Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Steve Nyerere Amchana Mama Kanumba

$
0
0
Muigizaji filamu bongo Steven Nyerere amefunguka juu ya kitendo cha Mama Kanumba kutoridhishwa na kubadilishiwa adhabu Elizabeth Michael (Lulu) ambaye alifungwa kwa kosa la kumuua bila kukusudia mwanaye Kanumba.

Steve Nyerere amesema kwamba amefuta namba ya mama Kanumba kwani hana shughuli naye, na asitake kushindana na serikali kwa sababu hata yeye ilimsaidia alipohitaji msaada.

“Mimi namba ya yule mama nimeifuta nimekasirika nimeona hana shughuli tu, kwa sababu anaongea vitu ambavyo havipo yaani, na sikioni kama kina tija.

"Unajua kuna vitu vingine sio vya kukurupuka kuongea, unatakiwa ukae na watu wakupe hata ushauri, halafu yeye sio mtu wa kugombana na serikali, serikali alipokufa Kanumba ilimsaidia sana, hata hapo alipokuwa anaishi ni serikali ilimpa, yeye hakutakiwa kujibu chochote, alitakiwa kunyamaza na maisha yakaendelea.

"Hata ukimfunga Lulu miaka mia, mtoto atarudi!? Sasa usiilazimishe jamii ikuone umefeli na usiilazimishe jamii ikuone una roho mbaya”, amesema Steve Nyerere.

Steve Nyerere ameendelea kwa kusema kwamba mama huyo hapaswi kulalamika sana kwani hana uhakika kama kweli aliua, kwani pia wawili hao walikuwa kwenye mahusiano.

Trump Amgeuka Mshauri Wake Kuhusu Kuifanya Korea Kaskazini Kama Libya

$
0
0
Rais wa Marekani, Donald Trump amepinga kauli ya mshauri wake mkuu wa masuala ya ulinzi, John Bolton aliyedai kuwa mfumo wa kuondoa silaha za kinyuklia nchini Korea Kaskazini utafanana na uliotumika Libya.

Tump amesisitiza kuwa makubaliano kati ya Marekani na Korea Kaskazini yanayotarajiwa kuanza katika mkutano kati ya viongozi wa nchi hizo mbili, uliopangwa kufanyika Juni 12 mwaka huu hayana mlengo wowote wa mfanano na aliyoyasema Bolton.

“Mfumo uliotumika Libya sio mfumo ambao tunaulenga tunapofikiria suala la Korea Kaskazini,” alisema Trump.

Rais Trump alifafanua kuwa anachofikiria ni kuhakikisha Korea Kaskazini inafuata mfumo wa Korea Kusini katika kuleta maendeleo baada ya kuondolewa vikwazo. Aliwasifu watu wa Korea Kaskazini kuwa ni watu wazuri na wachapakazi, hivyo anaamini baada ya makubaliano hayo yatakayoondoa vikwazo pia nchi hiyo itakuwa tajiri zaidi.

Korea Kaskazini ilitishia kuachana na mpango wa kiongozi wake, Kim Jong-un kufanya mazungumzo na rais Trump nchini Singapore baada ya kukasirishwa na kauli za Bolton pamoja na mazoezi ya pamoja kati ya Marekani na Korea Kusini ambayo waliyataja kuwa ni mazoezi ya kujiandaa kufanya uvamizi.

Mwaka 2003, Libya chini ya uongozi wa Muammar Gaddafi ilitangaza kuachana na mpango wake wa kutengeneza silaha za maangamizi za kinyuklia, hatua iliyoishtua dunia. Uamuzi huo ulisababisha kuondolewa vikwazo pamoja na kurejeshwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati yake na Marekani pamoja na washirika wake.

Hata hivyo, mwaka 2011, Libya ilivamiwa na waasi walioungwa mkono na Marekani chini ya mwamvuli wa NATO na mwisho wakamuua Gaddafi.

Historia hiyo imemshtua Kim Jong-un ambaye alitangaza kuteketeza vinu na eneo la majaribio la silaha za maangamizi za kinyuklia za nchi hiyo.

Hata hivyo, kuna mkanganyiko wa matakwa ya Marekani na inachofanya Korea Kaskazini, ambayo imesema kuwa katika makubaliano yake na Korea Kusini, walikubaliana kuharibu na kuachana na mpango wa silaha za nyuklia katika eneo lote la Rasi ya Korea, kwa pande mbili.

Mwakyembe Awataka Vijana kuiga Mfano Wa Flaviana Matata

$
0
0
Na Loretha Laurence-WHUSM,Dodoma
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amempongeza mwanamitindo wa kimataifa Bibi. Flaviana Matata kwa juhudi za kusaidia watoto wa kike kupata elimu kwa kuwawezesha  vifaa muhimu vya shule ikiwemo ada na madaftari.

Akizungumza na waandishi wa habari jana Jijini Dodoma Dkt. Mwakyembe amewataka vijana wa kitanzania kuiga mfano wa mwanamitindo huyo ili kuchangia katika ujenzi wa taifa.

“Nawasihi vijana wengine wenye fursa kama za Flaviana Matata kuzitumia vizuri  kwa kuhakikisha jamii inanufaika na mafanikio waliyoyapata” ameongeza Dkt. Mwakyembe

Aidha, aliongeza kwa kueleza kuwa, Mwanamitindo huyo amekuwa ni balozi mzuri katika kupeperusha bendera ya Taifa katika nchi mbalimbali za Ulaya.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza amempongeza Bibi. Flaviana kwa kuwa  mfano bora kwa watoto wa kike kwa jinsi ambavyo amekuwa akisaidia watoto wa kike nchini.

Naye Mwanamitindo wa Kimataifa Bibi. Flaviana Matata ameleza kuwa mbali na kujishughulisha na mitindo, ameweza kuanzisha kampuni ya Flaviana Matata Foundation ambayo inasaidia kutoa vifaa vya shule, ambapo hadi sasa amefanikiwa kutoa vifaa zaidi ya 5000 katika shule mbalimbali nchini.

Anazidi   kueleza kuwa, Taasisi hiyo imefanikiwa kurabati shule mbalimbali kwa kujenga madarasa na  kusomesha wasichana 15 ambao wanamaliza kidato cha sita mwaka huu na wengine watano bado wapo shule.

Hata hivyo, Mwanamitindo huyo ameushukuru uongozi wa Wizara kwa jitihada za wazi wanazozifanya katika kusimamia haki za wasanii na hivyo kurudisha hadhi ya tasnia hiyo nchini.

TPSF Yataja Sababu za Wafanyabiashara Kufunga Biashara Zao

$
0
0
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Godfrey Simbeye amesema kinachochangia kufa na kufungwa  kwa biashara nchini kunatokana na  mazingira magumu ya biashara pamoja na sera kandamizi zilizopo.

Amesema utafiti uliofanywa na TPSF umebaini kuwa biashara 4,640 zimefungwa nchini kwa kipindi cha miaka mitatu kutokana na vikwazo mbalimbali, huku akibainisha kuwa mfuko huo kwa sasa upo  tayari kusaidia maeneo mbalimbali ya ujasiliamali pamoja na kutoa elimu.

Simbeye ametoa kauli hiyo jana Mei 17, 2018 katika kongamano la kambi ya ujasiriamali iliyoandaliwa na Chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro.

Alisema  Tanzania inatakiwa kupiga hatua zaidi katika suala ujasiriamali kwa sababu  ni sekta pekee inayozalisha ajira kwa wingi nchini, hivyo ni vyema ikatumika kitaaluma katika kuwaandaa wanafunzi kufùndishwa kwa vitendo  wanapokuwa vyuoni.

“Sekta binafsi ni mwajiri pekee wa kudumu katika maisha ya mtu ama watu hivyo vijana wetu wanatakiwa kuwa wathubutu na kuondokana na uwoga kwani ni tatizo kubwa kwa vijana wetu,”amlisema Simbeye.

IGP Sirro afanya Mabadiliko makamanda wa polisi

$
0
0

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amemteua Naibu Kamishna wa Polisi, Maulid Makabila kuwa Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (D/DCI) Zanzibar, huku akifanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa.

Kabla ya uteuzi huo, Makabila alikuwa mkuu wa kitengo cha kuzuia uhalifu makao makuu ya Polisi Dar es Salaam.

Taarifa iliyotolewa jana  Alhamisi Mei 17, 2018 na msemaji wa polisi, Barnabas Mwakalukwa imeeleza kuwa katika mabadiliko hayo aliyekuwa DCI Zanzibar, Ramadhan Ng’anzi ameteuliwa kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha kuchukua nafasi ya Charles  Mkumbo aliyehamishiwa makao makuu ya upelelezi, Dar es Salaam.

Aliyekuwa kamanda wa polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Hassan Nassir Ali anakwenda kuwa kamanda wa polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba. Nafasi yake imechukuliwa na Kamishna Msaidizi wa polisi, Thobias Sedoyeka aliyekuwa makao makuu ya upelelezi Dar es Salaam.

 “Kamanda wa  polisi mkoa wa Kusini Unguja, Makarani Khamisi amehamishiwa makao makuu ya upelelezi Zanzibar na nafasi yake kuchukuliwa na kamishna msaidizi wa polisi, Suleiman Hassan aliyekuwa mkuu wa upelelezi Mkoa wa Kaskazini Unguja,” anasema Mwakalukwa katika taarifa hiyo.

Aliyekuwa kamanda wa polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja, Hasina Ramadhani Taufiq anakuwa ofisa mnadhimu makao makuu ya polisi Zanzibar na nafasi yake inachukuliwa na kamishna msaidizi, Haji Abdallah Haji aliyekuwa ofisa mnadhimu Mkoa wa Mjini Magharibi.

Taarifa hiyo inaeleza mabadiliko hayo ni ya kawaida yenye lengo la kuongeza ufanisi wa utendaji kazi.

Makonda: Nimelelewa jeshini ndio maana mimi ni jasiri

$
0
0
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amebainisha kuwa baba yake ni moja kati askari kutoka Tanzania ambao wamepigana vita nyingi kwa ajili ya kutetea taifa ikiwemo vita ya Kagera mwaka 1978.

Makonda amesema hayo wakati alipokuwa anatoa salamu kwa Rais Magufuli katika sherehe za ufunguzi wa kituo cha uwekezaji cha SUMA JKT Mgulani Jijini Dar es salaam na kuongeza kuwa alizaliwa na kulelewa katika kambi za jeshi

“Nikunong’oneze mheshimiwa Rais, mimi nimezaliwa kambini na baba yangu ni miongoni mwa askari waliopigana vita nyingi ikiwemo vita ya Uganda na mpaka ulemavu wake wa mguu ni kutokana na kazi ya kuipigania Tanzania,” amesema Makonda

Aidha, Makonda ameongeza kuwa kutokana na kulelewa katika kambi za jeshi imemsaidia kupata ujasiri wa kuongoza mkoa wa Dar es salaam wenye changamoto nyingi na kuweza kufanya kuwa Jiji la raha Tanzania.

Katika tukio hilo, Rais Dkt Magufuli alizindua kituo cha uwekezaji cha SUMA-JKT ambacho ndani yake kuna kiwanda cha Ushonaji, Maji, Chuo cha Ufundi Stadi na Ukumbi wa Mikutano.

Sethi Agoma Kuvuliwa Madaraka IPTL

$
0
0
Siku chache baada ya kuondolewa katika Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, mfanyabiashara Herbinder Sethi ameeleza kusikitishwa kwake na hatua hiyo, huku akisema hautambui uongozi mpya uliowekwa madarakani.

Uamuzi wa kumwondoa Sethi katika bodi ya wakurugenzi ambayo pia ilimvua uenyekiti wa IPTL, ulifikiwa baada ya kushindwa kushiriki na kuhudhuria mikutano ya bodi kwa miezi sita mfululizo bila ruhusa, tangu Juni 19, 2017 alipokamatwa na kushtakiwa.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ilimsomea Sethi mashtaka 12 ya uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na kuisababishia Serikali hasara ya Dola 22.198 milioni za Marekani (Sh309.5 bilioni).

Hata hivyo, taarifa kutoka kwa wakili wake, Hajra Mungula iliyotolewa jana kupitia mitandao ya jamii ilisema Sethi hatambui mabadiliko ya uongozi uliowekwa na kwamba yeye ni mmiliki halali wa IPTL ambayo kimsingi inamilikiwa na kampuni anayoimiliki ya Pan African Power Solutions (PAP).

“Pamoja na kuagiza wanasheria wake kuchukua hatua za haraka za kisheria, Mwenyekiti Sethi pia hana taarifa zozote juu ya mabadiliko hivyo anapenda kuutaarifu umma wazipuuze taarifa hizo kwa kuwa hazitokani na mamlaka halali ya kisheria ya kampuni hiyo,” ilisema taarifa ya Mungula

Mungula alisema mabadiliko hayo yamekwenda kinyume na notisi ya katazo la Mwanasheria Mkuu wa Serikali la Februari 12, 2018 lenye kumbukumbu Na. AGS234 lililozuia aina yoyote ya uhamishaji wa mali na umiliki wa mali za IPTL.

“Kimsingi mabadiliko hayo batili yanaathiri na kwenda kinyume na maelekezo ya Serikali.

“Pamoja na kwamba Mwenyekiti bado yuko mahabusu akituhumiwa kwa mashtaka kadhaa ya jinai, hiyo haiondoi ukweli kuwa IPTL ni kampuni binafsi yenye wamiliki halali wenye hisa halali, hivyo haiwezekani kwa mtu asiyehusika na asiye mwanahisa kutangaza mabadiliko ya uongozi bila kufuata taratibu zilizopo kisheria,” alisema Mungula.

Alisisitiza kwamba licha ya Sethi kuwa na mashtaka ya jinai yanayomkabili, lakini Watanzania wajue bado kampuni hiyo iko chini ya usimamizi salama wa PAP na kwamba madeni yote, madai ya mali na stahiki zote zinazohusiana na kampuni hiyo zipo katika mikono salama.

Kwa Nini Wanaume Wengi Wanaupungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo?

$
0
0
Asilimia 45 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kuwatimizia vyema wake au wapenzi Wao na kuwasababishia kutoka nje ya ndoa zao.

NINI CHANZO CHA HAYO?Kupiga punyeto,Ngiri,Vidonda vya tumbo,Magonjwa ya moyo,Presha,Kisukari,Korodani moja kuvimba,Msongo wa mwazo,Kufanyiwa tohara ukiwa mtu mzima n.k.DOKTA MANYANDA sasa kapata tiba sahihi ya tatizo la NGUVU ZA KIUME.

MUHAMA:Hii hutibu na kuponyesha kabisa tatizo la nguvu za kiume,utakuwa na uwezo wa kurudia tendo zaidi ya mara tatu bila kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa mda wa dakika 15-20.DAWA hii imechanganywa miti 12.Hata wazee wenye umri mkubwa wanapona kabisa.OKO NDOA YAKO SASA. 

MANGUNGU MIX: Ndio tiba tosha kwa sasa ambayo hurefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo inch 1-8 na unene sentimita 1-5,dawa hii ipo ya kupaka na kunywa na haina madhara yoyote kwa mtumiaji.

NITOFAUTI NA ULIZO WAHI KUZITUMIA.Pia tuna dawa za kupatanisha mke,mme,mpenzi au bosi wako kwa mda mfupi sana,Uzazi,Kusafisha nyota,

Je unamali yako unauza hupati wateja?Wasiliana nami 0716-263605 

DOKTA MANYANDA ANAPATIKANA KASULU KIGOMA,Kwa wale wa mikoani huduma hii utaipata popote pale.

Kiboko Ya Matatizo Ya Nguvu Za Kiume,maumbile Madogo, Mvuto Wa Mapenzi ,magonjwa Sugu

$
0
0
Usikate tamaa ondoa maradhi yako, maana matatizo haya yamekua yakiasili watuwengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona wako tofauti sana na wengine kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamapunguvu katika mwiliwake.

Kunasababu nyingi sana zinazosababisha matatizo haya, chango hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngili :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli. Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na marakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kushindwa kabisa

MASISA 3POWER :- nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa mfumo wa vidonge, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka 15-90 , inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uludie tendo la ndoa zaidi ya mara nne (4) birahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk (20-30 )

YONINANI:- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwa mda mfupi sana,

SUPER MORINA :- nidawa inayotibu ama kutatua tatizo la kisukali kwawaliohangaika bila mafanikio, huondoa tatizo la kisukali na kupona kabisa, vilevile ninadawa ya magonjwa sugu km vile presha, vidondo vya tumbo, miguu kuwakamoto, muwasho mwilin, kaswende,uzazi nk.

LUGIMBA :- nidawa ya mvuto wa mapenzi, humtuliza mke, mme, mchumba, hawara au mtu yoyote umpendae na kumfanya akutimizie chochotekile unachokitaka kutoka kwake na kumfunga asiwe na mtu yoyote zaidi yako.

WASILIANA NA DR CHIPUPA NAPATIKANA DAR ES SALAAM KUMBUKA HUDUMAHII ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO 0758840958 / 0785687900

Utafiti Twaweza: Wananchi 9 Kati Ya 10 wako tayari kulipia ada wakihakikishiwa elimu bora

$
0
0
Mitazamo ya wananchi kuhusu elimu bure imebadilika kwa kiasi kikubwa ndani ya miaka 12 iliyopita: mwaka 2005, zaidi ya nusu ya wananchi (56%) walisema kuwa ‘ni bora elimu itolewe bure kwa watoto wetu, hata kama kiwango cha elimu ni cha chini’.

 Mwaka 2017, wananchi 9 kati ya 10 (87%) wanasema ‘ni bora tukaongeza viwango vya elimu, hata kama itatulazimu kulipa ada.’ 

Wananchi 9 kati ya 10 (87%) wangependa serikali itumie fedha kwenye mpango wa kutoa mafunzo na kuwasaidia walimu kuliko kugawa sare za shule bure ikilenga kuwaondolea wazazi mzigo wa kununua sare hizo.

Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika utafiti wake uitwao Elimu Bora au Bora Elimu? Elimu waitakayo watanzania. Matokeo ya muhtasari huu yanatokana na takwimu za utafiti wa Sauti za Wananchi, utafiti wa kwanza barani Afrika wenye uwakilishi wa kitaifa unaotumia simu za mikononi. 

Matokeo haya yanatokana na takwimu zilizokusanywa kutoka kwa wahojiwa 1,786 kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania Bara (Zanzibar haihusiki kwenye utafiti huu) kati ya mwezi Septemba na Oktoba 2017.

Utafiti huu umebaini kwamba ni wazazi wachache sana huzingatia ada nafuu (6%) na umbali wa shule (18%) wakati wa kuchagua shule za sekondari kwa ajili ya watoto wao. Badala yake wazazi wengi huzingatia zaidi viwango vya juu vya ufaulu wa shule husika (asilimia 72) na walimu wanaojituma (asilimia 72 pia). Wazazi wanataka elimu bora na wameonesha utayari wa kuigharamia.

Idadi ya kaya zinazowapeleka watoto wao kwenye shule za binafsi (asilimia 10) haijabadilika kati ya Agosti/Septemba mwaka 2016 na Septemba/Oktoba 2017. 

Hata hivyo, uandikishaji wa watoto kwenye shule binafsi hutofautiana kutoka na ngazi ya elimu, wazazi 3 kati ya 10 (27%) huchagua shule binafsi kwa ajili ya elimu ya awali na 2 kati ya 10 (17%) kwa ngazi ya sekondari ukilinganisha na mzazi mmoja kati ya kumi (7%) wanaoandikisha watoto wao kwenye shule za msingi za binafsi.

Hata hivyo, wazazi wanajitahidi kutekeleza majukumu yao: zaidi ya wazazi 5 kati ya 10 (53%) walichangia ujenzi wa shule mwaka uliopita; 4 kati ya 10 (38%) walitoa fedha, 1 kati ya 10 (18%) walichangia nguvu kazi na 1 kati ya 10 (9%) walitoa vifaa. 

Na kwa kawaida wazazi pia hulipia vifaa kama vile vya kuandikia (98%), sare za shule (75%), mabegi ya shule (26%) na vitabu (15%). Zaidi, 85% wanasema walikutana na walimu wa watoto wao angalau mara moja au mbili mwaka uliopita, ukilinganisha na 79% waliofanya hivyo mwaka 2016. Wazazi wengi zaidi (30%) wana uwezekano wa kukutana na walimu kila baada ya miezi michache ukilinganisha na mwaka 2016 (21%).

Zaidi ya nusu ya wazazi wnalipokea jukumu la msingi la kuhakikisha watoto wanajifunza japokuwa idadi kubwa kidogo (46%) pia wanasema jukumu hilo ni la walimu. 

Hakuna mzazi aliyesema jukumu la watoto kujifunza ni la maafisa elimu, wanasiasa au yeyote serikalini. Na pale walipouliuzwa ni kwa namna gani wanausaidia uongozi wa shule, wazazi wengi (52%) walizungumzia jukumu lao katika kuwaadhibu watoto wao na wengine wachache wakitaja ushiriki wao kwenye harambee za kuchangisha fedha (22%), kufuatilia mahudhurio ya walimu (14%) au kutoa maoni kwenye ukaguzi wa mahesabu ya shule (4%).

Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza, Aidan Eyakuze, anasema: “Ujumbe wa msingi wa wananchi kuhusu suala la elimu nchini ni huu: wako tayari kuilipia elimu bora kwa ajili ya watoto wao.

Mitazamo ya wananchi inaonekana kubadilika kwa kiasi kikubwa katika kipindi fulani, ikiashiria kuwa sasa wanaelewa kilichofanyika na walichopoteza. Utafiti huu unadhihirisha kuwa wananchi wanapaswa kuwa sehemu muhimu ya mjadala wa kitaifa utakaolenga kuboresha matokeo ya elimu yetu.”

Tunatibu Na Kuponesha Kabisa Upungufu Wa Nguvu Za Kiume, Maumbile Mdogo, Busha Bila Kupasua

$
0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO BUSHA BILA KUPASUA PRESHA VIDONDA VYA TUMBO : Asilimia kubwa ya wanadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wapo waliohangaika sehemu mbalimbali bila mafanikio.

Mabula Clinic ni kituo cha tiba asilia kilichopo mbagara zakhemu njia kuu ya jeshini. Je unaupungufu wa nguvu za kiume au uume wako mdogo na mwembamba? 

Mapro pawer no 2 ndio tiba, kwa sasa hutibu matatizo matatu kwa pamoja 1. itakufanya uchelewe kufika kileleni dikika 15-20 kwa tendo la kwanza 2. Huimalisha misuli iliyolegea na kusinyaa hasa kwa wale walio athirika na upigaji punyeto 3. itakufanya upate hamu ya kurudia tendo zaidi ya mara tatu :Kwa nini ujione mpweke pale ukutanapo na mpenzi au mke wako kisa unawai kukojoa au unakomea bao moja tu na huku dawa zipo 

Makakanua mix ni dawa iliyochanganywa na miti shamba 9 na kuwa na uwezo wa kuongeza uume saizi upendayo inchi 5-8 kwa urefu na unene sentimita 1-5, dawa hizi hazina madhara yoyote kwa mtumiaji ata wazee wenye umri mkubwa wanapona

 Zipo dawa za mvuto wa mpenzi mme au mke kwa masaa matatu tu ,mvuto wa biashara, kutengeneza mwonekano mzuri wa mwili kwa wanawake yani shepu.

Tunatibu ngiri, miguu, mgongo na kiuno kuumwa, kupunguza kitambi minyama uzembe matiti na mwili mkubwa 

Tiba na ushauli muone Dr Mabula au piga simu no 0743362017.Huduma zangu utazipata popote ulipo kama uwezi kufika ofisini

Pacha Maria na Consolata Waruhusiwa Muhimbili na Kuhamishiwa Hospitali ya Iringa

$
0
0
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jana  imewaruhusu Maria na Consolata waliokuwa wamelezwa katika hispotali hiyo kwa zaidi ya miezi miwili kutokana na afya zao kuimarika.

Pacha hao walikuwa wakipatiwa matibabu na madaktari bingwa wa Muhimbili na jana wamepelekwa Iringa ambako watapokelewa na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Iringa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili, Prof. Lawrence Museru amesema pacha hao wamesindikizwa na madaktari wa Muhimbili had Iringa na kwamba wakiwa huo wataendelea kupatiwa matibabu.

 “Consolata na Maria tumewaruhusu . Hii ni baada ya madaktari kujiridhisha kwamba afya  zao zimeimarika. Wataalamu wetu wamewafanyia vipimo mbalimbali na pia tumewasiliana na wenzetu wa nje na tukakubaliana tuwaruhusu sasa,” alisema Prof. Museru.

Prof. Museru alisema kwamba pacha hao wamepatiwa machine ya CPAP & Oxygen ambayo itawasaidia kuwapatia tiba endapo watahitaji wakati wakiwa Iringa.

Wakizungungumza kwa nyakati tofauti, Consolata amesema kwamba Muhimbili imewapatia huduma nzuri na wanawashukuru wataalamu mbalimbali waliokuwa wakiwapatia matibabu tangu walipolazwa.

Naye Maria akizungumza kwa furaha amesema hivi sasa anajisikia vizuri tofauli na awali-kabla ya kupelekwa katika hispotali hiyo kwa ajili ya matibabu. Pia, amemshukuru mkurugenzi mtendaji wa Muhimbili kwa kuwapatia huduma bora za matibabu.

Wasichana msikubali kuolewa na wanaume wenye viwanja mabondeni

$
0
0
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amewataka wanawake wa mkoani humo kutokubali kuolewa na wanaume ambao wanaviwanja mabondeni.

RC Makonda ametoa kauli hiyo jana wakati alipofanya ziara ya kukagua uharibifu wa nyumba zilizovunjika eneo la Kingugi kwa Mnyani Kata ya Kilungule baada ya wakazi kujenga kwenye maeneo yasiyoruhusiwa.

Aidha RC Makonda amewaagiza Wenyeviti wote wa mitaa kuainisha nyumba zilizojengwa kwenye maeneo hatarishi ambapo amewataka kutoruhisu watu kujenga maeneo ya mabondeni.

Katika kutafuta mwarobaini wa tatizo la wananchi waishio mabondeni RC Makonda ameandaa mkutano wa wananchi wote waishio maeneo ya mabondeni kwaajili suluhisho la kudumu.

Katika ziara alizofanya RC Makonda amejionea nyumba nyingi zikiwa zimejengwa kwenye maeneo yasiyo rasmi kiasi kwamba hata ikitokea janga la moto inakuwa vigumu Jeshi la zimamoto na uokoaji kufika na hata mgonjwa akizidiwa gafla ni vigumu kuwahishwa hospital jambo ambalo ni hatari kwa usalama.

Makanga 3 Power; Dawa Bora Nguvu Za Kiume

$
0
0
MAKANGA 3 POWER; DAWA BORA NGUVU ZA KIUME
Kutibu nguvu za kiume dakika(10) na kupona muda wa siku tatu tuu. Kuimarisha misuli ya uume uliolegea, pia ipo Dawa ya kurefusha uume mfupi inchi NNE hadi saba na kunenepesha uume mfupi sentimita NNE.
 
Tiba ya kudumu kutibu maumivu ya mgongo,kiuno, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, kupata choo vizuri, na kutibu uzazi, kutibu busha bila operesheni, kisukari, presha ,miguu kuuma, uzazi, fangas sugu, vidonda vya tumbo.
 
Ni docta bingwa wa kutibu magonjwa sugu, kutoa ndagu za utajiri kwa kutumia Pete, kazi ,cheni, mikufu maalumu ya bahati, una kesi umedhulumiwa Mali au pesa? Zitarudi muda wa Masaa matatu tuu.
 
Onana na Dr shilindes shida zako zote zitakwisha, anatoa Dawa za utajiri kwa wafanyakazi, wakulima, na wafugaji, wafanyabiashara na wachimba madini kwa kutumia pete, kazi kwa yeyote anaetaka kuwa na pesa nyingi.
 
Pia anaboresha akili kwa wanafunzi darasani, masomo na kufaulu mitihani pia kushinda bahati nasibu yeyote.
 
Pia tunatoa Dawa kumrudisha Mume, mke, mpenzi, hawara, kwa muda wa SAA moja tuu, na kuomba msamaha kwa kukupigia magoti na yeyote yule, unaemtaka kimapenzi au kuoana, utampata na kumfunga asitoke nje ya ndoa daima na kutekeleza shida zako zote. Kupunguza unene, kupunguza matiti makubwa, tumbo na nyama uzembe muda wa siku sita unapata saizi uipendayo.
 
Kutoa makovu mwilini, chunusi, upele na mabaka, pia tunayo Dawa ya kuongeza hipsi, makalio, mguu wa bia na kupata shepu safi kwa muda wa siku saba tuu.

Wa mikoani mtapata huduma popote mlipo.
Tupo dar es salam mbagala rangi tatu.
 
Mawasiliano simu namba: 0784 460 348. Au 0659 103 360.

Baada ya Alikiba kuzindua MoFaya, Nandy naye Azindua Sabuni na Mafuta Yake

$
0
0
Ikiwa ni wiki mbili zimepita tangu msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba kuzindua kinywaji  chake cha Mofaya, hatimaye msanii mwingine wa muziki, Mrembo Nandy naye amejitupa kwenye ujasiriamali.

Nandy amesema kuwa ameingia ubia na kampuni ya Grace Products inayojihusisha na utengenezaji wa sabuni za kuogea na vipodozi mbali mbali vya asili na yeye atakuwa ni moja ya wamiliki wa kampuni hiyo.

Akifunguka kuhusu dili hilo jana Mei 17, 2018 mbele ya Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam, Nandy alisema bidhaa zote za vipodozi na sabuni vitakuwa na jina na picha zake na kuwataka mashabiki wake wamuunge mkono kwa kununua bidhaa zake.


Ndugai afurahishwa Wabunge kuvaa Kanzu na Hijab

$
0
0
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewapongeza Wabunge kwa kuvaa Kanzu kwa wingi na kwa Wabunge wa Kike kuvaa Hijab.

Spika ametoa pongezi hizo leo, Mei 18 mapema katikati ya kipindi cha maswali na Majibu kwa serikali  ambapo pia amemsifia Naibu Spika wa Bunge kwa kuvaa Baibui na Hijab.

“Wabunge kama hatujaendelea nimefanya utafiti wangu leo watu wengi sana wamependeza kwa kuvaa Kanzu na kofia hongereni sana, tukumbuke tu kanuni tunapo vaa tunatakiwa ivaliwe vilevile kama inavyovaliwa Pwani na miguu sio kuvaa kiatu cha kamba hapana unavaa kobazi,” amesema Spika Ndugai huku akicheka na Wabunge wakimpigia makofi.

“Lakini kwa upande wa kina mama leo Hijab zimekubali, lakini katika Hijab, Hijab namba moja leo hii ni ya Naibu wangu Mh. Naibu Spika, Mh. Naibu Spika ebu simama kidogo hapo ahsante sana, hiyo inaonyesha Utanzania wetu sisi ni wamoja,” ameongeza Spika.

Tiba Bora ya Nguvu za Kiume, Kisukari, Ngiri, Miguu Kuvimba

$
0
0
Matatizo ya nguvu za kiume yanawaathiri watu wengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona tofauti sana na wengine. Kawaida mwanaume anatakiwa kuwa na uume kuanzia nchi 6- 8, vinginevyo mtu huwa na matatizo. Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hilo. 

Baadhi ni upungufu wa vichocheo hivi; Homoni za getrogen ambazo mwanaume anapobalehe, vichochea hivi huchochea ukuaji wa uume.

Ngiri; Hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na hufanya tumbo kuunguruma na kujaa gesi. Sababu zingine ni korodani moja kuvimba, kupopata choo vizuri.

Sababu hizi na zingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara kwa mara husababisha kukosa tendo ya kurudia tendo na baadae kushindwa kabisa

SILYA: Ni dawa inayozalisha homoni zxa Gestrogen na kufanya uume kukua na kuongezeka hadi nchi 6-8
 
WET POWER: Ni dawa bora ya vidonge iliyotengenezwa kwa mitishamba na matunda ambayo huongeza nguvu za kiume kuanzia miaka 15-95 na hukomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi, ina imariisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa na itakufanya uwe na hamu ya kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara mbili bila hamu kuisha na pia itakuchelewesha kufika kileleni

Pia tunatibu kisukari, presha, ngiri, miguu kuvimba na kuwaka moto

Wasiliana na Sheikh Khatib akutatulie matatizo yako. Namba zake; 0785 234 837  au 0656 551 093  au 0746473974

Serikali yawataka waajiri kujiungana WCF

$
0
0
Serikali imeagiza kwa waajiri wote nchini kujiunga Katika Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) ulioanzishwa hivi karibuni na sheria yake kupitishwa na bunge.

Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Stella Manyanya amesema hali hiyo itawanufaisha  wafanyakazi wanapoumia kazini kutokana na majanga mbalimbali.

Waziri Manyanya ameyasema hayo leo Mei 18, wakati akijibu swali la Lathifa Chande Mbunge wa Viti Maalumu aliyekuwa akihoji  iwapo Serikali ina taarifa ya kukodishwa kwa kiwanda cha korosho cha Mtama Cashewnut Factory kilichopo katika Jimbo la Mtama kilichokuwa chini ya bodi ya korosho.

"Je Serikali inachukua hatua gani juu ya mazingira magumu ya wafanyakazi ambao hawana mikataba ya kazi katika kiwanda hicho ambacho kinamilikiwa na wageni," amehoji Chande

Manyanya amesema kiwanda cha kubangua korosho cha Mtama kilibinafsishwa kwa kuuza hisa asilimia 100 kwa Kampuni ya Lindi Farmers Association (LFA) ambayo ndiyo inamiliki.

Hata hivyo, amesema kufuatia umiliki huo, kiwanda hicho kilikodishwa kwa makubaliano maalumu kwa Kampuni ya Sunshine ili iweze kukiendeleza.

Kesi ya Tido yapigwa kalenda Hadi June 8

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itaendelea kusikiliza ushahidi wa mashahidi wa upande wa mashtaka Juni 8 huu katika kesi inayomkabili Mkurugenzi mkuu wa zamani wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando.

Wakili wa Takukuru, Leonard Swai jana amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi kuwa  kesi  inayomkabili Tido leo ilipaswa kuendelea kusikilizwa kwa ushahidi wa  mashahidi wa upande wa mashtaka.

Lakini shahidi waliyemtarajia kutoa ushahidi katika kesi hiyo ana udhuru.

Baada ya kutolewa kwa maelezo hayo, Hakimu Shaidi ameiahirisha kesi hiyo hadi Juni 8 ili mashahidi wa upande wa mashtaka waendelee kutoa ushahidi.

Katika kesi hiyo tayari mashahidi watatu wa upande wa Jamhuri wamekwishatoa ushahidi .

 Mashahidi hao ni  Ofisa uchunguzi wa Takukuru, Victor Lesuya, Mwanasheria wa TBC, Gwakisa Mlawa na Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa TBC, Clement Mshana.

Tido anakabiliwa na mashtaka manne ya kutumia madaraka vibaya na moja la kuisababishia Serikali hasara ya Sh887.1 milioni.

Jipatie Dawa Asili ya Tatizo la Nguvu za Kiume....Huna Sababu ya Kuaibika Tena

$
0
0
Matatizo ya nguvu za kiume  yamekua yakiathiri watu wengi sana kisaikologia hasa baada ya kujiona wakotofauti sana na wengine, kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamatatizo.

Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hili, chango :- hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngiri :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba namarakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kukosa kabisa

MALUNA:- Nidawa ya vidonge iliyotengenezwa kwa mitishamba, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka (15-80) inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) ,inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uwe na hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi ya maratatu bilahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kilelen Kwa mda wa dk (18-25).

SUPER MORISIS:- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwamda mfupi sana , ni Dr LALIMBO mtatuzi wa matatizo yako kunadawa ya kupunguza unene, kitambi (nyamazembe),matiti makubwa kuwa madogo, uzazi, kuludisha mali iliyopotea, kuuzavitu bila kununuliwa, biashara, wachimba madini kusafisha nyota, kuludishwa kazini mvuto wa mapenzi nk.

KWAHUDUMA NA MSAADA WASILIANA NA DR LALIMBO ATAKUSAIDIA SM NO :- 0653182109, 0744391089.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images