kwa mara kwenye matukio tofauti na kipindi cha nyuma.

Kalulumila:Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo

0
0
 BORA YA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO KALULUMILA.
----------------------------------------
Ni dawa pekee iliyojipatia umaarufu nchini na nje ya nchi kwa kufanya kazi mara 3, kwa wakati mmoja 1, kurefusha uume na kunenepesha saizi uipendayo kuongeza nguvu za kiume na inatibu matatizo na gerentii miaka 30. Na kuendelea haina madhara, inaimarisha mishipa ya uume iliyoregea na udhalishaji wa mbegu za kiume. 


---------NINI HUCHANGIA MATATIZO HAYA--Ngiri ni chanzo kikubwa cha matatizo haya ili kujua kwamba una ngiri ni chanzo kikubwa cha matatizo haya, ili kujua kama unangiri dalili zake ni kufika haraka kileleni wakati wa tendo la ndoa, 2)kushindwa kurudia tendo la ndoa. 3)kutoa choo kama cha mbuzi. 4)tumbo kujaa gesi na kuunguruma. 5)kukosa choo kabisa. 6)maumbile kuingia ndani na kuwa mafupi. 7) korodani moja kuvimba 8)kutosikia hamu ya tendo la ndoa na maumivu ya kiuno wakati wa tendo la ndoa. 9)maumivu ya kiuno na mgongo pia tunatibu kisukari kwa siku7, presha, busha, bila kupasuliwa na magonjwa mbalimbali. 

---------------------------------------
TUPO TEGETA KWA NDEVU KARIBU NA MACHINJIO YA NGOMBE UTAONA OFSI IMEANDIKWA KALULUMILA HERBALIST CLINIC HOSPITAL SIMU .
----------------------------------------
-0655-557-182.
-0755-557182.
-0784-557-182.
PIA UTAWEZA KULETEWA POPOTE ULIPO.
---------------------------------------
KARIBUNI SANA.
----------------------------------------

Diamond Kuongeza Jumba Jingine la Kifahari Afrika Kusini

0
0
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa ana mpngo wa kununua nyumba nyingine nchini Afrika Kusini.

Muimbaji huyo anayetamba na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Jibebe ametumia Insta Strory kueleza hilo.

"Still in love with my first South Africa house.... adding the new house in here before end of the year," ameeeleza Diamond Platnumz.

Nyumba ya sasa iliyopo Afrika Kusini ndipo inaishi familia yake, yaani mzazi mwenzie Zari The Bosslady na wanae wawili, Tiffah na Nillan.

Shilole Kataja Gharama za Jumba Lake Alilolijenga Dar

0
0
Msanii wa muziki na mjasiliamali, Shilole aka Shishi ameweka wazi gharama alizotumia kujenga nyumba yake ambayo aliionyesha mtandaoni.

Akiongea na kituo cha redio cha Clouds FM jana Jumanne, Shishi amedai zaidi ya ths milioni 90 aliyoitumia imetokana na muziki wake na sio biashara zake.

“Sijawahi kukopa, nimejenga kupitia muziki wangu, hadi sasa nimetumia kama mill. 90. Ni nyumba mbili zipo kwenye uwanja mmoja,” alisema Shilole.

Aliongeza, “Mume wangu Uchebe ameikuta hii nyumba yeye alichochangia ni mawazo tu, kuhusu nyumba hii iweje,”

Muimbaji huyo amedai nyumba hiyo ameijenga taratibu taratibu kwa kipindi cha miaka 3.

Dr Kanengo: Bingwa Wa Tiba Asili Hutibu Matatizo Yafuatayo

0
0
NKURURU:-ni dawa inayotibu miguu kuwaka moto, kiuno tumbo kupooza kupoteza fahamu 

MALABALA; hutibu kisukari , uti wa mgogo, Change, pumu, busha, kaswende, kifua kikuu, muwasho sehemu ya siri 

NKURUNGU,: Ni dawa kutibu  N, B, G, POWER :-ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume ni vidonge 20 

MPERAMPERA:- ni dawa ya kurudisha Mke, mme, mpenzi,mchumba aliyekuacha /kuteseka, ni kwa mda wa siku 2 tu kusafisha , pia kuna dawa za kupunguza vitambi(nyama uzembe), maziwa makubwa,michirizi, mikovu makubwa, chunusi sugu. 

NR SIX POWER:-inatibu upungufu wa nguvu za kiume kwa wasio weza kumudu tendo la ndoa itakufanya uwe na hamu ya kurudia tendo la ndoa zaidi ya Mara 4 bila hamu Kuisha, inaboresha maumbile madogo na inaimarisha misuri iliyo legea na kusinyaa una pona kabisa, ndani ya siku 4 tu 

GASELA:-ni dawa ya maajabu (9) yaliyoshindikana. (1)-Kisukari, vidonda vya tumbo, tezi dume,walioshindikanika kupata watoto(ugumba),busha bila oparesheni, (2)zindiko Kali Katika biashara yako (chuma ulete) ndo kiboko yao kumkamata mwizi aliye kuibia vitu vyako pikipiki, gari, n, k( 2)zindiko la nyumba, mashamba, viwanja,.(4)kukutolea sumu uliyo ikanyaga (Mtego) (5)ujiamini kutumia dawa ya maajabu Saba (6)kutoa mikafara mfano ugomvi ndani ya nyumba kufukuzwa kazini bila sababu (7)kutabiri nyota na kung'arisha (8)kurudisha Mali iliyo potea mazingira ya kutatanisha, kushinda kesi uliyo sumbuka nayo mda mrefu. (9)kufukuza majini wachafu ndani ya mji,.

Haya yote yanawezekana kwa DR KANENGO popote ulipo . Muone  DR KANENGO,anatibu nguvu za kiume anarefusha na kunenepesha uume kwa saizi uipendayo kwa muda mfupi sana, pamoja na kuwa na hamu ya kurudia tendo la ndoa mara 4 bila hamu kuisha Na utachelewa kufika kileleni kwa muda wa dakika 40 bila kuchoka .

Angalizo usitume meseji wala kubipu..
 
You can get it in all East African countries,,our service is fast and easy... contact Whatsapp 0784,47,59,46.Dar es salaam Tanzania. ,..Dr. KANENGO 0744,92,29,82...You are welcome. Yuko pia Khahama Mjini, Bunda kwa sasa

Tunawatakia Sikukuu Njema ya Idd el Hajj

0
0
Waislamu  nchini leo wanaungana na Waislamu wenzao katika nchi mbalimbali, kusherehekea sikukuu ya Idd el Hajj. 

Maadhimisho ya sikukuu hiyo kitaifa yanafanyika jijini Dar es Salaam. Pia  swala ya Idd leo hii itafanyika katika Uwanja wa Msikste Tamaa uliopo Vingunguti na Baraza la Idd litafanyika hapo hapo baada ya swala hiyo.

Mpekuzi Blog Tunawatakia Sikukuu Njema Waislamu Wote Nchini

Watatu Watiwa Mbaroni Kwa Tuhuma za Mauaji ya Wanawake 9 Jijini Arusha

0
0
Jeshi  la Polisi mkoani Arusha limewatia mbaroni watu watatu wanaotuhumiwa kuendesha mauaji tisa ya wanawake katika Mji wa Mto wa Mbu wilayani Monduli mkoani Arusha.

Waliokamatwa ni Richard Msuya(22), Babuu Williamu(24) na Francis Charles(21), wote wakazi wa Kigongoni katika mji wa Mto wa Mbu. 

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Ramadhani Ng’azi alisema watuhumiwa hao walifikishwa mahakamani jana kujibu mashitaka ya mauaji.

Kamanda Ng’azi alisema kukamatwa kwa watuhumiwa hao, kunatokana na jeshi hilo kuendesha msako mkali katika wilaya hiyo na mji huo kwa kushirikisha raia wema. 

Alisema wanawake tisa waliripotiwa kufa katika matukio tofauti katika eneo la Kigongoni Kata ya Mto wa Mbu katika vifo vya utata. 

Miili yao ilikutwa imetelekezwa. Mauaji hayo yalihushisha na vitendo vya ubakaji, ushirikina na uhalifu usio wa kawaida.

Kamanda Ng’azi alisema moja ya matukio ambayo jeshi hilo liliona kama ni ya kulipiza kisasi ni la Julai 10 mwaka huu, ambapo mwili wa mwanamke mmoja wa watoto wawili, Ruth Meena(49) mkazi wa Kigongoni ulikutwa katika mtaro akiwa mtupu akiwa na jeraha kisogoni akiwa ametelekezwa. 

Kamanda Ng’azi alisema kutokea kwa matukio tisa ya mauaji ya wanawake katika mji huo ni jambo la kutisha, hivyo polisi imefanya kazi ya ziada kukabiliana na wahalifu hao.

Alisema katika kukabiliana na hali hiyo na matukio mengine ya kihalifu Polisi mkoani Arusha imeamua kujenga kituo kikubwa cha polisi katika mji wa Mto wa Mbu kwa kushirikiana na wananchi wa eneo hilo. 

‘’Tumejipanga kukabiliana na hali hiyo na tunataka kukomesha uhalifu huo wa kuua wanawake katika Mji wa Mto wa Mbu,’’ alisema Ng’azi.

Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Mafupi na Upungufu wa Nguvu za Kiume? Suluhisho Hili Hapa

0
0
KWANINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MAFUPI NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME... DR SITTA NDO SULULISHO LAKO

Tatiza, hili limekuwa likiwaathiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine. Kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi 6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo.

Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hilo... baadhi ni  upungufu wa vichocheo vya, HORMONES ZA CETROGEN .

SUPER MIZIZI, ni dawa inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume kukuwa na kuongzeka sazi utakayo na kuzibua mrija iliyosinyaa,

NSHOLA; ni dawa bora, ya kurudisha nguvu za kiume kwa kutibu kabisa  tatizo hilo na kukupa  hamu ya  kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara nne 4 bila kuchoka 

Pia  kuna dawa za kutibu presha ya kupanda na kushuka, kisukari , kuondoa mafuta  mwilini na maumivu ya mgogo kiuno, matazo, ya hedhi kwa wanawake, hedhi zisizokuwa na mpangilio.

NKANYA; ni dawa ya mvuto wa kimapenzi ,mchumba mpenzi aliyekuacha, mke, mme atakurudia .

NKOMA; Ni dawa kuongeza HIPS na mguu wa bia kwa wadada ,

NGAKAMA ,ni dawa ya kutibu miguu kufa ganzi na kuwaka moto, huduma zetu ,zipo ,vizuri, popote pale dawa utaletewa! 

DR SITTA, amebobea kwa tiba asilia 

Kwa DAR ANAPATIKANA MBAGALA ZAKHEM, SONGEA BOMBAMBILI, SHINYANGA- KAHAMA MJINI, 

KWA MAELEZO ZAIDI  PIGA SIMU; 0763172670/ 0715172670,/

WOTE  MNAKARIBISHWA... KAMA, UTAKUWA NA TATIZO, UTAHUDUMIWA,

Atiwa Mbaroni Kwa Tuhuma za Kumuua Mgoni Wake Aliyemfumania na Mkewe

0
0
Jeshi la Polisi mkoani Singida linamshikilia Jamal Makere (37) mkazi wa Utemini mjini Singida kwa tuhuma za kumuua mgoni wake, Ramadhan Athuman (27) anayedaiwa kwenda nyumbani kwa mtuhumiwa kwa lengo la kumfuata mkewe kimapenzi.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Sweetbert Njewike alisema tukio hilo ni la juzi kuamkia jana saa 6.00 usiku. Inadaiwa kijana Ramadhan akiamini Jamal hayupo nyumbani kwake, alienda kugonga mlango kwa lengo la kutaka kufanya mapenzi na mke wa Jamal, kwani ilikuwa ni mazoea yao kukutana usiku.

Hata hivyo, kutokana na usemi “Siku za mwizi ni arobaini,” siku hiyo mwenye nyumba alikuwepo na Ramadhan alipogonga mlango Jamal alitoka haraka, akamkuta ‘mwizi’ wake bado anamsubiri hawara (jina limehifadhiwa) kisha wakaanza kupigana hatimaye Ramadhan alielemewa. Kamanda Njewike alisema Ramadhan aliumizwa vibaya na kipigo hicho hivyo alikimbizwa hospitalini.

Hata hivyo juhudi za madaktari, hazikufua dafu na hatimaye aliaga dunia. Uchunguzi wa awali wa Polisi ulibaini kuwa mtu huyo alikuwa na mahusiano na mke wa mtuhumiwa na walikuwa na mazoea ya kukutana mara kwa mara nje ya nyumba ya mtuhumiwa. 

Hili ni tukio la pili katika siku zisizozidi tano mkoani hapa, linalotokana na masuala ya mapenzi. 

Agosti 15 mwaka huu, wanandoa wawili walipoteza maisha yao katika tukio lililohusishwa na wivu wa mapenzi.

Uhamiaji Wazidi Kung’ang’ania Pasipoti ya Mkurugenzi TWAWEZA

0
0
Idara ya Uhamiaji nchini, imesema itaendelea kushikilia kwa muda usiojulikana pasi ya kusafiri ya Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti ya Twaweza, Aidan Eyakuze.

Mkurugenzi huyo alinyang’anywa pasi hiyo Julai 24, mwaka huu, baada ya kuitwa na makao makuu ya idara hiyo na kutakiwa kuandika maelezo na kisha baadaye hati yake kuchukuliwa.

Msemaji wa Idara ya Uhamiaji nchini, Ally Mtanda, alisema  jana kuwa hadi sasa wanachunguza suala la uraia wake na watakapokamilisha watatoa taarifa kwa umma.

Baada ya pasi ya mkurugenzi huyo kushikiliwa, Mtanda aliwaeleza waandishi wa habari kuwa wanachunguza uraia wake na iwapo atabainika si raia atatakiwa kufuata taratibu za kuishi nchini.

Mizizi 29 Power ,ndio Dawa Bora Na Imara Kwa Sasa Kwa Kutibu Na Kuponesha Tataizo La Nguvu Za Kiume Kwa Dakika 30 Tu

0
0
Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa ni janga kubwa sana kwa sasa sio vijana au wazee wanalalamiki kukimbiwa na wa wapenzi wao au ndoa kuvunjika kutokana na mwanaume kulala na mwanamke kitanda kimoja hata wiki mbili bila kushiriki tendo la ndoa na hii ndio inachangia wanawake wengi kutoka nje ya ndoa kwa nini huteseke na wakati dawa zipo ambazo zitarudisha heshima yako ya ndoa 

MIZIZI 29 POWER; ni ambayo hutibu na kurudisha virutubisho mwilini ambavyo humfanya mwanaume awe na matatizo yafatayo 1 kuwahi kukojoa kabla mke au mpenzi wake

 2. kushindwa kurudia tendo dawa, hii itakufanya kurudia tendo zaidi ya Mara tatu 

3... dawa hii inatibu uume uliolegea na kusinyaa 

4. dawa hii inatoa miungurumo ya tumbo na uchovu wakati wa kumaliza tendo 

NINI KINASABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 1 kupiga punyeto kwa mda mrefu 
2 upungufu wa vichochoe mwilini 
3 magonjwa ya moyo, kisukari, presha, vidonda vya tumbo kiuno na mgongo 
4 utumiaji ovyo wa madawa ya kizungu 
4 usongo wa mawazo, hasira, tumbo kujaa gesi na kutopata choo.

 PATA TIBA YANGU NA NI TOFAUTI NA ULIZO WAHI KUTUMIA: 

Je una uume mfupi na mwembamba? MASHESHA MIX ni dawa ya kuboresha uume saiz upendayo asa kwa wale waliofanyiwa tohara wakiwa wadogo.. chagua saizi upendayo inch 5,6,7, adi 8 iyo ni kwa urefu na unene sentimita 2,3,4, adi 5 .dawa hizi zipo za kupaka na kunywa na hazina madhara yoyote kwa mtumiaji ,

Tunatibu kisukari,vidonda vya tumbo,ngiri, korodani iliyovimba, kupnguza kitambi, maziwa makubwa NK 

KWA TIBA NA USHAULI FIKA OFISINI KWANGU DARE S SALAAMU MBAGALA ZAKHEMU NA MIKOA YA KANDA YA ZIWA YUPO WAKALA WETU HAPO MWANZA NA KWA AMBAO HAWANA NAFASI YA KUJA OFISINI HUDUMA YETU UTALETEWA POPOTE ULIPO PIGA SIMU 0783185060 DR MAKOYE

Rais Magufuli: Dada Yetu alikuwa tegemeo kubwa malezi ya mama yetu

0
0
Rais  Dk. John Magufuli amemwelezea dada yake marehemu Monica Joseph kuwa alikuwa mtu mwenye upendo kwa familia yao na tegemeo kubwa la kumtunza mama yao mzazi, Suzana Ngolo Magufuli kwa kukubali kuondoka nyumbani kwa mumewe kwa zaidi ya miaka miwili.

Alisema marehemu Monica ameacha somo kwa watoto wote na wanandoa kwa kuwa tayari kujitolea kuwalea wazazi wao wanapokabiliana na changamoto za uzee badala ya kuwaacha wakitaabika.

Alisema hayo wakati akitoa shukrani kwa mamia ya waombolezaji waliohudhuria maziko hayo yaliofanyika kijijini kwao Mlimaji, wilayani Chato mkoani Geita.

“Mmetuonyesha upendo mkubwa sana na kweli ujio wenu na kuungana nasi katika tukio hili mmetufariji sana, asante sana kwa upendo huu na Mungu awabariki sana,” alisema.

Viongozi mbalimbali wa chama na serikali ndani na nje ya nchi, jana walihudhuria maziko hayo yaliyofanyika katika makaburi ya familia.

Katika maziko hayo, misa takatifu iliongozwa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge, Mhashamu Severine Niwemugizi aliyeambatana na maaskofu wengine saba.

Viongozi waliohudhuria maziko hayo ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Marais wastaafu wa awamu ya pili, tatu na nne, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Jakaya Mrisho Kikwete.

Wengine ni Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya, Raila Odinga, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Philip Mangula, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, mawaziri, wabunge, viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, viongozi wa madhehebu ya dini, vyama vya siasa, mikoa na wilaya.

Akisoma wasifu wa marehemu kwa niaba ya familia, Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa, alisema marehemu Monica alikuwa mtoto wa kwanza wa mzee Joseph Marco Magufuli na mama Suzana Ngolo Magufuli.

Alisema Monica ameacha mume, watoto tisa na wajukuu 25.



Mbowe na Vigogo Wengine CHADEMA Wawekewa Pingamizi

0
0
Jamhuri imepinga maombi ya vigogo tisa wa Chadema, akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, ya kutaka kesi inayowakabili iahirishwe hadi rufaa isikilizwe na kutolewa uamuzi kwa madai kwamba maombi hayo hayana msingi kisheria.

Hoja hizo za Jamhuri ziliwasilishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri anayesikiliza kesi hiyo.

Wakili wa Serikali Mkuu, Faraja Nchimbi, aliomba mahakama hiyo iyatupilie mbali maombi hayo.

Mbowe na wenzake wanaiomba mahakama hiyo kuahirisha kesi ya jinai inayowakabili mahakamani hapo, kusubiri usikilizwaji na uamuzi wa rufani waliyowasilisha Mahakama ya Rufani Tanzania.

Mbowe na wenzake waliwasilisha maombi hayo kupitia wakili wao Peter Kibatala, wakiomba mahakama hiyo kuahirisha kesi hadi hapo Mahakama ya Rufani itakaposikiliza na kutolea uamuzi rufani watakayowasilisha  kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam wa kutupilia mbali maombi hao ya marejeo.

Pia, vigogo hao wamewasilisha maombi Mahakama ya Rufani wakiomba kusimamishwa kwa mwenendo wa kesi hiyo hadi rufani yao itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.

Nchimbi alidai wanapinga vikali hoja za waleta maombi (Mbowe na wenzake) kwa kuwa maombi yanakosa baraka za kisheria au yanakosa miguu ya kisheria ya kusimamia mbele ya mahakama.

Alidai maombi hayo hayana kitu kipya kwa kuwa mahakama hiyo ilishatoa uamuzi mdogo kutokana na maombi yaliyokuwa yamewasilishwa na Mbowe na wenzake ya kuomba kusitishwa kwa mwenendo wa shauri hilo.

“Hakuna chochote kipya kilichowasilishwa mahakamani kitakachoifanya mahakama hii itoe uamuzi wa kuahirisha mwenendo wa shauri la jinai,” alidai.

Alisema kifungu kilichotumika kuwasilisha maombi hayo na kesi mbili zilizotumiwa na upande wa waleta maombi huwezi kupata kile alichokiomba.

Kuhusu hoja ya hati ya kiapo kinzani, Nchimbi alidai ipo sahihi na kama ingekuwa na upungufu upande wa wajibu maombi wangewasilisha hoja ya kisheria.

Aliomba mahakama hiyo itupilie mbali maombi haya kwa kukosa misingi ya kisheria.

Wakili Kibatala katika maombi ya wateja wake, aliomba mahakama kuahirisha kesi kwa kuwa kuna rufani Mahakama ya Rufani na wamewasilisha maombi ya kusitisha usikilizwaji wa kesi hiyo.

Kibatala alidai wanaomba kuahirisha kesi hiyo ili kusubiri usikilizwaji na uamuzi wa rufani iliyoko Mahakama ya Rufani na maombi ya kusimamishwa kwa mwenendo wa shauri hilo kusubiri uamuzi wa rufani.

Alidai kifungu kilichotumika kuwasilisha maombi hayo kinaipa mamlaka mahakama hiyo kuahirisha usikilizwaji wa shauri la jinai kwa kipindi kisichozidi siku 15 kwa mshtakiwa ama washtakiwa walioko mahabusu na kwa kipindi kisichozidi siku 30 iwapo mshtakiwa ama washtakiwa wapo nje kwa dhamana.

Kibatala alidai mamlaka ya mahakama yapo wazi kabisa katika sheria, lakini pia yalisisitizwa na Mahakama ya Rufani katika mashauri mbalimbali.

“Ukichukua hati ya kiapo ambacho ameapa yeye kuunga mkono maombi hayo na hati ya kiapo kinzani, hakuna ubishi kwamba kuna maombi ya kusimamishwa kwa mwenendo wa shauri hilo yaliyoko Mahakama ya Rufani, hakuna ubishi rufani imeshawasilishwa na kusajiliwa.

“Maombi yaliyoko katika Mahakama ya Rufani yanagusa mwenendo wa kesi na kutokana na mchakato wa rufani ulivyokwenda haraka, tunaamini maombi ya kusitishwa kwa mwenendo wa kesi yatakwenda haraka.

“Mheshimiwa hakimu, tuna mashaka na uhalali wa hati ya kiapo kinzani kilichowasilishwa na upande wa wajibu maombi, hati tuliyopatiwa haina saini mwisho wa maelezo wala tarehe,” alidai Kibatala.

Alidai kutokana na hilo, hakuna hati ya kiapo kinzani iliyowasilishwa mahakamani hapo na kuomba maombi yao yakubaliwe.

Huna Sababu Ya Kuaibikatena............ Jipatie Dawa Bora Ya Nguvu Za Kiume, Maumbile Madogo Na Mvuto Wa Mapenz

0
0
Usikate tamaa ondoa maradhi yako, maana matatizo haya yamekua yakiasili watuwengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona wako tofauti sana na wengine kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamapunguvu katika mwiliwake.

Kunasababu nyingi sana zinazosababisha matatizo haya, chango hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngili :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli. Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na marakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kushindwa kabisa

MASISA 3POWER :- nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa mfumo wa vidonge, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka 15-90 , inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uludie tendo la ndoa zaidi ya mara nne (4) birahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk (20-30 )

YONINANI:- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwa mda mfupi sana,

SUPER MORINA :- nidawa inayotibu ama kutatua tatizo la kisukali kwawaliohangaika bila mafanikio, huondoa tatizo la kisukali na kupona kabisa, vilevile ninadawa ya magonjwa sugu km vile presha, vidondo vya tumbo, miguu kuwakamoto, muwasho mwilin, kaswende,uzazi nk.

LUGIMBA :- nidawa ya mvuto wa mapenzi, humtuliza mke, mme, mchumba, hawara au mtu yoyote umpendae na kumfanya akutimizie chochotekile unachokitaka kutoka kwake na kumfunga asiwe na mtu yoyote zaidi yako.

WASILIANA NA DR CHIPUPA NAPATIKANA DAR ES SALAAM KUMBUKA HUDUMAHII ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO  0759208637 / 0622344969

Polisi nchini Uganda waomba radhi kwa Mwandishi wa Habari kupigwa

0
0
Jeshi la Uganda limeomba msamaha ambao ni nadra sana kutokea baada ya askari wake kuonekana kwenye mkanda wa video wakimpiga mwandishi wa habari ambaye alikuwa akitimiza wajibu wake kwenye maandamano ya kushutumu kukamatwa kwa mbunge Bobi Wine mnamo Jumatatu .

Katika tukio hilo waandishi wengine nao walipigwa walipokuwa wakiarifu jamii juu ya maandamano hayo kupitia vyombo vyao vya habari.

Taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi, ilieleza kuwa kitendo hicho kilichofanywa na askari wake kuwa si cha weledi na kusema kuwa watakamatwa kwa muujibu wa sheria za jeshi nchini humo.

Kumekuwa na mvutano wa kisiasa nchini Uganda baada ya mbunge Bobi, na wabunge wanne wa upinzani, kukamatwa wiki iliyopita.

Bobi ni maarufu nchini Uganda awali kutokana na kujihusisha na tasnia ya muziki kabla ya kuchaguliwa kama mbunge mwaka jana.

Mapema wiki hii chama cha kutetea haki za binaadamu kilichoko mjini New York, kimewataka polisi na jeshi nchini Uganda kusitisha mara moja mashambulizi yao dhidi ya vyombo vya habari na waandishi habari nchini humo na kuheshimu haki za waandamanaji.

Katika video iliyorushwa mtandaoni, mwandishi wa habari wa shirika la Reuters James Akena, anaonekana akipigwa kwa fimbo na askari wawili mtaani katika mji mkuu, wa Kampala.

Kipigo kiliendelea kumuangukia mwandishi Akena hata alipoamua kusalimu amri na kuweka mikono yake juu huku akiwa amepiga magoti.

Shirika hilo la kutetea haki za binadamu linasema kupigwa na kukamatwa kwa waandishi wa habari ni ushahidi tosha kuwa wa mamlaka nchini Uganda wanataka kuficha mwenendo wa vikosi vya usalama nchini humo.Katika taarifa yake, Jeshi limejitetea kuwa awali lina uhusiano mzuri baina yake na vyombo vya habari nchini humo.

Mbunge Bobi, ambaye jina lake kamili ni Robert Kyagulanyi, bado anaendelea kusalia kizuizini na kwamba anatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya kijeshi siku ya Alhamisi kujibu mashtaka ya umiliki wa silaha kinyume cha sheria.

Familia ya mbunge huyo inadai kuwa alishambuliwa vikali, lakini jeshi, ambalo linamshikilia Mbunge huyo , limekana vikali madai hayo.

Naye raisi Yoweri Museven amekanusha taarifa kuwa Bobi Wine ameumia na kwamba ana majeraha mabaya, na kuziita taarifa hizo kuwa ni habari za kupikwa.

Credit: BBC

Bei Imepungua 10%off Pata Saa Kali Na Lipa Mzigo Ukifika 😍😍

0
0
  • Tunauza saa ambazo zote ni waterproof 5atm pia saa zetu ni original ukiagiza saa zetu utapata ndani ya saa 24 tu ..utalipia mzigo ukifika mikoa hii tu  dar,mwanza ,arusha,mbeya ,moshi ,tanga,zanzbar  dodoma na morogoro ...tu ...kama hauko maeneo haya usiagize ...ukisha agiza tutakutumia na utalipia mzigo ukifka NDANI ya saa 24 TU saa ziko tunazo dar ,,chini ya mtandao wa daresalaamshop.com
  • AGIZA NA LIPA MZIGO UKIFIKA NDANI YA 24...kwa wateja serious kumbuka ni ndani ya 24 tu unapata saa yako daresalaamshop.com






Kortini Kwa Tuhuma za Kubaka Binti wa Miaka 16

0
0
Mkazi  wa Makumbusho Dar es Salaam, Said Mussa, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kwa tuhuma za kubaka.

Mwendesha Mashtaka, Credo Rugaju alidai mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni,  Anifa Mwingira   kuwa katika tarehe isiyofahamika mwaka huu eneo la Makumbusho, alimbaka binti wa miaka 16 (Jina limehifadhiwa).

Mshtakiwa alikana mashitaka  na alishindwa kutimiza masharti ya dhamana hivyo alirudushwa rumande hadi  Septemba 4 mwaka huu kesi itakapotajwa tena.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images