Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Serikali yatangaza nafasi za kazi 6180

$
0
0
Serikali imetangaza nafasi za kazi zaidi ya 6,180 katika sekta ya afya nchini na kuwataka wananchi wenye sifa stahiki kuomba nafasi hizo ili kuweza kutatua changamoto ya upungufu wa watumishi katika vituo vya Afya, Zahanati na Hospitali za Wilaya.

Akiongea na waandishi wa habari jana Mei 10, 2018 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo alisema watumishi hao wataajiliwa kabla ya mwaka kuisha na kuongeza kwamba lengo la serikali ni kuboresha sekta ya afya nchini.

“Naomba niwataarifu kwamba serikali ofisi ya TAMISEMI imepata kibari cha kuajiri watumishi wapya 6,180, watumishi hawa tunatarajia kuwa ajiri hivi karibuni kabla ya mwaka huu kuisha kwa hiyo napenda kuutangazia umma kuwa dirisha la ajira lipo wazi, kwa watu wote wenye sifa kuhakikisha wanaomba nafasi hizo lengo kubwa ni kupata watumishi kwaajili ya vituo vya afya vipya tunavyovijenga” alisema Jafo.

Waziri Jafo amliongeza kuwa watumishi waliokua wanajitolea watapewa kipaumbele zaidi; “kuna vijana wengine wamemaliza taaluma yao na hawataki ipotee wameamua kuomba nafasi mbalimabi kwa ajili ya kujipa uzoefu kwahiyo watu hao watakua kipaumbele chetu cha kwanza katika kuwaingiza katika ajira”

Waziri wa Tamisemi amesema serikali inakamilisha ujenzi wa vituo vya afya 208 ambavyo vitagharimu shilingi bilioni 156 katika ujenzi wa miundombinu na vifaa tiba, pia serikali inajenga hospitali kubwa za wilaya takribani 68 na zitagharimu shilingi bilioni 105.

Watakaoajiriwa ni wenye sifa zifuatazo, Awe raia wa Tanzania, kuambatanisha nakala ya cheti cha kuzaliwa, kidato cha nne na sita, cheti cha taaluma na asiwe muajiliwa wa serikali au shirika la dini ambapo mshahara wake unalipwa na serikali, umri usizidi miaka 45 na utayali wa kufanyakazi mahali popote nchini

Tupo Tayari Kwa Fainali Za AFCON 2019

$
0
0
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo tayari kwa maandaalizi  ya fainali za michuano ya Afrika ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 mwaka 2019.

Mashindano ya mpira wa miguu kwa Vijana wenye umri wa chini ya  miaka 17 AFCON yanayotarajiwa kufanyika mwakani nchini Tanzania.

Ameyasema hayo jana (Alhamisi, Mei  10, 2018) wakati akijibu swali la Mbungewa Sumve Bw. Richard Ndassa katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, Bungeni Jijini Dodoma.

Katika swali lake Bw. Ndassa alitaka kujua Serikali imejipangaje kufanikisha mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) kuipa Tanzania uenyeji wa fainali hizo.

“Maandalizi ya fainali hizo yanaendelea vizuri, hivyo nawaomba Watanzania wenzangu tuendelee kuziunga mkono timu zote zinazofikia mashindano ya kimataifa ili ziweze kufanya vizuri”.

Waziri Mkuu alisisitiza kwamba “ni jukumu letu kuziandaa timu zote ambazo zinashiriki mashindano ya kimataifa ili ziweze kuibuka na ushindi.”

Hata hivyo alisema analishukuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutokana na maandalizi yanaendelea ikiwa ni pamoja na kuipeleka timu nchini Sweden.

Pia Waziri Mkuu alisema Wizara ya Maliasili na Utalii itatumia mashindano hayo kwa kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini.“Tutawapeleka Kilwa wakaone majengo ya zamani yaliyokaliwa na Waarabu na maeneo mengine.”

Waziri Mkuu amewasihi Watanzania kutumia fursa ya mashindano hayo yanayotarajia kufanyika nchini kwa kufanya shughuli mbalimbali zitakazowaongezea kipato.

IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,

Profesa Mwandosya: "Hongera Sugu umehitimu chuo cha uanasiasa gerezani"

$
0
0
Waziri wa serikali ya awamu ya nne Prof. Mark Mwandosya ameingia katika Orodha  ya watu walioonesha furaha yao baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi kuachiliwa jana  kutoka gerezani ambapo alihukumiwa kifungo cha miezi mitano.

Prof. Mwandosya ameandika katika ukurasa wake wa twitter; “Nikimpa hongera Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi kwa kuhitimu Chuo cha Uanasiasa, gereza la Ruanda, Mbeya. Kutofautiana vyama, itikadi na misimamo kusilete uhasama na uadui. Mungu Ibariki Tanzania.”

Zitto Kabwe Aivaa Serikali

$
0
0

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Zuberi Kabwe amesema kwamba haiingii akilini kwa serikali kuagiza malighafi za kujengea reli nchini, wakati tuna makaa ya mawe na chuma wilayani Ludewa, ambayo mpaka sasa hayajaanza kuchimbwa.

Akizungumza Bungeni jana Zitto Kabwe alisema iwapo serikali ingechukua hatua katika kutengeneza kiwanda cha chuma kutokana na madini ya chuma yaliyopo Ludewa, serikali isingeingia gharama ya kuagiza malighafi za ujenzi wa reli nje, na pia ingeweza kupata kipato kwa kuuza kwa nchi jirani kama Kenya na Zambia, ambako nako kuna ujenzi wa reli unaendelea.

“Niligusia ujenzi wa reli na jinsi ambayo tunaagiza malighafi za ujenzi kutoka nje, waziri anasema wameenda wamezindua kiwanda cha nondo sijui wapi na wapi, nondo zote hizi malighafi zake ni kutoka nje, na tuna chuma Mchuchuma na Liganga miaka yote hii. 

"Kweli inaingia akilini tuna chuma na makaa ya mawe yamejaa pale Ludewa, tunampa mkandarasi kazi ya kujenga reli, vyuma vinatoka Uturuki, India, China kweli Mh. Spika!!? Kenya nao wanajenga reli tungeweza kuwauzia”, alisema Zitto Kabwe.

Sambamba na hilo Zitto Kabwe amesema nchi inatia aibu kuagiza mafuta kutoka nje na kuibua mgogoro mkubwa kuhusu bidhaa hiyo, wakati nchi ina rasilimali za kutosha za kutengeneza mafuta, ila haijaweka mikakati wala mipango yoyote kukuza sekta hiyo.

Uwoya Ahama Nyumba Kuhofia Mzuka Wa Masogange

$
0
0
Muigizaji wa Bongo movie Irene Uwoya amesema tangu rafiki yake Agnes Gerald ‘Masogange’ atangulie mbele ya haki amekuwa akihofia kutokewa na mzuka wake.

Uwoya ambaye alikuwa na ukaribu mkubwa na rafiki yake marehemu Msasogange amekiri kuwa tangu msiba huo amekuwa na hofu hata ya kukaa mwenyewe.

Kwenye mahojiano aliyofanya  hivi karibuni na Global Publishers , Uwoya alisema, kwa jinsi walivyokuwa karibu na Masogange, amekuwa akiwaza mengi na ndiyo maana ameshindwa kabisa kuishi katika nyumba ile waliyokuwa wanaishi jirani na mrembo huyo, maeneo ya Makongo Juu jijini Dar.

"Nahofia kweli jamani kutokewa na Masogange. Kwa sasa imenibidi niwe mtu wa kujichanganya sana ili nisiwe namkumbuka Masogange”.

Masogange aliaga dunia wiki chache zilizopita baada ya Kuugua na kulazwa katika hospitali ya Mama Ngoma na kisha baadae kuzikwa kijijini kwao  Mbeya.

Kwa Nini Wanaume Wengi Wanaupungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo?

$
0
0
Asilimia 45 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kuwatimizia vyema wake au wapenzi Wao na kuwasababishia kutoka nje ya ndoa zao.

NINI CHANZO CHA HAYO?Kupiga punyeto,Ngiri,Vidonda vya tumbo,Magonjwa ya moyo,Presha,Kisukari,Korodani moja kuvimba,Msongo wa mwazo,Kufanyiwa tohara ukiwa mtu mzima n.k.DOKTA MANYANDA sasa kapata tiba sahihi ya tatizo la NGUVU ZA KIUME.

MUHAMA:Hii hutibu na kuponyesha kabisa tatizo la nguvu za kiume,utakuwa na uwezo wa kurudia tendo zaidi ya mara tatu bila kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa mda wa dakika 15-20.DAWA hii imechanganywa miti 12.Hata wazee wenye umri mkubwa wanapona kabisa.OKO NDOA YAKO SASA. 

MANGUNGU MIX: Ndio tiba tosha kwa sasa ambayo hurefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo inch 1-8 na unene sentimita 1-5,dawa hii ipo ya kupaka na kunywa na haina madhara yoyote kwa mtumiaji.

NITOFAUTI NA ULIZO WAHI KUZITUMIA.Pia tuna dawa za kupatanisha mke,mme,mpenzi au bosi wako kwa mda mfupi sana,Uzazi,Kusafisha nyota,

Je unamali yako unauza hupati wateja?Wasiliana nami 0716-263605 

DOKTA MANYANDA ANAPATIKANA KASULU KIGOMA,Kwa wale wa mikoani huduma hii utaipata popote pale.

Kiboko Ya Matatizo Ya Nguvu Za Kiume,maumbile Madogo, Mvuto Wa Mapenzi ,magonjwa Sugu

$
0
0
Usikate tamaa ondoa maradhi yako, maana matatizo haya yamekua yakiasili watuwengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona wako tofauti sana na wengine kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamapunguvu katika mwiliwake.

Kunasababu nyingi sana zinazosababisha matatizo haya, chango hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngili :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli. Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na marakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kushindwa kabisa

MASISA 3POWER :- nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa mfumo wa vidonge, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka 15-90 , inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uludie tendo la ndoa zaidi ya mara nne (4) birahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk (20-30 )

YONINANI:- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwa mda mfupi sana,

SUPER MORINA :- nidawa inayotibu ama kutatua tatizo la kisukali kwawaliohangaika bila mafanikio, huondoa tatizo la kisukali na kupona kabisa, vilevile ninadawa ya magonjwa sugu km vile presha, vidondo vya tumbo, miguu kuwakamoto, muwasho mwilin, kaswende,uzazi nk.

LUGIMBA :- nidawa ya mvuto wa mapenzi, humtuliza mke, mme, mchumba, hawara au mtu yoyote umpendae na kumfanya akutimizie chochotekile unachokitaka kutoka kwake na kumfunga asiwe na mtu yoyote zaidi yako.

WASILIANA NA DR CHIPUPA NAPATIKANA DAR ES SALAAM KUMBUKA HUDUMAHII ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO 0758840958 / 0785687900

Haya Ndio Madhara Ya Limbwata La Paka

$
0
0

Na. Dokta, Mungwa  Kabili….0744 000  473.
Licha  ya  kuwa  na  waumini  wengu  lakini  limbwata  la  paka  lina  madhara  makubwa  sana  kwa  mtu anae fanyiwa. ..  Katika  makala  haya  nitaelezea  madhara  ayapatayo  mtu  alietengenezewa  limbwata  la  paka.


Limbwata  la  paka  ni  nini  ?
Limbwata  la  paka  ni  ulozi  ama  uchawi  wa  mapenzi  anao  fanyiwa  mtu  kwa  lengo  la kumfanya  aliefanyiwa  uchawi  huo  amn’gan’ganie  na  kumganda  mtu  alie fanya  uchawi  huo.

Mara nyingi  uchawi  huu  hufanywa  na  wapenzi   wanao ishi  pamoja  au  wapenzi  wenye  tabia  ya  kula  chakula  kwa  pamoja  au  mpenzi  anae  weza  kumpikia  chakula  mpenzi  wake.

Ni uchawi  unao fanya  kazi  kwa  watu  ambao  tayari  wapo  katika  mahusiano  ya  kimapenzi  na  wanashiriki  tendo  la  ndoa .

Jinsi  limbwata  la  paka  linavyo  tengenezwa
Sio  dhamira  yangu  kuwafundisha  watu ulozi, lakini  kwa  dhumuni  la  kujifunza  nitaeleza  kwa  ufupi  namna  na  jinsi  limbwata  la  paka  linavyo  tengenezwa, japo  baadhi  ya  vitu  nitavificha kwa sababu maalumu.

Mahitaji :
Ili  wachawi  waweze  kutengeneza  limbwata  la  paka  ni  lazima  wawe  na  vitu  vifuatavyo :

1.    Mti  mweupe :  Mti huu unapatikana porini, mti huu ukikomaa, urefu wake hauzidi wa mtoto wa miaka saba, una magamba kwa mbali na rangi yake ni nyeupe.

Mti huu ukikauka ukausaga unga wake huwa mweupe  kama mti wenyewe.

Ukichukua unga wa mti huu halafu ukajipaka usoni unakuwa na uwezo wa kuwaona wachawi.

Ukijipaka unga wa mti huu usoni halafu ukatembea mtaani wakati wa mchana, unaweza kuona mambo yote yanayofanyika katika siri kubwa kama vile wachawi wakiwa wanawanga au wanafanya shughuli zao wakiwa uchi.

Dawa hii itakupa pia uwezo wa kuwaona misukule.
Vilevile mti huu una uwezo wa kukimbiza nyoka mfano ukiwa na kipande cha mti huu mfukoni halafu ukawa unatembea, kama mbele yako kuna nyoka atakimbia kabla hujafika.

Hata ukikaa mahali kama kuna nyoka hawezi kukaa hapo, atakimbia tu.

2.    Mpapatiko : Huu ni mti  wa  porini wenye matumizi mengi  sana  katika utabibu

3.    Namata  : Huu ni mti wa porini wenye kutoa  matunda yanayo nasa  kwenye nguo. Ukipita  porini au kwenye  vichaka  mahali  ambako huu mti  unapatikana basi matunda ya  mti huu  yatanasa  kwenye  nguo  zako.

4.    Mizizi  ya  msada

5.    Mizizi ya mbaazi

6.    Kipande cha mti ulio chukuliwa  kwenye  fimbo za  kwenye  kitanda  cha sokwe mtu.

7.    Mifupa ya  samaki  alieliwa  na  mtu aliekusudiwa  kufanyiwa uchawi huu

8.    Au mifupa  ya  nyama  ya ng’ombe  iliyo liwa  na  mtu aliekusudiwa kufanyiwa uchawi  huu

9.    Utumbo  wa  mbuzi

10. Damu  ya  hedhi  ambayo  imetoka  wakati  mwanamke  akiwa  usingizini

11. Dume na  jike la  njiwa  ambayo  yamezaliwa  pamoja

12. Paka  mweusi

13. Kasuku

14. Gamba  alilo  jivua  nyoka

15. Chura mkubwa  alie kaushwa pamoja na minyoo. Hii minyoo inakuwa  imemfunga chura na anakaushwa  nayo akiwa  hai.

16. Gamba  alilo  jivua  nyoka

17. Ini la  samaki  mmoja  wa  baharini

18.Kinyonga  alien’gan’gania mkia wake  kwenye mti wakati anazaa.

19. Uzi  au  nguo  aliyo  ivaa  mkusudiwa

20. Manii  za  aliekusudiwa

21. Chumvi  ya  mawe  punje  ishirini  na  moja

22.Njugu  mawe punje  ishirini  na  moja

23.Talasimu saba  za  kichawi

24. Pamoja  na  aina nyingine  tisa  ya  miti  ya  porini.

MATAYARISHO
Matayarisho ya  ndumba  hii huwa  kama  ifuatavyo :
1.    Kupata  mifupa ya  samaki  alie liwa  na  mtu aliekusudiwa  kufanyiwa uchawi  au  mifupa  ya  nyama  iliyo liwa na  mtu  aliekusudiwa  kufanyiwa  uchawi.. Baada  ya kupata  chakula  cha pamoja  basi anaekusudia  kufanya uchawi huu atakusanya  mifupa yote  kutoka  kwenye samaki  au  nyama  aliyo  kula mhusika. ..Isiwe  kutoka  kwenye kuku  wa kizungu. Kama  ni  kuku  basi  awe  kuku  wa  kienyeji…  Mifupa  hii  itahifadhiwa  kwenye  kitambaa  au  mfuko.

2.     Kupata  manii za  mwanaume alie kusudiwa: Baada  ya  kumaliza  kufanya mapenzi, basi  itachukuliwa  kondomu ambayo  ndani  yake  kuna  manii  za  mwanaume  alie kusudiwa na  kama  watakuwa  wamekutana  bila  kutumia  kondomu  basi  mwanamke  atajifuta  kwa  kitambaa  na  kukihifadhi kwenye  mfuko.

3.    Kuunganisha  damu ya paka  na  nafsi  ya  mwanaume  alie  kusudiwa : Lengo  la  zoezi  hili  ni  kuunganisha  nafsi au  damu  ya  mwanaume  alie  kusudiwa  kufanyiwa  uchawi  huu  na  nafsi  ya  paka  ili  kumfanya  mwanaume huyo kuwa  na  “ hadhi “ ya     paka katika  ulimwengu wa  rohoni.

Kama  nilivyo  sema  katika  makala  yangu  yaliyo pita, uhai  wa  mtu  yoyote  Yule  upo  kwenye damu yake. Na  story  ya  maisha  ya  kila  mtu  imeandikwa  kwenye  damu yake.  Pia nikasema kuwa, damu  ya  mtu yoyote  Yule  huwa  ina  sifa  moja kuu , nayo  ni  chochote  utakacho  kiunganisha  na  damu  ya  mtu basi  kinakuwa  sehemu ya damu  hiyo na kinakuwa  ni  mtu  huyo  kabisa. Sasa  basi zoezi  hili  hufanyika  kwa  lengo  la  kuunganisha  damu  ya  mwanaume  alie  kusudiwa  na  damu  ya  paka ili kumfanya  mwanaume  huyo  kuwa  na  hadhi  ya  paka  katika  ulimwengu  wa  rohoni.

Zoezi  hili  hufanyika  saa sita  usiku   kwenye  njia  panda  jike  : Wanachukuliwa   njiwa  wawili  jike  na  dume  walio pasuliwa  pamoja , mioyo  yao  inatolewa  inaunguzwa  hadi  iwe  majivu.  Damu  inawekwa  kwenye  chungu  cheusi .

Anachukuliwa  paka  mweusi  anachinjwa , moyo  unatolewa  unachanganywa  na  mioyo ya  njiwa  na  kuunguzwa  tena  pamoja  hadi  iwe  majivu, damu  inachanganywa  kwenye  chungu.

Halafu  baadae  anachukuliwa  njiwa  anachinjwa, moyo  unachanganywa  kwenye  mioyo ya njiwa  na  paka  na  kuunguzwa  pamoja , damu  inachanganywa  kwenye  chungu.

Chungu  kinakuwa  na damu ya njiwa wawili, damu  ya  kasuku  na  damu  ya  paka, ndani yake zinaongezwa shahawa  za  mwanaume  alie kusudiwa au  kitambaa  kilicho  tumika  kumfuta  shahawa  zake  pamoja  na  unga  wa  mti mweupe  na  dawa nyingine  za  kichawi.

Lengo  la  kutumia  damu  ya  kasuku  hapa  ni  kwa  ajili  ya  kufungua  njia  ya  kuingia  katika  malango  ya  ufalme wa  wanyama  ili  kuunganisha nguvu  kati  ya damu  ya  mwanaume alie kusudiwa ( kupitia  manii  zake )  na  damu  ya  paka.

( Katika  ulimwengu  wa kiroho, kasuku ndio lango  kuu  la  kumuunganisha  mwanadamu  na ufalme wa wanyama.. Mnyama  mwingine  anae tumika  kama  lango la  kuunganisha  nguvu kati  ya mwanadamu na  wanyama  ni kunguru )

Damu  hizo zitaachwa  hadi  kesho  yake  saa saba  mchana. Lengo  ya  kuziacha damu  hizo  kwenye  chungu  huku  kikiwa  wazi  ni  kwa  ajili  ya  kuzitoa  kama sadaka kwa  Jua.

Damu  hizo hutolewa  ili  jua  liweze  “ kunywa” damu  hizo.

Kesho  yake  saa  saba  mchana  watakapo  rudi  mahali  kilipo  chungu  hicho, watakuta  damu  imekauka.

Kukauka  kwa damu  ni  ishara  kwamba, jua  limekubali  sadaka  hiyo. Jua  limekunywa damu hiyo. Sadaka  imekubaliwa.

4.    Kupika  uchawi  sasa : Baada  ya  hapo vitachukuliwa  vitu  vyote  nilivyo viorodhesha  hapo  juu, vitawekwa  pamoja  kwenye chungu, vitaunguzwa  hadi  kuwa  majivu. Majivu  hayo  yatachanganywa  na  majivu ya mioyo ya njiwa, paka  na kasuku.  Ndumba hiyo itakuwa  tayari  kwa matumizi.

Jinsi  limbwata hili linavyo  tumika :
 Itachukuliwa  dawa  hiyo, mrogaji  ataenda sehemu  ambayo  kunapatikana  huduma  ya  chakula  na  paka  wengi, kama  vile kwenye  bar.

Akifika  hapo  ataagizia  nyama.  Paka watamsogelea  kumzonga  ili awarushe  kipande  cha  nyama. Atachukua  kipande  cha  nyama  isiyo na  mfupa, atakiweka  mdomoni kipate  mate mate  yake  kisha  atakakipaka  hiyo  dawa  halafu  atamrushia  paka  ale. Paka  akisha  kula basi  huyo  mwanaume  alie  tengenezewa inakuwa  ni kwisha  habari  yake.

Madhara  ya Limbwata  la  Paka  kwa  alie  fanyiwa
Uchawi  huu  huwa  na  madhara  makubwa  sana  kwa alie fanyiwa. Baadhi  ya  madhara  hayo  ni  kama  ifuatavyo :

i.Atakuwa  anakufuata  kila  mahali. Kama  ni mke  na  mume  mnaishi  nyumba  pamoja  basi kila sehemu  hapo nyumbani  atakuwa  anataka  kuwa na  wewe. Sebuleni, jikoni,bafuni nakadhalika.

ii. Atakufuata  na  kun’gan’gania kuwa  na  wewe  muda  wote  kila mahali kuanzia  sokoni, nyumba ya  ibada, vikoba n.k.

iii.Kama  ni muajiriwa  basi  atakuwa  anatoroka kazini kuja  kuonana  na  wewe mahali  popote  utakapo  kuwa.

iv. Kama  ni  mfanyabiashara  atakuwa  anatoka kwenye biashara  yake  anataka  kuja  kushinda  na  wewe.

v. Hata  ukimfukuza  yeye  atakuwa  yupo na  wewe  tu  kama  paka  anae  fukuzwa  na  mtu anaekula  nyama.

vi. Matokeo  yake  sasa : kama ni  kazi, atafukuzwa  kwa  sababu  lazima  ataharibu  tu  ofisini

vii.  Na  kama  ni  biashara  basi  biashara  yake  itakufa  kabisa  kwa  sababu  muda  mwingi  atakuwa  na  wewe.

viii.  Atakuwa  kama zoba, ndondocha  au  zezeta.

ix. Ni vigumu  sana  kumrudisha  katika  hali  yake  ya  kawaida na  akirudi  katika  hali yake  ya  kawaida  basi  anakuwa  kama  mwendawazimu na maisha yake  hufeli  kabisa.

x.  Na  mwisho  wa  siku watu  walio  fanyiwa  uchawi wa  namna  hii  hua  wanasalia  kuwa  walio changanyikiwa na kibaya  kuliko zote  familia  hukosa  maendeleo kwa  sababu  baba  ndio kichwa  cha  familia  na  ameshatiwa  uchizi,kiasi  hawezi  kutafuta  tena.

JINSI  YA  KUMZINDUA  MWANAUME AU MWANAMKE ALIE LISHWA  LIMBWATA  LA  PAKA .
Mwanaume au mwanamke  aliyelishwa  kwa  limbwata  la  paka  anaweza  kuzinduliwa  kwa  kutumia  dawa  inaitwa  Mwavi  almaarufu  kama  Kishinda  wachawi.  Mwavi  ni  mti  ambao  kwa  hapa  Tanzania  unapatikana  Kigoma  tu , na  katika  ukanda  huu  wa Afrika  Mashariki  na  kati  mti  huu  unapatikana  Kigoma  na  Congo  Mashariki  sehemu inajulikana  kama   Moba.

Ni  dawa  inayo  ua uchawi  wa  kila  aina. Inaweza   kutumika  kwa  kuoga  au  kunywa  kulingana  na  mahitaji  ya  mgonjwa. Na  kama afya  ya  mgonjwa ni dhaifu  ama  anasumbuliwa  na  maradhi  makubwa kama  vile kisukari au  presha  basi haruhusiwi kutumia  dawa  hii  kwa  kunywa  kwa  sababu  ina  nguvu  sana…Unaweza  kujaribu  kuipata  dawa  hii  kwenye  maduka ya  dawa  za asili lakini kwa  uhakika  kabisa  nenda  Kigoma, huko  utaipata  bila  wasiwasi.

MAKALA  HAYA  YAMETAYARISHWA NA  DOKTA. MUNGWA  KABILI….DOKTA. MUNGWA  KABILI  ANAPATIKANA  KWA  SIMU  NAMBA  0744  000  473.

Wema Sepetu amcharukia Hamissa Mobeto

$
0
0
Msanii wa Bongo muvi nchini, Wema Isaack Sepetu amesema amejiwekea mipaka na mwanamitindo Hamisa Mobeto kwani amesema mazoea yakizidi sana na mlimbwende huyo hupelekea mushkeri.

Wema amesema hayo pindi alipoulizwa juu ya uhusiano wake na mlimbwende Hamissa Mobeto mara baada ya kuzaa na aliyewahi kuwa mpenzi wake, Diamond Platinumz na kujikuta anapunguza urafiki waliokuwa nao hapo awali.

”Hamisa ni kama Mdogo wangu, lakini kuna wakati sijui mazoea yakizidi sana kunaleta mushkeri kidogo, kwahiyo kila mtu anatakiwa kubaki kwenye mipaka yake,” amesema Wema.

Amezungumza hayo katika hafla fupi iliyoandaliwa na wasanii wa Bongo muvi ya kumpongeza mwanadada huyo kwa kujishindia tuzo za Sinema Zetu zilizoandaliwa na Azam Tv mwezi uliopita.

Aidha, Wema aliwashukuru wasanii wenzake kwa hafla hiyo na kusema ameyasikia maneno ya baadhi ya wasanii walioponda baada ya yeye kupata tuzo hizo, lakini anazichukulia kama changamoto za kimaisha.

Azam Tv ilitoa tuzo hizo usiku wa Pasaka, Aprili 1, 2018 ambapo Wema Sepetu alishinda tuzo mbili ambazo ni tuzo ya ”Best Views Choice” yaani tuzo iliyopendekezwa na mashabiki na sio majaji, na Tuzo nyingine ni Muigizaji bora wa kike.

Rosa Ree kuja Na Mini Supermarket Yenye Thamani Ya Milioni 30

$
0
0
Mwanamuziki wa Bongo fleva Rose Kimario maarufu kama Rosa Ree ameingia Kwenye ulimwengu wa kibiashara baada ya kufungua mini supermarket yake mpya aliyoipa jina la Rosa Ree Mini Supermarket.

Risa Ree alitumia ukurasa wake wa Instagram kutangaza habari hiyo njema.

Rosa Ree amefanya Interview na Millard Ayo Tv na ameweka wazi kuwa imemgharimu zaidi ya milioni 30 kuwekeza Kwenye biashara ile

"Ile ni Supermarket yangu na ninategemea kuifungua rasmi wiki ijayo hivi sasa tupo Kwenye maandalizi ya mwisho ni kitu ambacho nilipanga kufanya kwa muda mrefu sasa.

"Kusema ukweli nimewekeza pesa nyingi lakini kwa haraka haraka nimewekeza zaidi ya milioni 30 na nina mpango wa kufungua supermarket kubwa zaidi ya ile”.

Kama Dalili Hizi Unazo Upo Kwenye Hatari Ya Kuishiwa Nguvu Za Kiume Kabisa

$
0
0
Una dalili zifuatazo?
1: Kushindwa kurudia tendo la ndoa
2: Kutojisikia hamu ya tendo la ndoa
3: Maumivu ya kiuno mgongo
4: Tumbo kuunguruma na kujaa gesi
5: Uume kusinyaa, kuingia ndani na kuwa mdogo au mfupi
6: Korodani moja kuvimba

KAMA DALILI HIZI UNAZO UPO KWENYE HATARI YA KUISHIWA NGUVU ZA KIUME KABISA

Kwa matibabu tumia OZYMIX POWER-dawa bora ya nguvu za kiume ya miti shamba ambayo haina kemikali ambayo itakuwezesha kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila hamu kuisha.
Pia tunatoa huduma hizi:>

1.Dawa ya Kuondoa michirizi
2.Kumrudisha mwanaume aliyekuacha 
 
Tunapatikana KAWE UKWAMANI karibu na kituo cha mabasi.
KWA MAWASILIANO ZAIDI ; 0716096205 /0756726865 FIKA OFISIN AU PIGA SIMU NA UTALETEWA DAWA POPOTE ULIPO DAR ES SAALAM NA KWA MIKOANI TUNATUMA KWA NJIA YA MABASI.

TEMBELEA KATIKA BLOG YETU HAPA>>>;

Okoa Ndoa Yako Sasa : Je Umepungukiwa Na Nguvu Za Kiume Au maumbile Au Mpenzi Wako Hakutimizii Utakacho?

$
0
0
Acha kujiona mpweke pale ukutanapo na mpenzi au mke wako kwa sabubu ya kutokuwa na nguvu za kiume au uume wako mdogo dawa YA MAPRO POWERA ndio dawa sahihi na tiba tosha kwa sasa kutibu tatizo na kuponesha kabisa tatizo LA;
 1 KUWAI KUFIKA KILELENI KABLA YA MWENZI WAKO
2 KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA NA MWILI KUCHOKA 
3 UUME KUSINYAA NA KUWA LEGELEGE 
4 KUUMWA NA TUMBO WAKATI UNAPOMALIZA KUFANYA TENDO

MAKAKANUA; HII NI dawa ya maumbili madogo...hufusha na kunenepesha saizi upendayo saiz 5-6-7-8 na unene sm 3-4-5

Tunarudisha mke au mpenzi ndani ya masaa matatu tu zipo dawa za presha kisukali vidonda vya tumbo korodani iliyovimba, dawa za uzaz,Mi tunapunguza matiti makubwa kitambi na mwili mkubwa dawa zipo 

FIKA OFISINI KWANGU MBAGALA ZAKHEMU. KWA WATEJA AMBAO AMTAKUWA NA NAFASI YA KUJA OFISINI AU MLIO MKOANI MTALETEWA. piga simu 0743362017. 0789234653 DR AGU

Habari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba,Ngiri, Miguu Kufa Ganzi Pamoja na Matatizo ya Nguvu za Kiume

$
0
0
Ni dawa ya nguvu za kiume inayorefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo (Inch 1-7) kwa muda wa siku 6 tu.Dozi hii itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dakika 30, utarudia tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila hamu kuisha bila kujali umri na garantee ni miaka 60 baada ya kutibu tatizo.

Pia tunatibu Busha bila kufanyiwa Oparesheni, korodani moja kuvimba, ngiri, tumbo kujaa gesi na kuunguruma, kutopata choo vizuri, miguu kuwaka moto na kufa ganzi, chango la wanawake, kisukari na kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa.

MIHAYO:
Inarudisha mke, mchumba, hawara na atakutimizia kila kitu unachotaka kutoka kwake ndani ya  saa 2 tu hata kama yupo mbali. atarudi na kumfunga asiwe na mwingine zaidi yako.

Umefukuzwa kazini? unataka kupandishwa cheo? Umepoteza pesa zako kwenye biashara bila kujua umepandikizwa chuma ulete? Njoo urudishe pesa zako. Unauza mali yako haiendi? Wasiliana na mtaalam Challo kwa; 0714006521

Tupo Mbagala

Mwanasheria TBC amruka Tido Mhando Mahakamani

$
0
0
Mwanasheria wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Gwakisa Mlawa, amedai mahakamani kwamba Bodi ya Wakurugenzi ya shirika hilo haikujua chochote kuhusu mkataba ulioingiwa kati ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu, Tido Mhando na Channel 2 Group Corporation (BV1).

Mlawa alidai pia mshtakiwa anayekabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya Sh. milioni 887.1, aliingia mkataba huo bila baraka za bodi ya zabuni ya TBC.

Shahidi huyo wa pili alitoa ushahidi wake jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shaidi.

Akiongozwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Leonard Swai, shahidi huyo alidai kuwa hakuwahi kuufahamu mkataba huo hadi alipopokea taarifa za kesi Juni, 2012 kutoka Channel 2 Group Corporation (BV1) kwamba TBC imekiuka mkataba wa kuwekeza mitambo ya digitali.

"Mheshimiwa hakimu mkataba huo ulisainiwa kati ya Tido na watu wawili wa Channel 2 Group Corporation (BV1). Pia kulikuwapo na nyongeza ya mkataba uliotiwa saini kati ya Juni, Agosti na Novemba mwaka 2008... TBC tulimwandikia Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kuomba ushauri naye aliagiza ateuliwe mwanasheria wa kimataifa ambaye ni mjuzi katika masuala hayo," alidai shahidi na kuongeza kuwa:

"Iliteuliwa kampuni ya uwakili ya Freshfield Bruckhaus Derringer us LLP ilikuja nchini TBC kufanya uchunguzi wa nyaraka na kwamba ililipwa malipo ya awali zaidi ya Sh. milioni 800...katika uchunguzi huo, ulibaini kuwa Tido alisababisha hasara ya fedha hiyo iliyokuwa kampuni ya uwakili," alidai Mlawa.

Alipohojiwa na wakili wa utetezi, Ramadhan Maleta, kama aliiona mikataba hiyo, shahidi alidai kuwa ilikuwa kama wameingia makubaliano ya awali ya maandalizi ya mchakato wa kuelekea kwenye digitali.

Katika kesi ya msingi, inadaiwa kuwa Juni 16, 2008, akiwa Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Tido ambaye alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa TBC, kwa makusudi alitumia madaraka yake vibaya kwa kutia saini mkataba wa kuendesha na utangazaji wa vipindi vya televisheni kati ya TBC na channel 2 Group Corporation (BV1) bila kupitisha zabuni, kitu ambacho ni kinyume na Sheria ya Ununuzi na kuinufaisha BVl.

Katika shtaka la pili, Tido anadaiwa kutumia vibaya madaraka yake Juni 20, 2008 alipotia saini makubaliano kwa utangazaji wa digitali duniani kati ya TBC na BVl.

Katika shtaka la tatu, anadaiwa Agosti 11, 2008 na Septemba 2008 akiwa Dubai, Tido alitumia vibaya madaraka yake kutia saini mkataba wa makubaliano kwa ununuzi, usambazaji kufunga vifaa vya usambazaji na mnara wa utangazaji kati ya TBC na BVI na kuifaidisha BVI.

Katika shtaka la nne, anadaiwa kuwa Novemba 16, 2008 akiwa Dubai, Tido alitumia vibaya madaraka yake kutia saini mkataba wa makubaliano kwa kuendesha miundombinu ya utangazaji (DTT Broadcast Infrastructure) kati ya TBC na BVI na kuinufaisha BVI.

Katika shtaka la mwisho, anadaiwa kuwa kati ya Juni 16 na Novemba 16, 2008 akiwa UAE, Tido aliisababishia TBC hasara ya Sh. 887,122,219.19.

Kesi hiyo inaendelea kusikilizwa leo ushahidi wa Jamhuri.

Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

$
0
0
Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo Ya Uume Limekuwa Kubwa Kwa Lika Zote Hapa Kwetu Na Duniani Kote. Tatizo Si Tatizo Bali Ni Iletiba Sahihi Ya Matatizo Haya Chanzo Chake Na Visababisho Vyake.

DALILI;mwili kuchoka, maumivu ya mgongo na kiuno, kutopata choo vizuri hata ukipata choo kinakuwa kigumu au gololi kama mavi ya mbuzi. misuli ya uume kulegea na kusinyaa hata uume kulegea na kushindwa kufika kileleni. miguu kuuma na kuwaka moto.

 TIBA YAKE; 4mix ni dawa pekee inayoweza kutibu matatizo hayo inarudisha nguvu za kiume mara dufu na kufanya urudie tendo la mara tatu bila kuchoka. 

LUKUBA 3 pump; ni dawa inayorefusha na kunenepesha uume hadi inchi 7 hadi 9 na kunenepesha kwa CM 2 na kukupa umbile la uhakika. ITUMIE TIBA HII KUOKOA NDOA YAKO NA KUOKOA KUKIMBIWA NA UMPENDAYE,

 ISABILO; Ni dawa itoayo mafanikio na utajili kwa watu walioshindwa kufanikiwa kimaisha, 

MWITE; Ni dawa ya mvuto kumvuta umpendaye na kumrudisha aliyembali na atakutimizia ahadi zote awe mwanamke au mwanaume. 

LUTA CD; Ni dawa inayotibu magonywa nyemelezi yanayopunguza kinga za mwili na kusababisha mwili kuzoofu na inaondoa miwasho na kuondoa kemikali na taka zinazozagaa mwilini. 

KISUKARI; Tunayo dawa ya DAYON inayotibu na kuzalisha insulin kwa wingi na kumfanya mwenye tatizo hili kupona kabisa ugonjwa wa kisukari, kwani husababisha misuli ya mwili kutokufanya kazi vizuri

MPIGIE DR DAGOTIMAN NDIYE SULUHISHO LA MATATIZO YAKO 0754372325/ 0689013109/ 0620806813 

HUDUMA HII INAWEZA KULETWA POPOTE ULIPO OFISI ZETU ZIPO MBAGALA ZAKHEM DAR ES SALAAM.

Jiji la Mwanza kukosa umeme hadi saa Kumi na Moja Jioni

$
0
0
Maeneo ya katikati ya Jiji la Mwanza leo Mei 11, 2018 yatakosa umeme kwa saa nane baada ya transfoma na nyaya za umeme kuanguka eneo la Kauma na kuziba barabara ya stesheni.

Kwa mujibu wa taarifa ya  Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) zinaeleza kuwa nishati hiyo itarejea kuanzia saa 11 jioni.

Ofisa uhusiano wa Tanesco jijini Mwanza, Flaviana Moshi amesema nguzo hizo zimedondoka saa 2 asubuhi na kuathiri upatikanaji wa umeme kwa maeneo mengi ya jiji hilo.

Chenge Sio Nyoka wa Makengeza Tena....Saivi ni Bwana Reli

$
0
0
Mbunge wa Bariadi (CCM), Andrew Chenge aliwahi kujiita nyoka wa makengeza baada ya kutajwa katika mgawo wa Sh1.6bilioni zilizokuwa katika Akaunti ya Tegata Escrow alizoingiziwa katika akaunti yake na mmoja wa wamiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, lakini jana Mei 10, 2018 amejibatiza jina jipya la Bwana Reli.

“Mimi kuanzia leo mniite bwana reli. Niiteni jina langu hilo kuanzia leo. Kwa sababu nitakuwa nachangia kwa kila wizara hata kama sitahusika nayo.

“Mimi nimshukuru Rais kwa uamuzi wake na tutaona tukapokamilisha reli hii, uchumi wa Tanzania utaibuka kama uyoga, ikumbukeni tarehe ya leo, bwana reli asema,” alisema Chenge jana Mei 10, jijini Dodoma wakati akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.

Pamoja na mambo mengine akichangia mjadala wa wizara hiyo Chenge alisema bado anasumbuliwa na suala zima la gharama za uwekezaji nchini.

“Bado zipo juu sana, naona kwenye hotuba hii hali ya upatikanaji wa umeme, maji na miundombinu mingine yote bado inasuasua wakati inapaswa gharama zishuke,” alisema.

Mwaka 2008, Chenge alipachikwa jina la ‘mzee wa vijisenti’ baada ya kudaiwa kuwa na fedha ambazo zilikuwa ni zaidi ya Dola za Marekani milioni 40 katika kashfa ya rada zilikuwa sawa na vijisenti.

Aidha, mwaka 2009 Chenge alitawazwa kuwa mtemi wa kabila la Wasukuma-Bagole, Kanda ya Itilima, wilayani Bariadi hivyo kupachikwa jina la ‘Mtemi Chenge’ .

Jipatie Dawa Asili ya Tatizo la Nguvu za Kiume....Huna Sababu ya Kuaibika Tena

$
0
0
Matatizo ya nguvu za kiume  yamekua yakiathiri watu wengi sana kisaikologia hasa baada ya kujiona wakotofauti sana na wengine, kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamatatizo.

Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hili, chango :- hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngiri :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba namarakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kukosa kabisa

MALUNA:- Nidawa ya vidonge iliyotengenezwa kwa mitishamba, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka (15-80) inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) ,inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uwe na hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi ya maratatu bilahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kilelen Kwa mda wa dk (18-25).

SUPER MORISIS:- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwamda mfupi sana , ni Dr GALIMU mtatuzi wa matatizo yako kunadawa ya kupunguza unene, kitambi (nyamazembe),matiti makubwa kuwa madogo, uzazi, kuludisha mali iliyopotea, kuuzavitu bila kununuliwa, biashara, wachimba madini kusafisha nyota, kuludishwa kazini mvuto wa mapenzi nk.

KWAHUDUMA NA MSAADA WASILIANA NA DR GALIMU ATAKUSAIDIA SM NO :- 0653182109, 0744391089.

Mbunge CCM achanguliwa Makamu wa Rais Bunge la Afrika

$
0
0
Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM), Stephen Masele amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP).

Taarifa hiyo imetolewa leo asubuhi Mei 11, 2018 bungeni mjini Dodoma na Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge na kubainisha kuwa mbunge huyo kijana amechaguliwa jana kwa kishindo.

“Umelipa Bunge letu sifa na Tanzania kwa ujumla. Nafasi hii ni ya kuitangaza nchi yetu na Bunge hili tunamtakia kazi njema,” amesema Chenge ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi (CCM).

“Nampongeza sana kijana huyu, lakini pia Serikali kwani huwezi kupata nafasi hii kubwa kama huungwi mkono na Serikali. Nimpongeze sana Rais John Magufuli.”

Jimbo la Mbagala Kugawanywa

$
0
0
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeadhimia kuligawa Jimbo la Mbagala liliopo Jijini Dar es Salaam baada ya kuwepo kwa idadi kubwa ya wakazi wanaoishi jimboni humo na kusababisha uhaba wa upatikaji wa huduma za muhimu kutoka kwa Mbunge wao.

Kauli hiyo imetolewa leo Mei 11, 2018 na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Joseph Kakunda Bungeni Jijini Dodoma kwenye kikao cha 27 mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati akijibu la nyongeza la Mbunge Mariam Kisangi aliyetaka kujua serikali inamkakati gani wa kuligawanya Jimbo la Mbagala ili liweze kufikika kiurahisi na hata Mbunge wao aweze kutoa kwa wananchi kwa wakati.

"Ni kweli Jimbo la Mbagala kwa idadi ya watu ni miongoni mwa majimbo yenye watu wengi zaidi hasa ya Dar es Salaam, lakini hivi karibuni tumeyagawa majimbo ya jiji hilo. 

"Kwa hiyo mimi nilikuwa nashauri kwa vigezo vile ambavyo nimevizungumza katika majibu ya msingi, ninaomba sasa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke wakae na waweze kupendekeza na mwishowe wapeleke mapendekezo yao moja kwa moja katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)", amesema Kakunda.

Kwa mujibu wa Mbunge Mariam Kisangi amesema Jimbo la Mbagala mpaka hivi sasa lina jumla ya wananchi Milioni moja na laki moja jambo ambalo linapelekea utoaji wa huduma kuwa mgumu pamoja na kuharibika kwa miundombinu mara kwa mara kutokana na wingi wa watu waliopo jimboni humo.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images