Mshtakiwa namba 3, Kalisti Joseph Kanje (
aliyebeba mafaili),
Mshtakiwa namba moja, Samwel Gitau Saitoti (alifunika uso) na mwenzake
Mshtakiwa namba 2, Michael Kimani wakitoka nje ya mahakama kuu baada
ya mahakama hiyo kuwatia hatiani kwa kosa la kuua Askari polisi katika
tukio la uporaji wa benki ya NMB Mwanga
Washtakiwa namba 4 hadi 12, wakisaidiwa
kupanda kwenye gari la Polisi baada
Mahakama kuu kanda ya Moshi yawaachia huru washitakiwa 9 na kuwatia hatiani 3 kwa kosa la kumuua askari Polisi aliyeuawa katika tukio la Ujambazi lilitokea Julai 11 mwaka 2007
↧
↧
Magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 9 April 2014
↧
"Sitaki tena kuwa na Mwanaume...Kama kuna mtu anafikiria kuwa na mimi, aandike maumivu"..Mwasiti
Staa anayefanya vizuri kwenye Bongo Fleva akitokea Jumba la Vipaji
Tanzania ‘THT’, Mwasiti Almas, amesema kwa sasa hataki kusikia habari za
mwanaume kabisa.
Akiongea na Risasi Mchanganyiko, Mwasiti alisema: “Sitaki mwanaume,
nahitaji kujipanga kimaisha kwanza. Kama kuna mtu anafikiria kuwa na
mimi, aandike maumivu. Hakuna hiyo nafasi.
“Sina mwanaume na sitaki.
Bado
↧
Balaa la kijana aliyekuwa anaishi ndani ya handaki maeneo ya Chuo kikuu cha Dar....Handaki lake labomolewa, Polisi wamkamata na kumpeleka Muhimbili kitengo cha wagonjwa wa akili
CHACHA Makenge (38) aliyeripotiwa awali
kuishi ndani ya handaki katika eneo la pori la Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam sehemu ya Mlimani, amepatwa na balaa jipya baada ya makazi yake
kuvamiwa na askari, kukamatwa na mwishowe kupelekwa Muhimbili kitengo
cha wagonjwa wa akili kwa ajili ya matibabu.
Makenge ambaye aliwahi kuishi katika handaki hilo kwa muda wa miaka mitano, alipotoka,
↧
Rais Kikwete akubali kuliongezea muda Bunge Maalumu la Katiba
RAIS Jakaya Kikwete amekubali kuongeza muda wa Bunge Maalumu la Katiba katika mazungumzo aliyofanya na mwenyekiti wake, Samuel Sitta.
Hayo yalisemwa na Mwenyekiti huyo wakati akijibu swali la waandishi wa habari katika mkutano wake jana, Dar es Salaam, baada ya kumaliza mkutano wake na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika Kanisa la Mtakatifu
↧
↧
Dudubaya anatafutwa na jeshi la polisi kwa kosa la kumkata sikio mama yake mkubwa akimtuhumu ni Mchawi.....
Msanii nguli wa Hip Hop Bongo,Dudubaya anatafutwa na jeshi la polisi
mkoani Mwanza kwa kosa la kumkata sikio mama yake mkubwa akidai kuwa
mama huyo huwa anamroga....
Kwa mujibu wa mdogo wake aitwaye Muweta, siku ya tukio
msanii huyo alimfuata mama yake huyo nyumbani kwake na kumlaza kwenye
makochi na kuanza kumkata sikio kwa kisu huku akimshushia tuhuma nzito za kumroga ....
↧
Tovuti ya Tume ya Jaji Warioba yafungwa....Viongozi wasema ilifungwa sanjari na tume,Katibu mkuu sheria asema anayetaka ufafanuzi aende wizarani
Siku chache tangu Tume ya Mabadiliko ya Katiba
ivunjwe baada ya kumaliza kazi yake ya kukusanya maoni na kuandaa
Rasimu ya Katiba, tovuti yake nayo imefungwa rasmi.
Ukifungua tovuti hiyo iliyokuwa na taarifa mbalimbali muhimu zinazohusu
tume hiyo na kazi zake, unakaribishwa na maneno kuwa inafanyiwa
matengenezo, lakini habari zilizopatikana na kuthibitishwa na maofisa wa
↧
Kesi dhidi ya Wanajeshi 27 wa zamani wa Kenya ambao walitoroka jeshini ili kujiunga na kampuni za ulinzi nchini Marekani yaanza kusikilizwa
Kesi dhidi ya Wanajeshi 27 wa zamani wa Kenya ambao walitoroka
jeshini ili kujiunga na kampuni za ulinzi nchini Marekani imeanza kusikilizwa katika
kambi ya kijeshi ya Mtongwe Mombasa.
Wanajeshi hawa wote walikua wakilitumikia jeshi la Kenya
nchini Iraq, Afghanistan na Kuwait kati ya mwaka 2007 na 2008 na iwapo
watapatikana na hatia wanaweza kufungwa jela kwa miaka miwili bila
↧
Lady Jaydee ashiriki kwenye wimbo wa kombe la dunia 2014...
Msanii mkongwe wa muziki nchini Judith Mbimbo maarufu kama Lady
Jaydee ameshiriki kuimba wimbo maalum wa kombe la dunia 2014
akishirikiana na David Correy na rapper wa Kenya, Octopizzo
...
Katika wimbo huo, Lady Jaydee na Correy wameimba kwa lugha ya Kiingereza huku Octopizzo ‘akichana’ kwa Kiswahili.
Wimbo huo ulipigwa kwa mara ya kwanza wiki hii jijini Dar es Salaam
wakati
↧
↧
Uganda yatuma Ujumbe nchini baada ya Polisi wake wakiwa na bunduki kuvamia mkoani Kagera na kurusha risasi ovyo zilizojeruhi Watanzania wawili
Ujumbe
wa askari wa Jeshi la Polisi la Uganda umewasili nchini kwa kile
kinachodaiwa kuja kufanya mazungumzo ili kupata maridhiano kufuatia
kitendo cha askari wake wakiwa na bunduki kuvamia eneo la Mutukula,
mkoani Kagera, na kurusha risasi ovyo zilizojeruhi Watanzania wawili.
Habari zilizopatikana jana zinaeleza kuwa ujumbe wa askari
hao umewasili nchini wakiongozwa na mmoja wa
↧
Rais Kikwete achaguliwa Kiongozi Bora Afrika Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi katika Maendeleo Barani Afrika kwa mwaka 2013
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe
akiongea na katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani mjini Washington
DC, Marekani, ambako atapokea tuzo ya Africa’s Most
Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho ikwete,
Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania mjini humo leo
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Kikwete achaguliwa
↧
Kamati zaanza kuwasilisha taarifa Bunge Maalum la Katiba , wengi wapendekeza serikali mbili.
Na Magreth Kinabo/MAELEZO- Dodoma
Baadhi ya Kamati 12 za Bunge Maalum la Katiba leo zimeanza
kuwasilisha taarifa zao kuhusu
sura ya kwanza na ya sita ya Rasimu
ya Katiba ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania katika Bunge hilo,
mjini Dodoma, huku maoni ya walio wengi wapendekeza Serikali Mbili.
Uwasilishaji
wa
taarifa hizo ulianza mapema leo asubuhi mara baada
↧
Mamia ya wasafiri waliokuwa wakitokea Karatu kuelekea Arusha, Dar es Salaam na maeneo mengine ya nchi wakwama kutokana na mafuriko....Dereva anusurika kufa
Baadhi ya wasafiri na wanakijiji wakitizama daraja la Kirurumo
lililoharibiwa kwa mafuriko na kukata mawasiliano kati ya Karatu,
Ngorongoro na Serengeti.
****
Mamia ya wasafiri waliokuwa wakitokea Karatu kuelekea Arusha, Dar es
Salaam na maeneo mengine ya nchi, wameshindwa kuendelea na safari baada
ya kushindwa kuvuka mto Kirurumo uliopo mpakani mwa Wilaya za Karatu na
Monduli, baada ya
↧
↧
Taarifa ya CCM kulaani kauli ya Mbunge wa Jimbo la Kahama, James Lembeli aliyoitoa akidai kuwa "CCM SI MAMA YANGU"
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARICCM MKOA WA SHINYANGA YA LAANI KAULI YA MBUNGE WA JIMBO LA KAHAMA JAMES LEMBELI KUWA “CCM SIYO MAMA YANGU”
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga KIMELAANI vikali kauli
ya Mbunge James Lembeli Mbunge wa Jimbo la Kahama aliyoitoa kwenye
vyombo ya habari hivi karibuni iliyosema “CCM SIYO MAMA YANGU”.
Kwa hiyo Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga na wana
↧
Lulu Michael alia na watu wanaotumia jina lake Facebook kuchangisha fedha....Watu hao wamepost video za ngono facebook kwa jina lake
Muigizaji wa bongo movies Elizabeth ‘Lulu’ Michael ameelendelea kuwa
mmoja kati ya waathirika wa vitendo vinavyofanywa na watu wanaotumia
vibaya mitandao ya kijamii kwa majina ya watu maarufu kwa lengo la
kujipatia fedha.
Watu hao ambao wanafungua akaunti mbalimbali kwenye Facebook kwa jina
la Elizabeth Michael wamepost maelezo yanayoonesha kuwa muigizaji huyo
ameendelea kuchangisha
↧
Kituo cha Radio cha dini ya Kiislamu cha Al-Noor Chateketea kwa Moto maeneo ya Mtoni Daraja Bovu wilaya ya magharibi Unguja
KITUO cha kurusha matangazo ya radio cha dini ya Kiislamu cha Alnoor kimeteketea kwa moto ikiwemo studio zake tatu. Mkurugenzi mkuu wa Radio Alnoor, Mohamed Suleiman Tall, alithibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambayo alisema chanzo chake kikubwa ni hitilafu ya moto katika kituo kikuu cha umeme.
Alisema moto huo ulianzia katika studio nambari tatu ambayo imeteketea huku vifaa vyote ikiwemo
↧
Shirika la "Tanzania Sisi kwa Sisi Foundation (TSSF)" LAFUTIWA USAJILI kwa tuhuma ya kujihusisha na kuhamasisha ushoga nchini
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto imelifutia usajili Shirika la Tanzania Sisi kwa Sisi Foundation (TSSF), kwa tuhuma ya kujihusisha na kuhamasisha ushoga nchini.
Taarifa kwa umma iliyotolewa na Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali wizarani, ilieleza kuwa shirika hilo limefutiwa usajili kuanzia Aprili 4, mwaka huu.
Ilieleza kuwa kufungiwa huko, kunatokana na kukiuka
↧
↧
Marufuku Bodaboda na Bajaji za abiria kuvuka Mwenge kwenda Posta....
Oparesheni
Nzito ya kuzuia Bodaboda na Bajaji zisifanye safari zake kutoka Mwenge
na maeneo mengine kuelekea mjini Posta imechukua sura mpya jana baada ya
Askari wa Usalama wa Barabarani kuanza kukamata Bodaboda na Bajaji zote
zinazovuka Mwenge kuelekea Posta, Zoezi hilo ambalo limefanyika Mwenge
Mataa Jijini Dar limeendelea kufanyika na kufamikiwa kuwanasa wengi.
Kwa
mujibu
↧
TANAPA yakanusha kutangaza nafasi za kazi....
Katika baadhi
ya mitandao ya habari ya kijamii zimekuwepo habari zilizonukuliwa zikitoa
taarifa kuwa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limetangaza nafasi za ajira
kwa Wahifadhi Wanyamapori madaraja ya pili na tatu.
Shirika
la Hifadhi za Taifa linapenda kutoa ufafanuzi kuwa nafasi hizo zilizotangazwa sio za Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)
bali ni ajira zilizotangazwa na
↧
Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 11 April 2014
↧
More Pages to Explore .....