Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

PICHA: Lowassa, Sumaye, Prof. Safari walivyofika Mahakamani Kushuhudia Kesi ya Akina Mbowe

0
0
Mawaziri wakuu wastaafu Edward Lowassa na Fredrick Sumaye amehudhuria katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kufuatilia hatma ya kesi ya viongozi 6 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe kama watapata dhamana au wataendelea kusota rumande.

Mtwara: Mwanafunzi kidato cha pili ajinyonga kisa mapenzi

0
0
Binti Salma Abdalah ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili mkoani Mtwara aliyekuwa akiishi Mbawala Chini, amefariki dunia kwa kujinyonga, baada ya kukutwa na simu ambayo alipewa na mpenzi wake.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara Lucas Mkondya, amesema tukio hilo limetokea mwanzoni mwa wiki hii baada ya wazazi wa binti huyo kuamua kumfukuza nyumbani na kumtaka kwenda kuishi kwa bibi yake kutokana na utovu wa nidhamu, na ndipo akaamua kujitoa uhai wake.

Kamanda Mkondya ameendelea kwa kueleza kwamba wazazi wake waligundua kuwa binti yao alikuwa akimiliki simu ambayo hawajamnunulia, na walipomuuliza hakuwa na jibu sahihi, ndipo baba mtu ambaye ni baba wa kufikia aliamua kumfukuza nyumbani kutokana na kuchoshwa na tabia zake za utovu wa nidhamu, na kuelekea sokoni kwenye biashara zake kumtafutia nauli, huku mama yake akielekea shambani kwenye shughuli zake za kilimo,

“Ni binti ambaye alikuwa ni mwanafunzi wa kidato cha pili, sasa asubuhi baba yake wa kufikia akasikia simu ikiita kutoka chumbani kwake, akamuambia mama yake na kumuuliza alikoipata, lakini hakuwa na jibu, baada ya hapo wazazi wake wakatoka kuelekea shambani na kumwambia kuwa wamechoshwa na tabia zake za utovu wa nidhamu hivyo wakirudi wasimkute aondoke, huku nyuma akaamua kujinyonga kwa kutumia khanga”, amesema kamanda Mkondya.

Taarifa zaidi kutoka kwa mashuhuda wa tukio wamesema binti huyo alipojinyonga aliacha ujumbe uliosema kwamba "Nampenda sana Daudi, siwezi kukaa naye mbali najua hili ni kosa kwangu lakini nawaomba wazazi wangu mumpende sana Daudi maana akiwa kwenye matatizo, mimi sitajisikia vizuri"

Iringa: Raia mwenye asili ya India, ajinyonga

0
0
Mkazi mmoja wa mkoani Iringa mwenye asili ya India, Hiren Shantilal Makvana mwenye umri wa miaka 29, amefariki dunia baada ya kujinyonga.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa Juma Bwire, amesema tukio hilo limetokea Machi 26 mwaka huu katika makazi ya merehemu huyo ambaye alikuwa anaishi kwenye maghorofa ya NSSF Iringa, na kwamba marehemu alijinyonga kwa kutumia khanga, na mpaka sasa chanzo cha kufikia uamuzi huo bado hakijajulikna.

“Ni kweli siku ya Machi 26 tulipata taarifa za tukio hilo, na tulipoenda tulikuta marehemu ameshajinyonga, na alijinyonga kwa kutumia khanga, mke wake hakuwepo siku ya tukio ila taarifa zinasema kuwa amesafiri kwenda India, na hajaacha ujumbe wowote”, amesema Kamanda wa Polisi Juma Bwire.

Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi kujua chanzo cha mtu huyo kuamua kujiua, na mpaka sasa jeshi la polisi halijapata taarifa zozote kutoka kwa ndugu zake wengine wa karibu.

Lowassa, Sumaye Waondoka Mahakamani Kuhudhuria Mazishi ya Mwasisi wa CHADEMA

0
0
 Mawaziri wakuu wa zamani, Frederick Sumaye na Edward Lowassa wameondoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya muasisi wa Chadema, Victor Kimesera.

Viongozi hao walifika mahakamani hapo leo asubuhi Machi 29, 2018 kusikiliza kesi inayowakabili viongozi sita wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.

Kimesera alifariki dunia Machi 24, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), atazikwa leo katika makaburi ya Kinondoni.

Baada ya kumsifia Irene Uwoya, Msami adai hamjui Dogo Janja

0
0
Ndoa ya Irene Uwoya na Dogo Janja inazidi kugonga vichwa vya habari, safari hii msanii Msamii aliyekuwa mpenzi wa Irene hapo awali anatajwa sana katika ndoa hiyo.

Msanii na Irene wameacha maswali mengi baada ya hivi karibuni kuanza kusifiana katika mitandao kitu ambacho baadhi ya watu wanadai hakileti picha nzuri katika ndoa ya Irene na Dogo Janja.

Sasa muimbaji huyo akizungumza na E-Newz, EATV amesema yeye amejua na Irene kwa kipindi kirefu hivyo hata kama mrembo huyo amejuana na mtu mwingine si sababu ya wao kushindwa kuendelea kuwa marafiki.

“Naichukulia kawaida sana, nikikujua leo baada ya miaka mitano mbele ukajuana na mtu mwingine, mkawa na maisha mengine mimi nakujua wewe huyo mtu mwingine simjui,” amesema.

“Kwa hiyo ni vitu ambavyo haviwezi kupotea tu, kwanini nianze kupotezea kwamba yule sasa hivi yupo na fulani sitakiwi kuongea naye, maisha hayako hivyo” ameongeza.

Hata hivyo ameonya kuwa Irene siyo mke wake na anatambua kuwa ni mke wa mtu.

TWAWEZA :zaidi Ya Nusu Ya Watanzania Hawajisikii Huru Kumkosoa Rais,makamu Wa Rais Na Waziri Mkuu

0
0
Idadi kubwa ya wananchi hawajisikii huru kumkosoa Rais (60%), Makamu wa Rais (54%) na Waziri Mkuu (51%). 

Karibu nusu ya wananchi pia hawajisikii huru kuwakosoa mawaziri (47%), Wakuu wa Mikoa (46%) na Wakuu wa Wilaya (43%). 

Hata hivyo, idadi kubwa ya wananchi (87%) wanasema wanapaswa kuwa huru kuikosoa serikali na Rais kwa kufanya maamuzi mabaya na kutosikiliza ushauri (80%). 

Wanaamini kupitia ukosoaji wanaweza kuisaidia serikali kutofanya makosa (81%) na si kuwashushia hadhi watendaji wa umma au kuhatarisha umoja (19%). 

Vilevile wananchi hawaungi mkono matumizi ya lugha ya matusi ambapo asilimia 71 ya watanzania hawataki wananchi waruhusiwe kuwaita wafuasi wa chama chochote cha siasa “wapumbavu au malofa”.

Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wake uitwao Siyo kwa kiasi hicho? Maoni ya wananchi kuhusu taarifa na mijadala. Takwimu za muhtasari huu zinatokana na utafiti wa Sauti za Wananchi ambao huratibiwa na taasisi ya Twaweza. 

Sauti za Wananchi ni utafiti wenye uwakilishi wa kitaifa unaotumia simu za mikononi. Una uwakilishi wa Tanzania Bara pekee, Zanzibar haihusiki kwenye utafiti huu. Kwa maelezo zaidi kuhusu mbinu za utafiti huu tembelea www.twaweza.org/sauti. 

Takwimu za muhtasari huu zilikusanywa kutoka kwa wahojiwa 1,519 kutoka awamu ya 25 ya kundi la pili la Sauti za Wananchi, na zilikusanywa kati ya Novemba 7 na Novemba 27 mwaka 2017.

Wananchi wengi wana imani kubwa na taarifa zinazotolewa na Rais (70%) na Waziri Mkuu (64%). Idadi ndogo zaidi wanamwamini mwenyekiti wao wa kijiji (30%), wabunge (wa chama tawala 26%, wa upinzani 12%), na viongozi wa serikali kwa ujumla (22%).

Wananchi pia wanaendelea kuunga mkono kwa kiwango kikubwa upatikanaji wa taarifa: wananchi 7 kati ya 10 wanasema taarifa zinazomilikiwa na mamlaka za umma ni mali ya umma (70%, juu zaidi kutoka 60% mwaka 2015); na wananchi 9 kati ya 10 wanasema wananchi wa kawaida wapate taarifa zinazomilikiwa na mamlaka za umma (86%, juu zaidi kutoka 77% mwaka 2015) na kwamba kwa kuwapa wananchi uwezo wa kupata taarifa kunaweza kupunguza rushwa (86%, juu zaidi kutoka 80% mwaka 2015).

Pamoja na kuunga mkono kwa kiwango kikubwa upatikanaji wa taarifa, wananchi 9 kati ya 10 hawajawahi kuomba taarifa kutoka katika ofisi za serikali (95%), mamlaka za maji (93%), au vituo vya afya (93%). 

Wananchi wameendelea kutumia vyanzo vile vile vya habari bila kuwa na mabadiliko makubwa isipokuwa kwa upande wa runinga: mwaka 2013 runinga ilikuwa ni chanzo kikuu cha taarifa kwa 7% ya wananchi, mwaka 2017 ni asilimia 23 ya wananchi. 

Hata hivyo, imani kwa aina mbalimbali za vyanzo vya habari inashuka – radio kutoka 80% mwaka 2016 hadi 64% mwaka 2017, runinga kutoka 73% mwaka 2016 hadi 69% mwaka 2017 na maneno ya kuambiwa kutoka 27% mwaka 2016 hadi 13% mwaka 2017.

Pamoja na kushuka kwa imani na vyombo vya habari, wananchi bado wanaunga mkono uhuru wa vyombo vya habari: wananchi wanasema gazeti lililochapisha taarifa za uongo ama zisizo sahihi liombe radhi na kuchapisha marekebisho (62%) badala ya gazeti hilo kufungiwa ama kutozwa faini (38%). 

Idadi kubwa ya wananchi pia wanasema kuwa serikali ipate ridhaa ya mahakama katika kufanya maamuzi yoyote ya kuliadhibu gazeti kwa kutoa taarifa zenye  maudhui yasiofaa (54%).

Japokuwa wananchi wana mtazamo thabiti kuhusu upatikanaji wa taarifa na uhuru wa kuzungumza, ni wananchi wachache sana wanaofahamu sheria zinazohusiana na masuala ya habari. Sheria inayofahamika zaidi katika suala hili ni Sheria ya Makosa ya Mtandao (2015), ambayo inafahamika na asilimia 10 ya wananchi huku asilimia 4 pekee ya wananchi wakifahamu Sheria ya Huduma za Habari (2016). 

Wananchi wengi pia hawajaunganishwa kwenye mifumo ya uraia ambapo ni mwananchi 1 kati ya 4 au pungufu mwenye cheti cha kuzaliwa (25%), kitambulisho cha uraia (21%), leseni ya udereva (9%) na hati ya kusafiria (5%). Hata hivyo, karibu wananchi wote (98%) wana vitambulisho vya mpiga kura

Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza, Aidan Eyakuze, anasema: “wananchi wanaunga mkono kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa taarifa na uhuru wa kujieleza. Lakini ukweli wa mambo ni kwamba, wananchi hawaombi taarifa hizo, wana imani duni na vyanzo vyote vya taarifa ukiweka kando kauli zinazotolewa na Rais na Waziri Mkuu, na hawajioni kama wanaweza kuwakosoa viongozi wakuu wa serikali.”

“Kutokana na kwamba hivi karibuni serikali imepitisha kanuni za Sheria ya Upatikanaji wa Taarifa

tuna imani kuwa itakidhi kiu ya wananchi ya kupata taarifa kutoka serikalini. Tunaishauri serikali kuweka wazi taarifa ili kuyafikia matarajio ya wananchi. Cha kusikitisha, wananchi wanakamatwa na serikari kwa kujieleza kupitia mitandao ya kijamii. Ni vyema serikali ikatambua thamani ya mijadala huru ya umma na ukosoaji wenye lengo la kujenga katika mapambano dhidi ya rushwa na katika harakati za kuelekea kuwa nchi ya uchumi wa kati.”

Kesi ya Kutoa Lugha ya Fedheha Dhidi ya Rais Magufuli Inayomkabili Halima Mdee Yapigwa Kalenda

0
0
Kesi ya kutoa lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli inayomkabili mbunge wa Kawe, Halima Mdee leo March 29, 2018 imeshindwa kuendelea baada ya mshtakiwa kuwa mgonjwa.

Kesi hiyo imeshindwa kuendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana na mshtakiwa huyo kuwa nchini Afrika Kusini kwa matibabu.

Mdee anakabiliwa na shtaka moja la kutoa lugha ya matusi dhidi ya Rais,  kwa kusema, “anaongea hovyo hovyo, anatakiwa afungwe breki” kitendo ambacho kingeweza kusababisha uvunjifu wa amani.

Wakili wa Serikali, Patrick Mwita amedai hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati shauri hilo lilipokuja kwa ajili ya kuendelea na ushahidi.

“Kesi hii imekuja kwa ajili ya kuendelea na ushahidi na tayari upande wa mashtaka tunaye shahidi hapa mahakamani, lakini nimepata taarifa kuwa mshtakiwa ni magonjwa na ameshindwa kufika mahakamani hapa,” -Wakili Mwita.

Baada ya kueleza hayo, wadhamini wa Mdee, Fares Robison ambaye ni Diwani wa Mbezi Juu na Martha Mtiko Diwani wa viti maalumu, wameieleza mahakama hiyo kuwa Mdee yupo Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu. Baada ya maelezo Hakimu Simba ameahirisha kesi hiyo hadi May 3, 2018 itakapoendelea na ushahidi.

UPDTES: Lowassa Karudi Tena Mahakamani.....Watuhumiwa Hawajaletwa, Mahakama Kufanya Maamuzi Mchana Huu

0
0
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amerejea tena mahakamani  mchana huu akiwa na Ndg. Mgeja.

Awali, Lowassa na Sumaye  waliondoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya muasisi wa Chadema, Victor Kimesera.

 Hadi mmchana huu watuhumiwa wote wakiongozwa na Mh. Freeman Mbowe ambao wapo gerezani Segerea waliokuwa waletwe Kisutu, hawajaletwa

 Baada ya sintofahamu ya kutofikishwa mahakamani kwa viongozi hao, mahakama ilisema itatoa uamuzi mchana huu.
 
Hatua hiyo imekuja baada ya mawakili wa pande zote mbili, kuingia kwa Hakimu Mkazi, Wilbard Mashauri anayesikiliza shauri hilo na kukubaliana nini cha kufanya.

Katika makubaliano yao mawakili hao na mahakama, walikubaliana kuwasiliana na Magereza ili wafanye kazi yao kama hao watuhumiwa  wanaletwa leo au hawaletwi, au mahakama iendeleea kusoma uamuzi wa dhamana hiyo.

PICHA: Wabunge na Madiwani wa CHADEMA Waandamana Kwenda Ofisi za Umoja wa Ulaya

0
0
Wabunge na Madiwani wa Chadema, leo mchana Machi 29, 2018 wameandamana kwenda ofisi za Umoja wa Ulaya (EU).

Wabunge hao wamekwenda katika ofisi hizo kulalamikia kile wanachofanyiwa viongozi sita wa chama hicho akiwamo mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe waliopo mahabusu.

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema, “Tuko EU (Umoja wa Ulaya). Tupo wabunge wote tumeandamana kuja hapa kuleta kilio chetu.”
 
Miongoni mwa Viongozi waliofika katika ubalozi huo ni Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, Meya wa Ubungo Bonface Jacob ambapo wametahadhalisha usalama wa Viongozi hao pamoja wafuasi wa chama hicho.

Breaking News: Mbowe na Viongozi Wengine wa CHADEMA Wapata Dhamana Wakiwa Selo, Kuripoti Polisi Kila Alhamisi

0
0
Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewapatia dhamana viongozi sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), bila washtakiwa hao kuwapo mahakamani huku wakitakiwa kuripoti kila Alhamisi.

Awali, viongozi hao akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, walidhaniwa kuletwa mahakamani hapo na mahakama ikaamua kuketi na mawakili wa pande zote mbili kujadili kama washtakiwa hao wataletwa au la ili itoe uamuzi wake.

Baada ya makubalianao hayo, Inspekta Shabani wa Magereza ameieleza mahakama kuwa washtakiwa hao wameshindwa kuletwa mahakamani hapo kwa sababu gari la kuwaleta ni bovu.

Akitoa uamuzi wake, Hakimu Mkazi Wilbard Mashauri amewataka washtakiwa hao kuwa na  wadhamini wawili kila mmoja na kusaini kwa maandishi ya Sh milioni 20.

“Kila mshtakiwa atasaini dhamana ya maandishi ya Sh milioni 20, wadhamini pia watasaini kiwango hicho, washtakiwa wakiwa nje kwa dhamana wanatakiwa kuripoti polisi mara moja kwa wiki, ambayo ni kila siku ya Alhamisi,” amesema.

Pamoja na Mbowe, viongozi wengine ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Vincent Mashinji, Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu, Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko ambao wanakabiliwa na mashtaka manane yakiwamo kuhamasisha maandamano, uchochezi na uasi.

Kutana na Mtaalamu wa Kusafisha Nyota, Mvuto wa Biashara na Mapenzi

0
0
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..

JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na Maalim Hussein Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU. 

Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
 
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.
Issa simba said Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
 
Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..na mengi zaidi 

+255 622588038au 0679119679 au +255 764318107
NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE...

Ni Dr. Chief Malunde Pekee Anaetibu Nguvu Za Kiume Na Kumtuliza Umpendae Kwa Kutumia Dawa Za Asili

0
0
"NI DR. CHIEF MALUNDE PEKEE ANAETIBU NGUVU ZA KIUME NA KUMTULIZA UMPENDAE KWA KUTUMIA DAWA ZA ASILI"
-baada ya kujichimbia katika nchi za kiarabu kwa zaidi ya miaka (10)sasa amewasili nchini na dawa za tiba asilia.
 
1/NGOLO 3 POWER-ni dawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa mfumo wa vidonge, ina ubora wa hali ya juu wa kutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa wasiojiweza kufanya tendo la ndoa, inaimarisha misuli iliyolegea na kusinyaa, inarutubisha mbegu za kiume na kukufanya uchelewe kufika kileleni kwa dk.15-25 kuwa na hamu na tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila kuchoka, inarefusha uume inchi 5-8 na kunenepesha hadi cm 4 kwa wenye maumbile madogo, dawa hii imeboreshwa na hutibu matatizo haya kwa muda mfupi tu.
 
2/MAGOYE MVUTO- dawa hii ina uwezo mkubwa sana kumvuta na kumtuliza aliekuacha awe mpenzi, mme/mke itamfanya akutafute mwenyewe ndani ya masaa 3tu na kukutimizia mahitaji yako kwa haraka na kumfunga asiwe na mtu mwingine.
 
3/SUPER LUBEJA- ni dawa ya kushepu umbo no.8 mguu wa bia, kuongeza hips, na makalio kwa muda wa siku 5tu unapata saizi uipendayo, kuondoa makovu, chunusi, harufu mbaya ya mwili michirizi, kupunguza tumbo na maziwa kwa siku 6tu.
 
4/NG'WESHI MIX- ni dawa ya biashara ya kupata wateja wengi, kusafisha nyota, kurudishwa kazini na kupandishwa cheo, kurudisha mali iliyoibiwa au kudhurumiwa.
 
PIA TUNATIBU MAGONJWA SUGU KAMA: vidonda vya tumbo, ngiri, chango na uzazi kwa kina mama: (dawa zote hazina madhara kwa mtumiaji) HUDUMA HIZI UTAZIPATA POPOTE ULIPO: TUNAPATIKANA DSM BUGURUNI SHELI AU PIGA SIM NO_ 0763-181099.

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume........Inasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

0
0
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za: 
 
FULL POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30.
 
NYAMVA:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0783741788,0715741788 -DR MAGISE

Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

0
0
Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo Ya Uume Limekuwa Kubwa Kwa Lika Zote Hapa Kwetu Na Duniani Kote. Tatizo Si Tatizo Bali Ni Iletiba Sahihi Ya Matatizo Haya Chanzo Chake Na Visababisho Vyake.

DALILI;mwili kuchoka, maumivu ya mgongo na kiuno, kutopata choo vizuri hata ukipata choo kinakuwa kigumu au gololi kama mavi ya mbuzi. misuli ya uume kulegea na kusinyaa hata uume kulegea na kushindwa kufika kileleni. miguu kuuma na kuwaka moto.

 TIBA YAKE; 4mix ni dawa pekee inayoweza kutibu matatizo hayo inarudisha nguvu za kiume mara dufu na kufanya urudie tendo la mara tatu bila kuchoka. 

LUKUBA 3 pump; ni dawa inayorefusha na kunenepesha uume hadi inchi 7 hadi 9 na kunenepesha kwa CM 2 na kukupa umbile la uhakika. ITUMIE TIBA HII KUOKOA NDOA YAKO NA KUOKOA KUKIMBIWA NA UMPENDAYE,

 ISABILO; Ni dawa itoayo mafanikio na utajili kwa watu walioshindwa kufanikiwa kimaisha, 

MWITE; Ni dawa ya mvuto kumvuta umpendaye na kumrudisha aliyembali na atakutimizia ahadi zote awe mwanamke au mwanaume. 

LUTA CD; Ni dawa inayotibu magonywa nyemelezi yanayopunguza kinga za mwili na kusababisha mwili kuzoofu na inaondoa miwasho na kuondoa kemikali na taka zinazozagaa mwilini. 

KISUKARI; Tunayo dawa ya DAYON inayotibu na kuzalisha insulin kwa wingi na kumfanya mwenye tatizo hili kupona kabisa ugonjwa wa kisukari, kwani husababisha misuli ya mwili kutokufanya kazi vizuri

MPIGIE DR DAGOTIMAN NDIYE SULUHISHO LA MATATIZO YAKO 0754372325/ 0689013109/ 0620806813 

HUDUMA HII INAWEZA KULETWA POPOTE ULIPO OFISI ZETU ZIPO MBAGALA ZAKHEM DAR ES SALAAM.

Tiba Bora ya Nguvu za Kiume, Kisukari, Ngiri, Miguu Kuvimba

0
0
Matatizo ya nguvu za kiume yanawaathiri watu wengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona tofauti sana na wengine. Kawaida mwanaume anatakiwa kuwa na uume kuanzia nchi 6- 8, vinginevyo mtu huwa na matatizo. Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hilo. 

Baadhi ni upungufu wa vichocheo hivi; Homoni za getrogen ambazo mwanaume anapobalehe, vichochea hivi huchochea ukuaji wa uume.

Ngiri; Hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na hufanya tumbo kuunguruma na kujaa gesi. Sababu zingine ni korodani moja kuvimba, kupopata choo vizuri.

Sababu hizi na zingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara kwa mara husababisha kukosa tendo ya kurudia tendo na baadae kushindwa kabisa

SILYA: Ni dawa inayozalisha homoni zxa Gestrogen na kufanya uume kukua na kuongezeka hadi nchi 6-8
 
WET POWER: Ni dawa bora ya vidonge iliyotengenezwa kwa mitishamba na matunda ambayo huongeza nguvu za kiume kuanzia miaka 15-95 na hukomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi, ina imariisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa na itakufanya uwe na hamu ya kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara mbili bila hamu kuisha na pia itakuchelewesha kufika kileleni

Pia tunatibu kisukari, presha, ngiri, miguu kuvimba na kuwaka moto

Wasiliana na Sheikh Khatib akutatulie matatizo yako. Namba zake; 0785 234 837  au 0656 551 093  au 0746473974

Habari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba,Ngiri, Miguu Kufa Ganzi Pamoja na Matatizo ya Nguvu za Kiume

0
0
Ni dawa ya nguvu za kiume inayorefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo (Inch 1-7) kwa muda wa siku 6 tu.Dozi hii itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dakika 30, utarudia tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila hamu kuisha bila kujali umri na garantee ni miaka 60 baada ya kutibu tatizo.

Pia tunatibu Busha bila kufanyiwa Oparesheni, korodani moja kuvimba, ngiri, tumbo kujaa gesi na kuunguruma, kutopata choo vizuri, miguu kuwaka moto na kufa ganzi, chango la wanawake, kisukari na kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa.

MIHAYO:
Inarudisha mke, mchumba, hawara na atakutimizia kila kitu unachotaka kutoka kwake ndani ya  saa 2 tu hata kama yupo mbali. atarudi na kumfunga asiwe na mwingine zaidi yako.

Umefukuzwa kazini? unataka kupandishwa cheo? Umepoteza pesa zako kwenye biashara bila kujua umepandikizwa chuma ulete? Njoo urudishe pesa zako. Unauza mali yako haiendi? Wasiliana na mtaalam Challo kwa; 0714006521

Tupo Mbagala

Huna Sababu ya Kuaibika Tena.....Jipatie Dawa Asili ya Tatizo la Nguvu za Kiume

0
0
Matatizo ya nguvu za kiume  yamekua yakiathiri watu wengi sana kisaikologia hasa baada ya kujiona wakotofauti sana na wengine, kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamatatizo.

Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hili, chango :- hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngiri :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba namarakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kukosa kabisa

MIHINI:- Nidawa ya vidonge iliyotengenezwa kwa mitishamba, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka (15-80) inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) ,inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uwe na hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi ya maratatu bilahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kilelen Kwa mda wa dk (18-25).

SUNUPER :- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwamda mfupi sana , ni Dr GALIMU mtatuzi wa matatizo yako kunadawa ya kupunguza unene, kitambi (nyamazembe),matiti makubwa kuwa madogo, uzazi, kuludisha mali iliyopotea, kuuzavitu bila kununuliwa, biashara, wachimba madini kusafisha nyota, kuludishwa kazini mvuto wa mapenzi nk.

KWAHUDUMA NA MSAADA WASILIANA NA DR GALIMU ATAKUSAIDIA SM NO :- 0744 594 994

CAG Aomba Radhi Kuhusu Taarifa ya Ukaguzi Aliyoiwasilisha kwa Rais Magufuli

0
0
Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Profesa. Mussa Assad ameomba radhi wananchi na serikali juu ya taarifa ya deni la taifa na kusema kuwa yalifanyika makosa ya kimatamshi, deni hilo ni himilivu.

Profesa Assad ametoa taarifa hiyo mjini Dodoma ambapo amesema deni halisi ni shilingi trillion 46.08 na ni himilivu hivyo anaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwa wananchi na taasisi za serikali.

CAG wakati akitoa ripoti hiyo kwa Rais John Pombe Magufuli kuhusu suala la muenendo wa deni la taifa alidai kuwa deni la taifa si himilivu lakini kwa mujibu wa utafiti ambao wamefanya wao CAG ameibuka na kuomba radhi na kusisitiza kuwa ripoti ya CAG ni siri hadi itakapowasilishwa bungeni. 

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 69 na 70 )

0
0
MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA-
0657072588  
ILIPOISHIA

Mariam akanikumbatia kwa nguvu huku akiendelea kulia kwa uchungu. Taratibu nikaiweka bakuli la supu mezani na kuanza kunyonyana denda na Mariam, hisia za mapenzi zikaanza kupanda taratbu kati yetu, sehemu tuliyopo uzuri ni kwamba hakuna mtu yoyote. Mariam akanivua shati langu, nikamvua na yeye na tisheti
“Huu si wakati wa kufanya mapenzi, twendeni mazoezini”  
Sauti ya Livna Livba, ikatufanya tusitishe tunacho kifanya, Mariam akaniachia na kumtazama Livna kwa macho makali, akaachia msunyo mkali na kunigeukia na kuendelea kuninyonya denda jambo lillo mfanya Livna kumvuta Mariam kwa nguvu ili kuniachanisha naye.
  
ENDELEA  
Mariam hakukubali kunachia ndo kwanza akazidisha kunishika kwa mikono yake yote miwil huku  akiendelea kuninyonya denda. Livna akatutizama akatingisha kichwa kisha akatoka ndani humu na kutuacha tuendeleea na tunacho kifanya.
“Shenzi zake”
Mariam alizungumza huku akiendelea kuninyonya mate kwa kasi hatukushia hapo zaidi ya kujikuta tunaingia kwenye dibwi kubwa la mapenzi. Kila mmoja akampatia mwenzake kitu ambacho ana stahili hadi ikafikia kipindi sote tukajikuta tunafika kileleni pamoja.

“Ahahaaaa……”  
Mariam alshusha pumzi nyingi huku akinitazama usoni mwangu, taratbu akanyanyuka kwenye mapaja yangu na kila mtu akaanza kuvaa nguo zake taratbu.
“Mariam hivi tutatumia muda gani hadi kufika Korea Kaskazini?”
“Bado tuna vijiwiki kadhaa”
“Ahaa nimechoka kukaa humu ndani ya hii meli”
“Tena msimu huu tuna bahati kama ingekuwa ni msimu wa baridi kal ile ya barafu wala usinge tamani kabisa kusafiri na hizi meli”
Tukatoka katika chumba hichi huku tukiwa tumeongozana na Mariam, tukaelekea kwenye chumba cha Mariam, tukaoga kwa pamoja kisha tukabadilsha nguo.
“Hivi baba amefikira nini?”
“Kivipi?”
“Amefikira kitu gani hadi kumuweka Livna kuwa mwalimu wetu?”
“Katika hilo mimi wala bado sijalafiki, na wala hawezi kunifundisha kwa maana hapa hakuna mafunzo zaidi ya kuibiana mabwana”
Sikujibu kitu chochote zaidi ya kukaa kimya nikimtazama Mariam.

    Masaa na siku zikazidi kusonga mbele, Livna akitupa mafunzo ambayo baba ameagiza tuweze kuyafanya ili kuzidisha ujuzi katika kupambana kwetu. Kadri muda ulivyo zidi kusonga mbele ndivyo tulivyojikuta tunaimarika, japo mikasa ya hapa na pale ya Livna na Mariam kufanyiana visa vya mapenzi inatokea ila cha kumshukuru Mungu hawapigani. Baada ya wiki takribani sita tukafika nchini Korea ya Kaskazini majira ya saa mbili asubuhi. Katika maisha yangu nilisha zoea kuisikia hii ichi katika vyombo vya habari juu ya uchokozi wake katika nchi ya Korea Kusini ambapo miaka ya nyuma zilikuwa ni nchi moja kubwa zilizo kuwa zimeungana.
Bandarin tukapokwewa na sekretari wa baba aliye ongozana na walinzi wawili wa baba walio valia suti nyeusi.
“Karibuni”
Alitukaribisha wote watatu, tukaongozana nao hadi kwenye magari waliyo kuja nayo. Nikapanda gari moja na sekretari huyu huku Mariam na Livna wakipanda gari jengine la nyuma yetu na safari ikaanza kuelekea tusipo pafahamu.
“Umefanana sana na baba yako”
Sekretari alizungumza huku akiminya minya simu yake kubwa kiasi.

“Asante”
“Jina si Dany eheee?”
“Yaaa”
“Vipi Tanzania?”
“Kwema tu”
Maswali ya sekretari yakaishia hapo na ukimya ukatawala ndani ya gari. Baada ya dakika kama ishirini na tano hivi tukasimama mbele ya gorofa refu kwenda juu, ambalo kwa haraka haraka idadi ya gorofa zake zinaweza kufika mia moja na kitu hivi.
“Karibuni ndani”
Tukaongozana na sekretari. Katika sehemu ya mapokezi katika jengo hili  nikaona picha kubwa ya baba pamoja na sanamu lake lililo chongwa vizuri, huku pembeni kukiwa na herufi kubwa ya D. Katika jengo hili kuna wafanyakazi wengi wa asili  tofauti tofauti. Tukaingia kwenye lifti ambayo ina ina batani nyingi zilizo fika idadi ya batani mia moja na ishirini. Taratibu lifti ikaanza kwenda juu, huku sekretari huyu akiwa ameminya batani ya mia moja na ishirini.

TANGA RAHA- Sehemu ya Arobaini na Nne ( 44 )

0
0
AGE………………18+
WRITER…………EDDAZARIA G.MSULWA
ILIPOISHIA

“Asante sana mke wangu”
Nilizungumza huku nikimvuta karibu Rahma, na akakilaza kifua kichwa chake juu ya kifua changu
“Ila mume wangu, ninasiri moja kubwa sana katika maisha yetu, ambayo inanisumbua sana kwenye kipindi chote cha maisha yangu”
“SIRI.....!!, Siri gani?”

ENDELEA
“Nitakuambia tu mume wangu, subiri kwanza watu waondoke”
“Hapana, naomba uniambie mke wangu”
“Nitakuambia tu mume wangu, nakuomba uwe mvumilivu.Ngoja kwanza nikazungumza na hao watu nje, alafu nitarudi kukuambia”
Nikamtazama Rahma kwa macho makali ya kumchunguza, akayakwepesha macho yake katika kunitazama usoni.Akanipiga busu la shavu na akatoka nje, nikajilaza kitandani huku amani ikiwa imenitoweka kwani sijui ni siri gani ambayo Rahma anataka kuniambia.Nikasikia kelele za watu wakishangilia kwa furaha, sikujua ni kitu gani ambacho Rahma alizungumza hadi kuwafanya watu kushangilia kwa furaha namna hii.Nikanyanyuka kitandani na kuanza kutembea tembea ndani ya nyumba kutazama ubora wa chumba chetu, kusema ukweli kimetengenezwa kwenye hathi ya halil ya juu, kila kitu kimewekwa kwenye mpangilio mzuri wa kuvutia kwenye macho ya kila ambaye ataingia ndani ya hiki chumba

Nikaingia bafuni,na kukuta bafu zima, kuta zake zimesilibwa na vioo vigumu sana, Nikajitazama sura yangu na kukuta kidogo ninamabadiliko, kwini hali ya ukijana imeanza kupotea kwa mbali
“Duuu, kweli nimekuwa sasa”
Nilizungumza huku nikijichunguza vizuri, sura yangu
“Ni wakati wa mimi kuwa baba, mwenye familia bora”
Nilizungumza huku nikitabasamu, nikavua shati langu, na kubaki kifua wazi.Hapa ndipo nikaona kovu lililopo nyuma ya mgongo wangu.Nikakumbuka mara ya mwisho nilitua kwenye kisiki cha mti wa mkoko kipindi ninapambana na Joka kubwa.Nikiwa ninaendelea kujitazama kwenye kioo, gafla nyuma yangu nikaiona sura ya Olvia Hitler ikicheka pasipo kuwa na mwili, nikageuka kwa haraka huku nikihema kwa wasiwasi, ila sikuona kitu cha aina yoyote.Nikataka kupiga hatua mbele nikastukia mlango ukifunguliwa, akaingia Rahma

“Baby kumbe upo huku?”
Rahma alizungumza huku akinitazama usoni kwa umakini
“Mbona upo hivyo Eddy, kuna tatizo lolote?”
“Haa, hapana”
“Mbona kama una wasiwasi?”
“Hakuna kitu mke wangu”
Rahma akanisogelea na kunikumbatia, huku akiniminya minya mgongo wangu kwa kutumia vidole vyake
“Haumii, nikikuminya hapa?”
“Kwa mbali ninahisi maumivu, ukiniminya kwa nguvu kwenye hilo kovu”
“Pole mume wangu”
“Asante”
“Watu wako, wamesha ondoka”
“Hawajakuletea tabu?”
“Hapana, ila nimewaambia waje kesho kutwa, nitaandaa kasherehe ka kukukaribisha nyumbani”
“Sawa, mke wangu”
“Pia, nimewaambia waandishi wa habari waje wazungumze na wewe”
“Sawa mke wangu”

Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images