Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Athari za Mgomo wa Daladala Mkoani Morogoro....Wananchi wamelazimika kutumia magari ya kawaida kama pick up, Canter na mengine kuwahi waendako

$
0
0
  Hali si  nzuri mkoani  Morogoro leo hii ambapo madereva daladala wamegoma kutoa huduma kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kupinga  kukamatwa  ovyo  na  na  kutozwa  faini kubwa na mamlaka za usalama barabarani mkoani humo             Wanafunzi wa shule mbalimbali za Manispaa ya Morogoro wakisubiri usafiri wa kwenda shule bila mafanikio katika kituo cha mabasi kilichopo Mkoani Morogoro

Ndugu na jamaa wa abiria waliopotea na ndege ya Malaysia waishutumu Serikali....watishia kugoma kula

$
0
0
Ndugu na jamaa wa abiria wa China waliokuwa kwenye ndege ya Malaysia iliyopotea kimaajabu March 8 mwaka huu, wametishia kugoma kula ikiwa hawatapata taarifa kamili kuhusu ndege hiyo kutoka kwa maafisa wa Malaysia. Watu hao wameonesha hasira zao muda mfupi baada ya kufanya mkutano na maafsia wa shirika la ndege hiyo huko Beijing, China. Ikiwa ni siku ya 12 leo tangu nchi 26

CCM yaukana Waraka wa siri unaohusu mchanganuo wa matumizi ya Sh Milioni 560 katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga.

$
0
0
Katibu mkuu wa CCM Mkoa wa Iringa,Ndugu Hassani Mtenga akizungumza na wanahabari wa Iringa katika ofisi za chama hicho mapema leo. Katibu mkuu wa CCM Mkoa wa Iringa,Ndugu Hassani Mtenga akizungumza na wanahabari wa Iringa katika ofisi za chama hicho mapema leo. Sahihi halali ya Mwigulu Nchemba ambayo iko tofauti ya waraka uliosambazwa. ******************* Na

Ridhiwani Kikwete aahidi Trekta kwa kila kijiji cha jimbo la Chalinze endapo wananchi watamchagua kuwa Mbunge wao

$
0
0
MGOMBEA wa Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete ameahidi kuhakikisha vijiji vyote kwenye jimbo hilo vinakuwa na matrekta ili kuboresha kilimo kiwe na tija. Alitoa ahadi hiyo wakati wa mikutano ya kampeni kwenye vijiji vya Mindukene, Msigi, Kisanga vyote vikiwa kwenye kata ya Talawanda. Kikwete alisema

CCM yazindua kampeni zake kwa kishindo Chalinze.....Maelfu ya Wananchi wahudhuria uzinduzi huo

$
0
0
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akicheza ngoma ya asili. Mama Salma Kikwete akimlaki kijana wake,ambaye ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Kikwete. Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Sam wa Ukeli a.k.a Mwana wa Chalinze akitoa burudani kwa Wana Chalinze waliofika kwa kwenye Uzinduzi wa Kampeni

Shabiki afariki dunia wakati akishangilia bao la Yanga Uwanja wa Taifa

$
0
0
Shabiki wa Timu ya Yanga SC, Deodatus Isaya Lusinde, mkazi wa Kipunguni A, amefariki dunia  jana jioni  baada ya kuanguka ghafla wakati akishangilia bao la Yanga lililofungwa na Didier Kavumbagu katika dakika ya 14 kipindi cha kwanza.   Marehemu amepoteza maisha akiwa chumba cha matibabu mara baada ya kuwekewa mashine ya oksijeni na taarifa kuhusu kifo cha shabiki huyo zimethibitishwa

Mbinu za kumhujumu Rais Kikwete zafichuliwa.....Sitta atoa onyo kali kwa wataothubutu kumzomea Rais....

$
0
0
BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wamewaonya wenzao ambao wamepanga kumzomea Rais Jakaya Kikwete wakati akitarajiwa kulihutubia bunge hilo kesho.   Onyo hilo walilitoa jana mjini Dodoma wakati wa semina maalum ya kupitia kanuni za bunge hilo, iliyofanyikia katika ukumbi wa Bunge.   Akichangia katika semina hiyo mmoja wa wajumbe hao, James Mbatia, alionya taarifa za kuwepo kwa

Watu wawili wafariki dunia, saba wajeruhiwa katika ajali ya basi na bodaboda mkoani Lindi

$
0
0
Watu wawili wamefariki dunia  baada ya bodaboda yenye usajili namba T 293 ARM kugongwa na basi la abiria la kampuni ya Maning Nice lenye usajili namba T624 CQD ambalo nalo lilipinduka baada ya ajali hiyo katika kijiji cha Ngongo mkoani Lindi  na abiria saba walijeruhiwa. Majina ya marehemu na ya majeruhi hayakuweza kupatikana mara moja. Picha na Abdulaziz Video.<!-- adsense -->

Taarifa kwa umma kuhusu ukaguzi wa leseni za biashara.....

$
0
0
Afisa Habari wa Wizara ya Viwanda na Uchukuzi, Nicodemas Mushi (kulia) akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam kuelezea tamko la serikali kuanza ukaguzi wa leseni za biashara. Pembeni yake ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uhamasishaji Biashara na Masoko, Mashingo Christopher. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uhamasishaji Biashara

Serikali kuhamia Dodoma Kesho....Hotuba ya Rais Kikwete yasubiriwa kwa hamu...Marais wastaafu na Mawaziri wakuu wastaafu, wataambatana naye bungeni

$
0
0
UONGOZI wa juu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kesho utahamia katika Makao Makuu ya Tanzania, Dodoma, kushuhudia hotuba ya kihistoria itakayotolewa na Rais Jakaya Kikwete mbele ya Bunge Maalumu la Katiba.   Hotuba hiyo ya Rais inasubiriwa kwa hamu na Watanzania, kutoa dira kwa wajumbe wa Bunge hilo Maalumu la Katiba, wakati

Mwanafunzi wa UDOM ajirusha toka Ghorofa ya Pili hadi chini....

$
0
0
  Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.   Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu Dodoma – UDOM aliyefahamika kwa jina la KAMUGISHA S/O ISACK, Miaka 24, Mhaya, Mwaka wa Tatu, Kitivo cha Sayansi ya Jamii (Social Science) anayeishi Block Namba 11, chumba Namba 62, alijitupa kutoka ghorofa ya pili hadi chini na kusababisha majeraha sehemu za mdomoni, shingoni na paji la uso. Kamanda wa

Mabaki ya ndege ya Malaysia iliyopotea siku 13 zilizopita yaonekana umbali wa kilomita 2500 kusini Magharibi mwa pwani ya Australia

$
0
0
Msemaji wa masuala ya usalama wa safari za ndege Australia, John Young, akiongea na waandishi wa habari. Mabaki ya  ndege pichani ambayo kimoja kina ukubwa wa mita 24, yameonekana umbali wa kilomita 2500 kusini Magharibi mwa pwani ya Australia.   ********* Waziri mkuu wa Australia amesema kuwa mitambo ya satelite ya nchi hiyo imenasa picha za vitu vinavyoonekana kama mabaki ambavyo

Biashara ya Mastaa kujiuza nje ya nchi: Shumileta adaiwa kumuuza Lungi kwa mwanaume aishie nchini India.

$
0
0
Lungi Maulanga. ** Huku kukiwepo na madai ya baadhi ya mastaa wa Bongo kwenda nchi za nje kufanya biashara ya kujiuza, siri imevuja kuwa, staa wa filamu aliyepotea kwenye soko la filamu Bongo, Jennifer Mwaipaja ‘Shumileta’ amedaiwa kumuuza msanii mwenzake wa kike, Lungi Maulanga kwa mwanaume aishie nchini India.   Kwa mujibu wa chanzo makini, mchongo huo ulifanyika kupitia mtandao wa

"Sijaona mwanaume mwenye vigezo vya kunizalisha, Walio wengi na matapeli...." Maya

$
0
0
Msanii mahiri wa filamu za hapa Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa katika pitapita zake zote bado hajaona mwanaume ambaye anaweza kuwa naye na kumzalia mtoto kwani wote anawaona ni tapeli  wa  mapenzi. Akizungumza nasi hivi karibuni Maya alisema kuwa hakuna kitu anachokitamani kama kupata mtoto lakini kila akifikiria mtu anayeweza kupata naye mtoto ndipo ugumu unapokuja. <!--

Kishindo kikuu chasubiriwa Dodoma leo....Wengi wataka hotuba ya Rais Kikwete itulize upepo mbaya

$
0
0
Ile hofu ya kuviziana na mbinu za kuteka Bunge Maalum la Katiba, leo ama itaendelea kutawala mchakato wa kutunga katiba hiyo au utafikia mwisho kutegemeana na maudhui ya hotuba ya Rais Jakaya Kikwete,atakayowasilisha bungeni mjini Dodoma  leo  saa  kumi  jioni. Rais Kikwete atahutubia Bunge hilo leo likiwa tayari kwa kuanza kazi ya kuchambua Rasimu ya Katiba ambayo iliwasilishwa na

Walimu wapya waahidiwa kuishi Kifalme mkoani Kigoma....Watapokelewa katika vituo vya mabasi na Reli kwa mabango.....Wavuvi kila siku kuwaletea Samaki nyumbani kwao

$
0
0
KATIKA utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Halmashauri ya Wilaya Kigoma, imeamua kuwapokea walimu wapya 430, kwa mbinu ya pekee ili wabaki katika vituo vyao vya kazi. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kigoma, Miriam Mbaga, alitangaza mbinu hizo jana wakati alipozungumza kwenye kikao cha maandalizi ya mapokezi hayo.   Alisema pamoja na maandalizi mengine,

Taarifa muhimu kwa wajumbe wa bunge maalumu la katiba

$
0
0
Katibu wa Bunge Maalum Bwana Yahaya Khamis Hamad anawatangazia Wajumbe wote wa Bunge Maalum kuwa wafike kwenye viwanja vya Bunge leo saa 8:45 mchana ili kushiriki kikao cha Bunge Maalum kitakachoanza saa 9:00 mchana na kufuatiwa na hutuba ya ufunguzi wa Bunge Maalum itakayotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete saa 10 jioni. Kwa maelezo zaidi piga

Kigogo wa CHADEMA apinga maamuzi ya chama hicho kumvua madaraka

$
0
0
MWENYEKITI wa CHADEMA Wilaya ya Ngorongoro, Revocatus Parapara, amepinga vikali hatua ya uongozi wa chama hicho ngazi ya mkoa kumvua madaraka ya uenyekiti.   Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha, Parapara alisema kuwa hatua ya kuvuliwa kwa wadhifa huo ni mbinu chafu na za kupikwa zilizofanywa na uongozi wa chama hicho ngazi ya mkoa kwa lengo la kumharibia.   Alisema kuwa

Picolo Beach Hoteli iliyopo Kawe, Dar es Salaam yateketea kwa moto

$
0
0
  Sehemu ya Hoteli ya Picolo Beach iliyopo Kawe, Dar es Salaam kwa sasa  inateketea kwa moto. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa.     Credit: GPL <!-- adsense -->

Ajali mbaya iliyohusisha magari 6 yatokea Ubungo jijini Dar katika lango kuu la kuingilia mabasi

$
0
0
Ajali mbaya imetokea ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajali hiyo  imehusisha magari 6 likiwemo UDA .Mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha.       <!-- adsense -->
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images