Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

IGP Sirro Awasili Mwanza, Kufunga Mafunzo Chuo Cha Polisi Wanamaji

$
0
0
Na. Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi na anatarajiwa kufunga mafunzo katika Chuo cha Polisi Wanamaji Mwanza ambayo yana lengo la kukabiliana na uhalifu unaotokea katika Bahari, Maziwa na Mito hapa nchini.

Pamoja na ufungaji wa mafunzo hayo pia ataendelea na ziara ya kukagua utendaji wa Polisi katika baadhi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa lengo la kuhakikisha uhalifu unapungua  hapa nchini ikiwemo ajali za barabarani, Maujai ya kishirikina na uhalifu katika Visiwa vilivyopo Ziwa Viktoria.

Mapema baada ya kuwasili amezungumza na Maofisa wa Polisi waliopo Mkoani Mwanza na kusisitiza kufanya kazi kwa weledi pamoja na kuhakikisha kuwa ajali zinapungua katika maeneo yao.

“Nimekuja kukagua utendaji wenu ili kutatua baadhi ya changamoto zinazowakabili ili kufikia malengo tuliyojiwekea ya kuhakikisha uhalifu unapungua hapa nchini, hivyo ni imani yangu kila mmoja atawajibika kwa nafasi yake na kuwasimamia waliopo chini yake ipasavyo” Alisema IGP Sirro

Kwa upande wake Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Naibu Kamishna wa Polisi DCP Ahmed Msangi amesema hali ya usalama katika mkoa huo ni shwari na suala la usalama barabarani linaendelea kusimamiwa kikamilifu kwa kushirikiana Mamlaka nyingine zinazohusika.

Ajali Yaua Watu Watano Mbeya Usiku wa Kuamkia Leo

$
0
0
Watu watano wanadaiwa kufariki dunia usiku wa kuamkia leo katika ajali iliyohusisha lori pamoja na gari  dogo aina ya Noah eneo la mteremko wa mlima Igawilo nje kidogo ya jiji la Mbeya.

Ajali hiyo iliyohusisha magari matatu imetokea kwenye mteremko wa mlima Igawilo na kwa mujibu wa mashuhuda gari lenye kontena ililiangukia gari aina ya Noah iliyokuwa na abiria na inasadikiwa watu watano wamepoteza maisha.

Ajali hii imetokea ikiwa ni muda mfupi tu  baada ya Waziri Mpya wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola kutembelea Mbeya na kutangaza kuvunja Baraza la Taifa la Usalama Barabarani pamoja na Kamati zake zote za Mikoa na Wilaya

Kiboko Ya Matatizo Ya Nguvu Za Kiume,maumbile Madogo, Mvuto Wa Mapenzi ,magonjwa Sugu

$
0
0
Usikate tamaa ondoa maradhi yako, maana matatizo haya yamekua yakiasili watuwengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona wako tofauti sana na wengine kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamapunguvu katika mwiliwake.

Kunasababu nyingi sana zinazosababisha matatizo haya, chango hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngili :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli. Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na marakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kushindwa kabisa

MASISA 3POWER :- nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa mfumo wa vidonge, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka 15-90 , inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uludie tendo la ndoa zaidi ya mara nne (4) birahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk (20-30 )

YONINANI:- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwa mda mfupi sana,

SUPER MORINA :- nidawa inayotibu ama kutatua tatizo la kisukali kwawaliohangaika bila mafanikio, huondoa tatizo la kisukali na kupona kabisa, vilevile ninadawa ya magonjwa sugu km vile presha, vidondo vya tumbo, miguu kuwakamoto, muwasho mwilin, kaswende,uzazi nk.

LUGIMBA :- nidawa ya mvuto wa mapenzi, humtuliza mke, mme, mchumba, hawara au mtu yoyote umpendae na kumfanya akutimizie chochotekile unachokitaka kutoka kwake na kumfunga asiwe na mtu yoyote zaidi yako.

WASILIANA NA DR CHIPUPA NAPATIKANA DAR ES SALAAM KUMBUKA HUDUMAHII ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO  0759208637 / 0785687900

Mganga aliyedai ana dawa ya kuzuia risasi, apigwa risasi afariki

$
0
0
Mganga mmoja nchini Nigeria amefariki baada ya mteja wake kujaribu iwapo ana nguvu za kuzuia risasi kuingia mwilini mwake kama alivyodai.

Chinaka Adoezuwe, 26, aliuawa baada ya kumuagiza mteja wake kumpiga risasi alipokuwa akivaa nguvu hizo za kuzuia risasi katika shingo yake.

Maafisa wa polisi katika jimbo lililopo kusini mashariki la Imo wanasema kuwa mteja huyo sasa amekamatwa kwa kosa la mauaji.

Nguvu za uganga ni maarufu nchini Nigeria , ambapo waganga huombwa kuwatibu raia magonjwa tofauti.

Ili kuthibitisha kwamba nguvu hizo zinafanya kazi , alisimama na kumpatia mteja wake bunduki ili aweze kuthibitisha dawa hiyo na hapo ndipo janga hilo likatokea!.

Mnamo mwezi Januari , muuzaji wa dawa za kienyeji alikamatwa baada ya mtu mmoja aliyedaiwa kunywa maji ya kuzuia risasi kuuawa.

Chanzo: Bbc swahili

Mbunge Bwege: “Nitaenda kuomba kibali cha maandamano”

$
0
0
Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleiman Bungara ‘Bwege’ amesema kuwa ataenda Jeshi la Polisi kuomba kibali cha maandamano kuhusu madai ya bilioni 201 ambazo zinalalamikiwa kuwa ni fedha kwa ajili ya wakulima wa korosho wa mikoa ya kusini.

Akizungumza kupitia East Africa Breakfast ya East Africa Radio Bwege amesema kuwa wabunge wanaotokea mikoa ya Mtwara na Lindi watakutana na kujadili suala hilo na kuomba kibali cha maandamano.

“Kwenye kiasi hicho cha fedha bilioni 201,asilimia 35 ni kwa ajili ya hazina ya serikali na asilimia 65 ni kwa ajili ya mfuko wa maendeleo ya zao la korosho ambapo ingetumika katika kujenga maghala,utafiti,pamoja na kuendeleza viwanda na bila fedha hiyo itakuwa ngumu kuboresha thamani ya zao la korosho” , amesema Bwege.

Aidha Bwege ameongeza kuwa serikali imepitisha sheria hiyo kwa nguvu ikiwemo vitisho lakini msimamo wake uko pale pale kwa kile alichodai kuwa ni kudai haki ya wakulima wa zao la hilo.

Waziri Wa Maji Na Umwagiliaji Amtolea Uvivu Mkandarasi Anayejenga Matanki Ya Kuhifadhia Maji Dar

$
0
0
WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa, jana Julai 5, 2018 ametembelea mradi wa uboreshaji wa mfumo wa usambazaji maji Dar es Salaam na Pwani ambao umefikia asilimia 87.5 kukamilika na kumuhimiza mkandarasi kumalizia asilimia iliyobaki kwa wakati vinginevyo atachukua hatua kali.

Profesa Mbarawa amesema, mradi huo ambao unatekelezwa na Serikali kupitia Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA), unathamani ya shilingi bilioni 72.43 na ni mradi muhimu sana katika utoaji huduma kwa wananchi.

“Mkandarasi yuko kwenye site lakini kasi yake hairidhishi, hivyo sisi kama serikali tunajaribu kutatua kero hii ya maji kwa wananchi, lakini mkandarasi kidogo analeta shida, kama mjuavyo mradi ulianza mwaka 2016 mwezi Machi na ulitarajiwa kukamilika Novemba 2017 utaona tuko nyuma karibu miezi 18.” Amesema

“Kwanza tunataka uwepo kwenye site saa 24, na sio tunakuona tu lakini tuone unafanya kazi, pili ukishinbdwa kumaliza mradi huu kama tulivyokubaliana mwezi Septemba uelewe kwamba hii ndio itakuwa mara yako ya mwanzo na ya mwisho kupata kazi tena hapa Tanzania, na tatu tutakutoa kwenye usajili wa chama cha makandarasi yaani bodi ya makandarasi na hii maana yake hutaweza kufanya kazi tena hapa Tanzania na mwisho tutachukua Pasipoti yako ya kusafiria ili kuhakikisha kwamba unafanya kazi na unamaliza.” Alisema.

Ziara hiyo ya Profesa Mbarawa imemuwezsha kujionea maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo ulioanza Machi 2016 na unaohusisha ujenzi wa matenki matano (5) ya kuhifadhi na kusambaza maji yenye ukubwa wa kuhifadhi lita milioni 5.0 hadi 6.0.

Pia alitembelea ujenzi wa vituo vine (4) vya kusukuma maji vilivyo na matenki yenye uwezo wa kuhifadhi lita milioni 3.0 kila moja, ununuzi na ufungaji wa pampu kubwa 16 za kusukuma maji ununuzi wa transfoma na ufungaji wa njia za umeme wa msongo mkubwa, ununuzi na ulazaji wa mabomba makubwa ya ugawaji maji na ulazajiwa mabomba ya usambazaji maji mitaani yatakayokuwa na urefu wa jumla ya kilomita zipatazo 477.

Kwa mujibu wa Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Dkt. Suphiani Masasi, mradi huo utanufaisha maeneoya Salasala, Bunju, Wazo, Makongo, Changanyikeni, Bagamoyo, Mpiji, Zinga, Kiromo, Kitopeni, Ukuni, Kerege, Buma, Mataya na ukanda maalum wa WPZA ambayo ni maeneo yanayohudumiwa na mtambo wa Ruvu Chini.

Baadhi ya vifaa vya kukamilisha mradi huo vikiwa kwenye karakana huko Boko nje kidogo ya jiji

Aidha mradi pia utanufaisha maeneo yaliyopo kati ya Mbezi Louis na Kiluvya ambayo ni Kiluvya yenyewe, Kibamba, Mbezi, Msakuzi, Makabe, Malamba- mawili na Msigani na maeneo haya yanapata maji kutoka Mtambo wa Ruvu Juu ambao ulizinduliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania Juni 2, 2017.

Mtendaji Mkuu huyo wa DAWASA alimueleza Mhe. Waziri kuwa lengo la mradi ni pamoja na kuhakikisha kuwa wananchi wa kawaida wenye viwanda na biashara katika eneo lote la mradi wanapata huduma bora za maji hasa baada ya maji kuongezeka kufuatia kukamilika kwa kazi za upanuzi wa mitambo ya maji Ruvu Juu na Ruvu Chini.

Julius Mtatiro Atiwa Mbaroni

$
0
0
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema mwenyekiti wa kamati ya uongozi ya chama hicho, Julius Mtatiro amekamatwa na Polisi kutokana na ujumbe alioutuma katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook unaodaiwa kumkejeli Rais John Magufuli.

Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa chama hicho, Mbarala Maharagande katika taarifa yake kwa vyombo vya habari amesema Mtatiro amekamatwa jana Julai 5, 2018 na hadi sasa anashikiliwa na polisi.

Amesema mwenyekiti huyo katika ukurasa wake wa mtandao wa facebook ameandika, ‘rais kitu gani bwana’.

“Juzi Mtatiro alipokea simu ya wito wa kuhitajika kituo kikuu cha polisi Dar es Salaam. Jana alikuwa amealikwa kama mmoja wa wageni wawezeshaji wa mjadala na taasisi ya Twaweza katika kongamano la kujadili maoni ya wananchi kuhusu kushiriki maandamano na siasa,” amesema Maharagande.

“Ilipofika saa tatu asubuhi akiwa anaelekea huko alipigiwa simu kujulishwa afike kituoni hapo saa nne asubuhi. Niliambatana naye mpaka kituoni hapo na tulipokelewa na ZCO na kujulishwa kuwa anahitajika achukuliwe maelezo yake kuhusu ujumbe alioutuma katika mtandao huo.”

Amesema, “Tukakabidhiwa maofisa wa polisi wa kufanya kazi hiyo. Wakati wa kuanza kuchukuliwa maelezo yake alielezwa kuwa anatuhumiwa kwa kutuma ujumbe wa kejeli na kashfa dhidi ya Rais Magufuli kupitia mtandao wa kijamii.”

Amebainisha kuwa mwenyekiti huyu wa CUF upande unaomuunga mkono Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, alichukuliwa maelezo hadi saa 10 jioni, baadaye kuelekea nyumbani kwake kwa upekuzi.

Amesema walirejea tena kituoni hapo saa 4 usiku na maofisa wa polisi walimueleza kuwa wataendelea kuwa naye mpaka leo asubuhi, “Walisema watatujulisha  kama watampatia dhamana au vinginevyo.”

Amebainisha kuwa Mtatiro amewataka wanachama wa CUF kutokuwa na hofu juu yake, wajitokeze kwa wingi mahakamani.

Viwanja Vinauzwa Kwa Bei Nzuri Kabisa

$
0
0
VIWANJA VYENYE USALAMA:  Tunauza sqm 2600 Tsh 35 milioni na sqm 600 Tsh millioni 9 eneo Mingoi mita 300 kutoka Barabara ya lami yani Bagamoyo road pia km 1 kutoka Bunju sokoni 

Hapa umeme na maji vipo na majirani washajenga, vipo very standard .Pia sqm 1400 Tsh million 18, sqm 2400 Tsh million 24 .

Vipo ambayo tunakata vidogo vidogo yani mita 10kwa20 mil 2 pia awamu inaruhusiwa.Karibuni 0677705808


Ratiba Ya Mechi Za Robo Fainali Kombe La Dunia 2018 Urusi

$
0
0

*Ijumaa, July 06*-LEO
1. 🇺🇾Uruguay 🆚🇫🇷Ufaransa(11:00 jioni)
2. 🇧🇷Brazil 🆚🇧🇪Ubelgiji(3:00Usiku)

*Jumamosi Julai 07*-KESHO
3. 🇸🇪Sweden🆚  England🇽🇪(11:00)
4. Urusi🇷🇺🆚🇭🇷Croatia(3:00 Usiku)

Vera Sidika Kumpeleka Mpenzi Wake Brown Kwa Wazazi

$
0
0
Socialite maarufu kutoka pande za +254, Kenya Vera Sidika amedaiwa kuwa tayari kumpeleka nyumbani kwao kwa wazazi wake mpenzi wake Otile Brown.

Vera na mpenzi wake Otile Brown ambaye ni staa wa muziki kutoka pande hizo wamesemekana kuwa Kwenye Mahusiano kwa miezi kadhaa sasa na Vera yupo tayari wazazi wake wamuone mpenzi wake.

Kwa mujibu wa Mtandao wa SDE, Vera ambaye yupo katika uhusiano wa kimapenzi na Otile kwa zaidi ya miezi sita, anafanya hivyo ili mpenzi wake huyo aweze kuwatambua ndugu pamoja na familia zake alikokulia huko Jimbo la Magharibi ya Kenya. Katika safari hiyo, wawili hao wataongozana na mtangazaji wa redio maarufu, Jalang’o.

Lakini pia wawili hao wamezidi kuonyesha mapenzi yao ni mazito baada ya kuonekana wakienda hospitalini kwa daktari kupima virusi vya Ukimwi mara kwa mara.

Gigy Money: Prezzo Kafulia Choka Mbaya

$
0
0
Video vixen na Msanii wa Muzikiwa Bongo fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money ameweka wazi msanii kutoka Kenya Prezzo hivi sasa amefulia vibaya mno.

Gigy Money alifunguka hayo wakati anaongelea uhusiano kati ya Rafiki yake Amber Lulu na mpenzi wake Prezzo

Kwenye mahojiano na Kipindi cha XXL cha Clouds Fm, Gigy Money ameweka wazi hivi sasa ukimuona Prezzo siyo yule uliyekuwa unamuona kwenye Tv yaani kafulia:

"Yaani Prezzo kakonda kuliko hata unavyomuona Kwenye picha, naona ni stress za kimaisha kwa sababu mimi nimeenda kuperfom juzi juzi Nairobi nimeondoka club nimemuacha Prezzo mpaka asubuhi saa saba za usiku hana direction yoyote.

"Alikuwa ana jina zamani sio sasahivi, hata wanavyomchukulia huko Nairobi sio tunavyomchukulia sisi huku Bongo yaani amefulia choka mbaya hayupo kwenye peak tena hata huku tunamuongelea sababu ya Amber”.

Gigy Money amedai Kenya wasanii wenye majina ni wasanii kama Nyanshinki, Will Paul, Khaligraph na wengine lakini ukimtaja Prezzo watu watakucheka sana.

Kangi Lugola amtimua Kamishna Mkuu wa Magereza, Juma Malewa ....Ni Baada ya Kuchelewa Kwenye Kikao kwa Dakika 1

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amemfukuza kikaoni Kamishna Mkuu wa Magereza, Juma Malewa kwa kuchelewa.

Lugola amemfukuza Dk Malewa leo Julai 6, saa tano asubuhi ikiwa ni dakika chache baada ya kikao hicho kuanza.

Awali, Lugola alisema ikifika saa 5 kamili, mlango ufungwe na kama alivyoagiza, ulifungwa. Ilipofika saa 5:1 mlango ulifunguliwa ili Dk Malewa aingie.

Baada ya kuingia Dk Malewa, Lugola akahoji kwa nini amefunguliwa mlango?

Licha ya Dk Malewa kuomba msamaha, Lugola alikataa kata kata. Pia Lugola ameagiza Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, kumshusha cheo hadi kubaki na nyota tatu, mkuu wa usalama barabarani, Mbeya, Leopold Fungu.

Pia ameagiza Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto mkoa wa Kagera, George Mrutu ashushwe cheo.

Kikao hicho ni cha kimkakati cha viongozi wa vyombo na taasisi zilizopo chini ya wizara hiyo.

Jipatie Dawa za Asili za Kupunguza Maziwa, Kutoa Michirizi, Kuondoa Chunusi, Kuongeza Maumbilie na Nguvu za Kiume

$
0
0
Katika kusherehekea miaka 15 ya kampuni ya NATURAL BEAUTY PROD tunatoa shukrani za dhati sana kwa wateja wetu wote kwa kutuunga mkono miaka yote hiyo.
 
TUNATOA OFFA YA WIKI NZIMA KWA WATEJA WETU UKINUNUA BIDHAA UTAPATA PUNGUZO LA 20%. KWA WATEJA WA MIKOANI UTATUMIWA BURE.

Ni bidhaa salama kabisa zilizotengenezwa kwa mimea na matunda pia zina matokeo mazuri na kwa haraka zaidi.

🥑🍇🍋🍓🍒🌱🍇🍇
👇👇👇👇
1.HANDSOME UP ORIGINAL_ Inaongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli (wiki 2) @220,000/=
2.SHARK POWER GELY_ Inaongeza uume inch 6 (wiki 4) @150,000/=
3VigRX CREAM_ Inaongeza uume inch 7.5 hadi 8 (wiki 2-3) @180,000/=
4.Vidonge maalum vya kuongeza nguvu na hamu ya tendo hata kwa wenye kisukari na BP @140,000/=
5. MAXMAN 2-Hii ni vidonge vinavyoongeza nguvu za kiume pamoja na uume @210,000/=
6.VIGA SPRAY OG_ Inaongeza uwezo ktk tendo na kuchelewesha kufika kileleni @140,000/
7.BOTCHO MULT PLUS_Hii ni dawa ya kunywa ya kuongeza ( Hips mapaja na makalio) inapatikana kwa @160,000/=
8.BOTCHO CREAM HOLOGRAM_ Hii ni yakupaka ya kuongeza (HIPS na MAKALIO) @150,000/=
9.LEG BOOSTER_Ni dawa ya kuongeza miguu (CHUPA YA BIA) @140,000/=
10.BODY BOOSTER_ Hii ni yakuongeza mwili pamoja na hamu ya kula vizuri @140,000/=
11.YODI PILLS--- Hii ni dawa ya vidonge ya kuongeza (hips mapaja na makalio) inapatikana kwa @160,000/= N.K

NB:Hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa NATURAL BEAUTY PROD ili kuthibitisha ubora wa bidhaa zetu.
Wasiliana nasi Popote ulipo duniani kwa no÷

(+255) 659618585
au
0759029968
Follow us instagram-
GOOGLE
YOU TUBE
@natural_beauty_prod
@natural_beauty_prod
@natural_beauty_prod
@natural_beauty_prod < WELCOME ALL>

Makanga 3 Power; Dawa Bora Nguvu Za Kiume

$
0
0
Kutibu nguvu za kiume dakika(10) na kupona muda wa siku tatu tuu. Kuimarisha misuli ya uume uliolegea, pia ipo Dawa ya kurefusha uume mfupi inchi NNE hadi saba na kunenepesha uume mfupi sentimita NNE.

Tiba ya kudumu kutibu maumivu ya mgongo,kiuno, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, kupata choo vizuri, na kutibu uzazi, kutibu busha bila operesheni, kisukari, presha ,miguu kuuma, uzazi, fangas sugu, vidonda vya tumbo.

Ni docta bingwa wa kutibu magonjwa sugu, kutoa ndagu za utajiri kwa kutumia Pete, kazi ,cheni, mikufu maalumu ya bahati, una kesi umedhulumiwa Mali au pesa? Zitarudi muda wa Masaa matatu tuu.

Onana na Dr shilindes shida zako zote zitakwisha, anatoa Dawa za utajiri kwa wafanyakazi, wakulima, na wafugaji, wafanyabiashara na wachimba madini kwa kutumia pete, kazi kwa yeyote anaetaka kuwa na pesa nyingi.

Pia anaboresha akili kwa wanafunzi darasani, masomo na kufaulu mitihani pia kushinda bahati nasibu yeyote.

Pia tunatoa Dawa kumrudisha Mume, mke, mpenzi, hawara, kwa muda wa SAA moja tuu, na kuomba msamaha kwa kukupigia magoti na yeyote yule, unaemtaka kimapenzi au kuoana, utampata na kumfunga asitoke nje ya ndoa daima na kutekeleza shida zako zote. Kupunguza unene, kupunguza matiti makubwa, tumbo na nyama uzembe muda wa siku sita unapata saizi uipendayo.

Kutoa makovu mwilini, chunusi, upele na mabaka, pia tunayo Dawa ya kuongeza hipsi, makalio, mguu wa bia na kupata shepu safi kwa muda wa siku saba tuu.

Wa mikoani mtapata huduma popote mlipo.
Tupo dar es salam mbagala rangi tatu.

Mawasiliano simu namba: 0784 460 348. Au 0659 103 360.

Tunatibu Na Kuponesha Kabisa Upungufu Wa Nguvu Za Kiume, Maumbile Mdogo, Busha Bila Kupasua

$
0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO BUSHA BILA KUPASUA PRESHA VIDONDA VYA TUMBO : Asilimia kubwa ya wanadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wapo waliohangaika sehemu mbalimbali bila mafanikio.

Mabula Clinic ni kituo cha tiba asilia kilichopo mbagara zakhemu njia kuu ya jeshini. Je unaupungufu wa nguvu za kiume au uume wako mdogo na mwembamba? 

Mapro pawer no 2 ndio tiba, kwa sasa hutibu matatizo matatu kwa pamoja 1. itakufanya uchelewe kufika kileleni dikika 15-20 kwa tendo la kwanza 2. Huimalisha misuli iliyolegea na kusinyaa hasa kwa wale walio athirika na upigaji punyeto 3. itakufanya upate hamu ya kurudia tendo zaidi ya mara tatu :Kwa nini ujione mpweke pale ukutanapo na mpenzi au mke wako kisa unawai kukojoa au unakomea bao moja tu na huku dawa zipo 

Makakanua mix ni dawa iliyochanganywa na miti shamba 9 na kuwa na uwezo wa kuongeza uume saizi upendayo inchi 5-8 kwa urefu na unene sentimita 1-5, dawa hizi hazina madhara yoyote kwa mtumiaji ata wazee wenye umri mkubwa wanapona

 Zipo dawa za mvuto wa mpenzi mme au mke kwa masaa matatu tu ,mvuto wa biashara, kutengeneza mwonekano mzuri wa mwili kwa wanawake yani shepu.

Tunatibu ngiri, miguu, mgongo na kiuno kuumwa, kupunguza kitambi minyama uzembe matiti na mwili mkubwa 

Tiba na ushauli muone Dr Mabula au piga simu no 0743362017.Huduma zangu utazipata popote ulipo kama uwezi kufika ofisini

Dawa Za Nguvu Za Kiume Na Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa

$
0
0
Asilimia 45-80 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kutowatimizia vyema wake au wapenz wao na kuwasababishia kutoka nje ya mahusiano yao. 

NINI CHANZO CHA HAYO? Kupiga punyeto,Ngiri, Vidonda vya tumbo, Korodani moja kuvimba, Msongo wa mawazo, Presha, Magonjwa ya zinaa, Kufanyiwa tohara ukiwa na umri mkubwa, Kisukari. 

DR. LUTAJA Sasa anakuletea tiba sahihi ya tatizo la Nguvu za kiume. 

NTOMBO :Hii hutibu na kuponya kabisa tatizo la Nguvu za kiume, utakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila kuchoka na itakufanya uchelewe kafika kileleni kwa mda wa dk 20-45. Dawa hii imechanganywa na miti 18,Hata wazee wenye umri mkubwa wa zaidi ya miaka 85 wanapona kabisa okoa mahusiano yako, ndoa yako sasa. 

SUNGURURU MIX:Ndio tiba sahihi kwa wale wenye maumbile madogo hurefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo nchi 3-8 na unene cm 2-5,dawa hii ipo katika mfumo wakupaka nakunywa na haina madhara yoyote kwa mtumiaji :Hii ni tiba tofauti kabisa nazile ambazo umekwisha wahi kutumia. 

Pia tunadawa za Kupandisha nyota , Uzazi, Pumu, Malaria sugu, miguu kuwaka moto, Kaswende, Kisonono pamoja na mvuto wa mpenzi.

 DR. LUTAJA ANAPATIKANA DAR-ES-SAALAM Simu 0713-821823 kwa wale wa mikoani huduma hii utaipata popote ulipo.

Kangi Lugola: Wizara Yangu Haihusiki na Mambo Ya Watu Kupotea

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema vyombo vya usalama havishughuliki na kutoweka kwa watu bali wanahusika na watu waliotendewa uhalifu.

Lugola ameyasema hayo leo Ijumaa Julai 6, katika mkutano wake na waandishi wa habari na wakuu wa vyombo vya usalama wakati alipoulizwa kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari, Azory Gwanda.

“Kuhusiana na watu kutoweka, sisi Wizara ya Mambo ya Ndani hatuingilii uhuru wa ndani wa mtu, huyo ambaye mnasema ametoweka nyumbani kwake sisi hatuhusiki, kwa sababu kuna mwingine anatoweka kutokana na sababu za kimaisha,” amesema.

Waziri Lugola alisema kama Gwanda alitoweka wakati akiwa nyumbani, wao hawahusiki bali wanahusika na mtu aliyetendewa uhalifu ikiwamo kutekwa, akisema katika tukio kama hilo vyombo vya dola humtafuta mtekaji.

“Hawa ambao wanatoweka kwao tu, wanakuwa na sababu nyingi. Kuna wengine maisha yakiwashinda anaamua kwenda kwingine,” alisema.

Lugola alieleza uzoefu wake alipotembelea migodi wakati  akiwa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

"Kwenye migodi nilikutana na watu ambao kwao walishaweka matanga kwa kujua wameshakufa. Kwao hawaonekani, lakini kumbe wametoweka,"
alisema Lugola

Lugola ameeleza kuwa hicho ndicho anachoweza kusema kwa sasa kuhusu kutoweka kwa Gwanda.

Pamoja na mambo mengine, Waziri Lugola amemtoa kikaoni Kamishna Mkuu wa Magereza kwa kuchelewa kikaoni huku akiahirisha kikao chake na wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama na idara zilizopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kutokana na kutokuja na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano waliopanga kuufanya baada ya mazungumzo na waandishi wa habari na kuwaagiza wakuu wa majeshi wakachukue ilani ndipo warudi kuendelea na kikao.

CCM Wamvaa Freeman Mbowe

$
0
0
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefunguka na kumjia juu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe kwamba sio kweli wamezuiliwa kufanya mikutano ya hadhra katika majimbo yao kama wasemavyo bali wao wenyewe ndio hawataki kufanya.

Hayo yamebainishwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa (CCM), Humphrey Polepole kwenye mjadala wa uzinduzi wa ripoti ya pili Twaweza kuhusiana na hali ya siasa nchini uliofanyika Julai 05, 2018 na kusema hakuna chama chochote kilichokatazwa kufanya mikutano ya hiyo.

"Mikutano ya hadhara haijapigwa marufuku ila imewekewa utaratibu mzuri zaidi wa namna ambavyo tunapaswa kufanya siasa katika nchi yetu. Tatizo lililokuwepo katika mikutano ya hadhra haifanyiki na wanaoongoza kutofanya hivyo sio CCM bali ni upinzani, na hawafanyi kwasababu hawaishi katika majimbo yao husika ambayo wamepigiwa kura na wananchi wao", amesema Polepole.

Pamoja na hayo, Polepole ameendelea kwa kusema "kwa mfano Mh. Mbowe tangu alipochaguliwa mwaka 2015 mkutano wake wa kwanza ameufanya Hai mwaka 2017 lakini yeye na chama chake wamekuwa mstari wa mbele kusema wamezuiwa kufanya mikutano ya hadhra".

Kwa upande mwingine, Polepole amewataka Wabunge waende kuishi kwenye majimbo yao ambayo wamepigiwa kura na wananchi wao ili waweze kuwasikiliza na kutatua kero zao ambazo wanakumbana nazo kwa madai hakuna njia nyingine mbadala wa hiyo huku akitolea mfano kwa kuwataja Wabunge wachache ambao hawaishi katika majimbo yao husika kuwa ni Zitto Kabwe, Freeman Mbowe, James Mbatia

Bodi Ya Nyama Nchini Yaanza kuwabana Vishoka Wanaowauzia Wateja Nyama Za Punda, Mbwa Bila Ridhaa Yao

$
0
0
Na Mahmoud Ahmad,Arusha
Bodi ya Nyama Tanzania imeanzisha utaratibu wa kuwasajiri wafanyabiashara wa Nyama wakiwemo wachinjaji kwa lengo la kudhibiti vishoka wanaouza Nyama haramu kinyume cha sheria
 
Mwenyekiti wa Bodi hiyo Prof,Faustine Lekule ameyasema hayo jijini Arusha katika kikao cha bodi ya wakurugenzi wa Bodi ya Nyama nchini baada ya kutembelea viwanda vya Nyama ,Wafugaji na wachinjaji na kujionea changamoto zinazowakabili.
 
Amesema mpango huo utasaidia kuondoa malalamiko kutoka kwa walaji kutokana na baadhi ya wauzaji wa nyama kutokuwa waaminifu kwa kuwachangajia Nyama zisizostahili ikiwemo za wanyama  Punda,Mbwa,Paka bila ridhaa ya Mlaji.
 
Pia amesema bodi yao imelenga  kuwaunganisha wachinjaji wa Nyama ,wafanyabiashara wa Nyama na masoko mbalimbali ndani na nje ya nchi, na kuwataka wachinjaji  wahakikishe wanauza Nyama yenye ubora unaostahili.
 
Amesema bodi hiyo kupitia ofisi zake zilizopo wilayani itasajiri wachinjaji wa Nyama na kuwapatia vibali maalumu ili kupunguza vishoka kufanyabiashara hiyo kinyume na uaratibu
 
“Suala  la uchinjaji na uuzaji wa Nyama ya Punda na Vibudu linafanywa na vishoka ndio maana tumeanzisha utaratibu wa kuwasajiri wauzaji wa Nyama ili kudhibiti hali hiyo” Amesema

Naye Mwanasheria wa Bodi hiyo Pressgod Lukio amesema kuanzia sasa bodi hiyo itaanza kuchukua hatua kwa kuwafikisha mahakamani baadhi ya wauzaji wa Nyama wasiozingatia taratibu za Nyama  katika viwanda vya Nyama na machinjio.
 
“Sheria imeelekeza atakayefanya biashara ya Nyama haramu kwa kumlisha mlaji nyama Asiokula bila ridhaa yake atakamatwa na kufikishwa mahakamani na kifungo chake kinaanzia miaka mitatu na faini isiyopungua milioni 5 ama vyote kwa oamoja na kuendele”Amesema

Magari Mabovu Marufuku Dodoma

$
0
0
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani jijini Dodoma limewaonya wamiliki wa magari mabovu kutoyaingiza  barabarani hadi hapo watakapoyafanyia matengenezo.

Akizungumza leo Julai 6, 2018 katika mafunzo ya wanahabari kuhusu usalama barabarani, kaimu mkuu wa usalama barabarani Mkoa wa Dodoma,  ASP Swaleh Digega amesema mpaka sasa zaidi ya magari mabovu 30 yamekamatwa.

Ametaja aina ya magari yanayoshikiliwa mpaka sasa kuwa ni pamoja na yale yanayobeba mchanga, magari madogo na yanayobeba abiria.

Amesema uchakavu wa magari husababisha foleni zisizo na msingi, kwamba yanaongeza ajali za barabarani kwa kuwa mengi hufeli breki.

"Gari ukilitembelea ikifika muda fulani unalifanyia matengenezo, tunaposema gari kuu kuu tunamaanisha ni yale yenye matatizo, yasiyo na breki, chakavu, namba yake inaning’inia. Taa hakuna, mengine hayawaki mpaka yasukumwe,” amesema.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images