Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

HII NDO RASIMU YA KATIBA MPYA KWA AJILI YETU WATANZANIA.....MAMBO YOTE YAKO HUMU.....

$
0
0
<!-- adsense --> Rasimu  ya katiba  ipo tayari kwa ajili yetu watanzania..... Ili  kuisoma, bofya  hapo  chini << RASIMU  YA  KATIBA  MPYA>>.

MSHIRIKI WA TANZANIA ( FEZA KESSY) KATIKA BIG BROTHER YUKO HATARINI KUTOLEWA...KURA ZAKO ZINAHITAJIKA

$
0
0
Kama hisia za wengi zilivyokuwa kuhusiana na Betty kulipiza kisasi, mambo yameenda hivyo.. Betty ambaye ni Head of House wa Diamond house amemuokoa Bolt na kumuweka kikaangoni Feza.. Katika Ruby house, Selly ambaye ni Head of house huko, naye ametumia ukuu wake wa kaya kumuokoa Biguesas na kumtia kitanzini Koketso.. Wiki hii Feza, Dillish, Hakeem, LK4 na Koketso wako kikaangoni..

SIMULIZI: MZEE WA MIAKA 80 ATENDEWA UNYAMA WA KUTISHA...... FAMILIA YAKE YATUPWA NJE NA KUBEBEWA VITU VYOTE

$
0
0
MAISHA ya familia ya mzee Athumani Mwenda, 80, ni ya mateso makali baada ya nyumba yao kubomolewa ikiwa na vitu ndani. Mzee huyo na familia yake sasa wamekuwa wakiishi nje huku wakikabiliwa na njaa pamoja na maradhi mbalimbali.   Tukio la kuvunjiwa nyumba lilitokea Mei 24, mwaka huu katika Kitongoji cha Mvuti, Ilala, Dar na inadaiwa kuwa ubomoaji huo ulifanyika chini ya mtu

MWILI WA ALBERT MANGWEA UKISUBIRIWA KUPOKELEWA HIVI SASA

ALBERT NGWEA APOKELEWA KWA HUZUNI KUBWA, MWILI WAKE UMEPELEKWA HOSPITALI YA MUHIMBILI

$
0
0
 Mwili ukipelekwa  muhimbili.... Mwili wa Marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia May 28 huko Johannesburg leo umeingia Dar es salaam na kupelekwa moja kwa moja hospitali ya Muhimbili, umati wa watu  umefika uwanja wa ndege kushuhudia na kumpokea Ngwea.   <!-- adsense -->

"SITANYAMAZA KUSHAMBULIWA KWANGU.NI LAZIMA JAMII IJUE"...HII NI KAULI YA KIBANDA BAADA YA KURUDU TANZANIA

$
0
0
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda (wa tatu kulia) akiwasili jana.   MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda amerejea chini jana kutoka Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa na kusisitiza kwamba hatanyamaza kuzungumzia janga la kushambuliwa kwake. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege

MWANADADA WA KITANZANIA ANAYETARAJIWA KUNYONGWA IJUMAA HII NCHINI MISRI BAADA YA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA

$
0
0
Kuna hizi habari  ambazo  zimeanza  kusambaa  kwa  kasi  siku  ya  jana  katika  mitandao  ya  kijamii..... Taarifa  hizo  zinamuonesha  msichana  ( pichani)  wa  kitanzania  ambaye  anadaiwa  kunyongwa  ijumaa  ya  wiki  hii  baada ya  kukamatwa  na  madawa  ya  kulevya.... Mtandao  huu  bado  haujathibitisha  ukweli  ama  undani  wa  habari  hizo.... LAKINI  kwa  tahadhari, tunaomba  kama

MUONEKANO WA JUKWAA NA SEHEMU YA KUUAGA MWILI WA ALBERT NGWEA NDANI YA VIWANJA VYA LEADERS CLUB

$
0
0
 Sehemu hii ndipo mwili wa marehemu Albert Mangweha  utawekwa hapa tayari ya kuanza zoezi zima la kumuaga. Kwa wale mashabiki wa EAST Cost nadhani watakuwa wanamfahamu msanii huyu anajulikana kwa jina la PUFF G nae amekuja japo apate picha ya ukumbusho kidogo maana baadae  patakuwa na msongamano wa watu wengi sana. DjChoka <!-- adsense -->

MWILI WA ALBERT MANGWEA UMESHAWASILI VIWANJA VYA LEADERS CLUB KWA AJILI YA KUAGWA

$
0
0
Mwili  wa  marehemu  Albert  Ngwea  umeshafika   viwanja  vya  Leaders  club.... Updates  zinakuja<!-- adsense -->

MAMBO 10 KUHUSU DIAMOND LIKIWEMO LA KUMILIKI ZAIDI YA BILIONI MOJA KATIKA ACCOUNT YAKE

$
0
0
1. Ana utajiri unaozidi shilingi bilioni 1. 2. Yupo kwenye mazungumzo na promoter wa Rwanda kufanya show moja ya uwanjani ambayo anaweza kulipwa dola 120,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 190. 3. Malipo ambayo hupokea kwa show zake nyingi za nje ya nchi hayashuki chini ya dola 25,000. 4. Tangia mwaka 2011 mwishoni akaunti yake haijawahi kushuka chini ya shilingi milioni 100

VIDEO YA MATEKA AKING'OLEWA MENO KIKATILI...NI UNYAMA ULIOPITILIZA

$
0
0
Pengine umewahi kusisimka mwili kwa kusoma habari ama kuhadithiwa taarifa za watu kufanyiwa ukatili wa kupigwa, kutobolewa macho, kung'olewa kucha, kupigwa viwiko vya viungo vya mwili na pengine maumivu makali kuliko yote, ni yale ya jino, halafu ling'olewe bila ya kutumia dawa ya aina yoyote ile ya ganzi.  Jaribu  kuvuta  taswira  ya  watanzania  waliowahi  tekwa  na  kunyofolewa  macho 

UPDATES TOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB KATIKA SALAMU ZA MWISHO KWA ALBERT NGWEA

$
0
0
 Gari lililobeba Mwili wa Marehemu Albert Mangwea likiwa limeshawasili katika viwanja vya leaders tayari kwa wakazi wa jiji la Dar kutoa Heshima zao Za Mwisho Kabla ya Mwili Kusafirisha Mkoani Morogoro kwaajili ya Mazishi  Baadhi ya Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na wana kamati wakijiandaa kuteremsha jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Albert Mangwea katika viwanja vya Leaders muda

KIJANA ANUSURIKA KUUAWA BAADA YA KUNASWA AKIMBAKA BINTI WA MIAKA 10 MKOANI IRINGA

$
0
0
Mkazi mmoja wa Mwangata katika Manispaa ya Iringa amenusurika kuuwawa na wananchi baada ya kukutwa akimbaka binti wa miaka kumi. Tukio hilo linaelezwa kutokea jana saa nane mchana, pale ambapo mazazi wa binti huyo alipomsikia mwanaye akilia kwa uchungu, na aliposogea kujua kulikoni, alimshuudia kijana huyo akiendelea na ubakaji jambo lililosababisha apige kelele kuomba msaada wa

PICHA TOKA MOROGORO AMBAKO ALBERT MANGWEA ATAZIKWA BAADA YA KUAGWA VIWANJA VYA LEADERS CLUB

$
0
0
 Wageni waliofika msibani Morogoro kwa marehemu Mangwea.  Masufuliya ya chakula kwa watu waliokuwepo msibani morogoro.  Wakipanga jambo kutokana na eneo la nyumbani kwao marehemu Mangwea kuwa padogo. <!-- adsense -->

MAELFU YA WATU WAJITOKEZA KUMUAGA ALBERT NGWEA.....SALAMU ZA MWISHO ZIMEANZA KUTOLEWA

$
0
0
Diamond Platnumz akipita mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Albert Mangwea kutoa heshima zake za mwisho. Rais wa Chama cha Wanamuziki Nchini. Mwili wa marhemu Albert Mangwea ukiwa kwenye jeneza tayari kwa watu kutoa heshima za mwisho Umati wa watu wakiwa wamepanga mstari tayari kwa kwenda kuaga huku kikosi cha msalaba mwekundu na polisi kikiwa stand by

MTANZANIA MWENZETU ANATARAJIWA KUNYONGWA IJUMAA HII HUKO MISRI.....HII NI VIDEO YA TUKIO ZIMA

$
0
0
Asubuhi  tuliripoti  juu  ya  kuwepo  kwa  mtanzania  mwenzetu  anayetarajiwa  kunyongwa  ijumaa  hii (   bado  hatuna  uhakika  )..... Tumefanikiwa  kuinasa  video  wakati  akikamatwa  na  madawa  ya  kulevya...  Hizi ndo picha  za huyo msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya au nchini Misri.  Pia

ANASA ZA DUNIA NA UVIVU WAMFANYA MR. NICE ATIMULIWE NA GRANDPA RECORDS YA KENYA

$
0
0
Mambo yamwendea mlama msanii kutoka Tanzania Mr.Nice ambae alikuwa ameula katika nchi jirani  ya Kenya kwa kusaini mkataba mnomo na familia kubwa ya Muziki ya GrandPa Records inayowapeleka mbele sana wasanii kadhaa akiwemo DNA, Ng’ang’a wa TPF na wengine. Mr. Nice amepigwa chini na Familia hiyo ambayo tayari ilikuwa imeshampigisha hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kumuandalia tour ya

PICHA TOKA MOROGORO AMBAKO MWILI WA ALBERT NGWEA UMEPOKELEWA TAYARI KWA MAZISHI

$
0
0
Msafara wa kupokea mwili wa msanii  marehemu Albert Mangwea ukiwa unaingia morogoro hapa ni eneo la nane nane,Umati mkubwa umejitokeza katika mapokezi hayo jioni ya leo    MAPOKEZI YA MWILI WA NGWEA ENEO LA MAZIMBU ROAD KIHONDA. <!-- adsense -->

"UMASIKINI WA AKILI YA VIONGOZI NDO SABABU INAYOWAFANYA WAINGIE MIKATABA MIBOVU"...REGINALD MENGI

$
0
0
Viongozi wa afrika wanastahili kulaumiwa kutokana na rushwa na uhamishwaji haramu wa mitaji unaofanywa na makampuni ya kimataifa, asema mkurugenzi mtendanji wa IPP, Bw. Reginald Mengi  video <!-- adsense -->

MUME WA KHADIJA KOPA AFARIKI DUNIA

$
0
0
Khadija Omar Kopa akiwa na mumewe Jaffari Ally enzi za uhai wake.Mume wa Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki, Khadija Omar Kopa, aitwaye Jaffari Ally amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.    Marehemu alikuwa anasumbuliwa na matatizo katika mfumo wa upumuaji na mpaka mauti yanamfika alikuwa amelazwa katika hospitali ya wilaya Bagamoyo.   Mungu ailaze roho ya marehemu mahali
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images