Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

$
0
0
Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo Ya Uume Limekuwa Kubwa Kwa Lika Zote Hapa Kwetu Na Duniani Kote. Tatizo Si Tatizo Bali Ni Iletiba Sahihi Ya Matatizo Haya Chanzo Chake Na Visababisho Vyake.

DALILI;mwili kuchoka, maumivu ya mgongo na kiuno, kutopata choo vizuri hata ukipata choo kinakuwa kigumu au gololi kama mavi ya mbuzi. misuli ya uume kulegea na kusinyaa hata uume kulegea na kushindwa kufika kileleni. miguu kuuma na kuwaka moto.

 TIBA YAKE; 4mix ni dawa pekee inayoweza kutibu matatizo hayo inarudisha nguvu za kiume mara dufu na kufanya urudie tendo la mara tatu bila kuchoka. 

LUKUBA 3 pump; ni dawa inayorefusha na kunenepesha uume hadi inchi 7 hadi 9 na kunenepesha kwa CM 2 na kukupa umbile la uhakika. ITUMIE TIBA HII KUOKOA NDOA YAKO NA KUOKOA KUKIMBIWA NA UMPENDAYE,

 ISABILO; Ni dawa itoayo mafanikio na utajili kwa watu walioshindwa kufanikiwa kimaisha, 

MWITE; Ni dawa ya mvuto kumvuta umpendaye na kumrudisha aliyembali na atakutimizia ahadi zote awe mwanamke au mwanaume. 

LUTA CD; Ni dawa inayotibu magonywa nyemelezi yanayopunguza kinga za mwili na kusababisha mwili kuzoofu na inaondoa miwasho na kuondoa kemikali na taka zinazozagaa mwilini. 

KISUKARI; Tunayo dawa ya DAYON inayotibu na kuzalisha insulin kwa wingi na kumfanya mwenye tatizo hili kupona kabisa ugonjwa wa kisukari, kwani husababisha misuli ya mwili kutokufanya kazi vizuri

MPIGIE DR DAGOTIMAN NDIYE SULUHISHO LA MATATIZO YAKO 0754372325/ 0689013109/ 0620806813 

HUDUMA HII INAWEZA KULETWA POPOTE ULIPO OFISI ZETU ZIPO MBAGALA ZAKHEM DAR ES SALAAM.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Marcg 17

Ununuzi Wa Vichwa Vya Treni 11 Vilivyopo Katika Bandari Ya Dar Es Salaam

$
0
0
Mnamo mwezi Julai 2017, Kampuni ya Progress rail Locomotives (PRL) ya Marekani ilileta vichwa vya treni 11 katika Bandari ya Dar es salaa  kwa ajili ya kuviuza vyenye namba 9014, 9015, 9016, 9017, 9018, 9019, 9020, 9021, 9022, 9023 na 9024.

Tarehe 27 septemba, 2017 Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa aliteua kamati ya wataalamu kwa ajili kubaini kama vichwa hivyo ni vipya au la.Wajumbe wa kamati hiyo walitoka chuo kikuu cha Dar es salaam, TEMESA na shirika la Reli Tanzania (TRC).

Kamati hiyo ilifanya kazi hadi 15 oktoba, 2017 na kukabidhi ripoti kwa Mheshimiwa Waziri.Kamati ilibaini kuwa vichwa hivyo vya treni ni vipya.

Aidha tarehe 16 Oktoba, 2017 Mheshimiwa Waziri kwa mara nyingine aliteua kamati ya wataalamu wenye taaluma mbalimbali wakiwemo wanasheria wahandisi na wachumi kwa ajili ya kujadiliana bei ya kuvinunua vichwa hivyo.

Awali mwaka 2015,Serikali ilinunua vichwa kama hivyo 13 vyenye namba 9001, 9002, 9003  ,9004,9005,9006,9007,9008, 9009 ,9010, 9011, 9012 na 9013 kwa bei ya dola za kimarekani Milioni 3,200,000 kwa kichwa kimoja.

Kamati hivyo ilifanya majadiliano ya bei na kufikia muafaka wa kununua kwa dola za kimarekani milioni 2,400,000 kwa kichwa kimoja ambavyo ni pungufu ya dola 800,000 kwa kila kichwa cha treni kulinganisha na bei ya vichwa tulivyonunua awali,kwa maana hiyo kwa vichwa 11 serikali imeokoa dola 8,800,000.

Majaribio yatakuwa katika awamu  tatu.Kwanza ni ukaguzi kwa kuvitizama(visual inspection),pili ni kuviwasha na kuvipa mizigo  vikiwa havitembei(load box) na tatu ni kufunga na kuvuta mzigo tani 700 toka Dar es salaam hadi Morogoro na tani 1200 toka Morogoro hadi Kigoma na Mwanza.

Ununuzi wa vichwa hivi 11 utaongeza ufanisi wa shirika kwani kwa sasa hivi tunavyo vichwa 29 madhubuti kati ya vichwa 47 tunavyovihitaji ili kutoa huduma nzuri kwa wateja wetu.

Waziiri Mkuu:Wanavyuo Nchini Waandaliwe Katika Kujiajiri

$
0
0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ni muhimu mfumo wa ufundishwaji wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini ukaboreshwa ili wanapomaliza waweze kujiajiri.

“Kumekuwa na tatizo kubwa la wasomi wetu kuwa na mtazamo  wanapomaliza masomo yao lazima waajiriwe. Upo umuhimu wa kubadili mtazamo huo kwa kuwapa mbinu zitakazowawezesha kujiajiri.”

Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo jana (Ijumaa, Machi 16, 2018) alipokutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. William Anangisye, ofisini kwake mjini Dodoma.

Amesema wanafunzi hao wanapomaliza wanatarajiwa wawe na uwezo wa kubuni mbinu mbalimbali za kujiajiri na kuondokana na mtazamo wa kusubiri ajira za kuajiriwa maofisini.

Waziri Mkuu amesema wasomi hao wanaweza kuchukua kauli mbiu ya Rais Dkt. John Magufuli ya uchumi wa viwanda kwa kuanzisha kilimo cha mazao mbalimbali yatakayotoa malighafi za viwandani.

Pia Waziri Mkuu amesema wasomi hao wanaweza kujikita katika shughuli za uchimbaji wa madini au usindikaji wa mazao mbalimbali, hivyo tayari watakuwa wamejiajiri kwa sababu ajira si za ofisini pekee.

Aidha, Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kumpongeza Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam aliyestaafu Profesa Rwekaza Mukandara kwa kazi nzuri aliyoifanya kipindi cha uongozi wake.

Kwa upande wake, Profesa Anangisye amesema mzigo aliopewa wa kuiongoza taasisi hiyo si mwepesi, hivyo ameahidi kufanya kazi kwa bidii na hatokwenda kinyume na matarajio ya Serikali ya Awamu ya Tano.

Kiongozi huyo amesema katika kuhakikisha wanaboresha masomo chuo hapo wameanzisha skuli ya kilimo na uvuvi, hivyo wanatarajia kuanzisha mashamba ya mfano kwa ajili ya mazao mbalimbali.

 (mwisho)
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
S. L. P. 980

TCRA:: Epukeni Kuweka Taarifa Nyingi Zinazowahusu Kwenye Mitandao Ya Kijamii

$
0
0

   Kaimu Meneja Mamlaka ya Mawasiliano kanda ya Kaskazini Francis Msungu

Na.Vero Ignatus. Arusha
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Katika kuadhimisha siku ya walaji duniani  inayo adhimishwa kila mwaka machi 15 kila mwaka imetoa mafunzo kwa waalimu wanafunzi zaidi ya 300 katika chuo cha ualimu Monduli mkoani Arusha.

Akizungumzia Madhumuni ya kutoa elimu hiyo Kaimu meneja wa Mamlaka ya mawasiliano kanda ya Kaskazini Francis Msungu amesema ni katika jitihadha zilezile za serikali za kuhakikisha kwamba inamlinda mlaji kwa kumpa elimu juu ya haki na wajibu wawatumiaji wa huduma za mawasiliano kwaajili ya kuleta maendeleo.

Katika kuadhimisha siku ya walaji wameitumia kutoa elimu juu ya haki, na wajibu wa watumiaji wa huduma za mawasiliano kama sehemu ya walaji,tahadhari za kuchukua katika mawasiliano hususani mitandao.

Msungu amesema  kwamba  walaji,ni kundi kubwa la kiuchumi ambalo huwa linaadhirika na kuathiri maamuzi ya kiuchumi yanayofanywa na mataifa na makampuni ya kibiashara.

"Sisi kundi hili la walaji ni kundi lile ambalo maoni yetu huwa usual a to kusikilizwa kwa makini katika maamuzi ambayo yanafanywa ya  kiuchumi" alisema.

Kwa upande wake Mhandisi  Mwandamizi wa Masafa (TCRA) Jan Kaaya ametoa tahadhari kwa jamii kutokuweka taatifa nyingi zinazowahusu kwenye mitandao kwani siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi la uhalifu ambalo wanatumia mitandao kufuatilia taarifa za watu.

Jan amesema ni muhimu kuhakikisha unapoweka taarifa ako katika mitandao hii ya kijamii,usiweke taarifa zako nyingi zinazomwezesha mtu kuzitumia hizohizo katika kukudhuru wewe mwenyewe.

Mwanasayansi wa Masafa kutoka Mamlaka ya mawasilianoTanzania kanda ya kaskazini   Julius Filex amezungumzia suala la ununuzi wa simu na kisema kuna sheria ya Mawasiliano ya kieletroniki na posta ya mwaka 2010/ambayo inamtaka mnunuzi wa simu kuhakikisha baadhi ya vitu kabla hajakabidhiwa simu.

Ahakikishe amepewa risiti,garantii ya mwaka mzima,auziwe simu ikiwa kwenye box lake,pia aangalie simu yake ni bandia  ama la kwa kutumia *#06
 Mhandisi  Mwandamizi wa Masafa (TCRA) Jan Kaay akizungumza na waandishi wa habari.Picha na Vero Ignatus
 Kaimu mkuu wa chuo cha Ualimu Monduli Jesca Moiro akizungumza katika mafunzo hayo kama mwenyeji wa wanafunzi waalimu.Picha na Vero Ignatus
Mwanasayansi wa Masafa kutoka Mamlaka ya mawasilianoTanzania kanda ya kaskazini  (wa kwanza kulia) Julius Filex akizungumza na waalimu wanafunzi katika chuo cha ualimu Monduli ,(kushoto )Afisa kutoka (TCRA) Osward Octavian akionyesha vitabu ambavyo ni muongozo kwa watumiaji wa mawasiliano.Picha na Vero Ignatus
Kaimu Meneja Mamlaka ya Mawasiliano kanda ya Kaskazini Francis Msungu akisisitiza jambo katika mafunzo hayo.Picha na Vero Ignatus
Baadhi ya washiriki ya mafunzo hayo yaliyoandaiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania( TCRA) nakufanyika katika chuo cha Ualimu Monduli mkoani Arusha.Picha na Vero Ignatus.

Matusi Yamkera Wema Sepetu

$
0
0
Muigizaji wa filamu mwenye nyota yake bongo na Afrika Mashariki Wema Sepetu, amedai amevumilia matusi vya kutosha anayotukanwa na kupitia mitandao ya kijamii bila kosa lolote hivyo kwa sasa ataenda nao hatua kwa hatua.

Wema Sepetu ametoa kauli hiyo alasiri ya leo (Machi 16, 2018) baada ya baadhi ya watu kupenda kumtolea maneno machafu na kumdhihaki kwa jambo ambalo yeye hakupenda awe nalo au limfike katika maisha yake.

"Naona mmeshanikariri hua nakaa kimya pale mnapo ona 'comment' ya matusi, nimepuuzia kwa muda mrefu mno ila tukumbuke kuwa na mimi nina moyo ambao una nyama tena ni binadam kama nyie tu. Kama vile usivyopenda kuona mtu anakukebehi basi ndio hivyo hivyo ninavyo 'feel', kwani lazima matusi?, hakuna asiyejua kutukana kwenye ulimwengu huu tena midomo michafu haswa ila tunajitahidi kujistiri", amesema Wema.

Aidha, Wema Sepetu amesema hakuna jambo ambalo linamkera kupita kiasi kama kuona anatukanwa kupitia 'social media' tena kwenye ukurasa wake mwenyewe.

"Kwani kuna ulazima ku-coment tena matusi 'sometimes' mtu anaweza 'ku-push ur buttons to the extent when it comes to me nina extents' zangu 'and u don't go there', navumilia vingi mno jamani kweli kweli. 'Try putting yourselves in my shoes for a minute and see if they fit'. Ukipost kitu chako kuna ile mijitu iliotapikwa inakuja na maneno yao ya chooni utasema imetumwa. Kwani ni mashindano?, sio poa jamani", amesisitiza Wema.

Kwa upande mwingine, Wema Sepetu amewakumbusha baadhi ya watu wenye tabia hiyo kuwa naye ni binadamu kama walivyo wao na mwenye moyo wa nyama na wala sio chuma hivyo anasikia maumivu makali kama wayapatao wao pindi wakitukanwa katika mitandao ya kijamii.

Wanawake Watatu Watiwa Mbaroni kwa Kutumia Jina la Rais Mstaafu Kikwete Kutapeli

$
0
0
Wanawake watatu waliofahamika kwa majina ya Mathe Uredi (41), Khadja Khamis (42) na Mwenge Uredi (33) wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kutumia jina la Rais mstaafu Jakaye Kikwete na familia yake kujipatia fedha kwa utapeli.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amefunguka hayo leo Machi 16, 2018 na kusema kuwa jeshi hilo limeweza kuwakamata watuhiwa hao ambao walikuwa wakitumia mtandao wa facebook kufanya utapeli kwa kutumia jina la Rais Mstaafu, Mama Salma Kikwete pamoja na Ridhiwani Kikwete.

"Wote walikamatwa wakiwa na simu za mkononi 12 zikiwa na line za mitandao mbalimbali na huku wakiwa na line zingine 10 zisizokuwa ndani ya simu line hizo ni za mitandao mbalimbali ambazo huzitumia ili kufanikisha uhalifu huo niliousema

"Watuhumiwa hao walifungua ukurasa huo wa facebook na wamekuwa wakitumia line hizo za simu kuwatumia na kuwapigia na kuwatumia message wananchi ili kuwashawishi kujiunga kwenye taasisi hizo na kisha kutumia line hizo kupokea miamala ya fedha kutoka kwa wakopaji wanaoweza kushawishika.
 
"Aidha watumuhiwa hawa wamekuwa wakiweka picha kwenye mtandao huo wa facebook wakionyesha watu waliobeba fedha kanakwamba watu hao wamenufaika kwa kupitia udanganyifu huo kwa kutumia majina makubwa na kuweka vitita hivyo viliwafanya watu kuamini kwamba kupitia vikoba hivyo wataendelea kujinufaisha na kupata mafanikio makubwa.

"Kwanza nitoe onyo kwa watu wote ambao wanaendelea kutumia majina ya viongozi waliiopo madarakani na waliostaafu kwa lengo binafsi ya kujinufaisha na kuchafua taswira ya viongozi na heshima zao basi jeshi la polisi halitamnyamazia mtu hata mmoja" alisisitiza Mambosasa

Watu hao watatu wanadaiwa kutumia mtandao wa facebook kwa kujiita Jakaya Kikwete Focus Vicoba, Salma Kikwete Focus Vicoba na Ridhiwani Kiwete Focus Vicoba na kuwatapeli wananchi fedha kwa njia za udanganyifu, Mambosasa amedai kuwa uchunguzi ukikamilika watawafikisha mahakamani watu hao.

Uingereza Yaitaka Tanzania iiunge Mkono Mgogoro Wake na Urusi

$
0
0
Serikali ya Uingereza imeitaka Tanzania na Jumuiya ya Kimataifa kuiunga mkono katika kupinga kitendo cha Urusi kutumia sumu aina ya novichok katika jaribio la kumuua jasusi wa Kirusi, Sergei Skripal na binti yake, Yulia.

Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita huko Salisbury, Uingereza na kwa sasa Skripal na Yulia wana hali mbaya hospitali.

Akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana, Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke alisema nchi yake haitavumilia majaribio yoyote ya mauaji ya watu wasio na hatia ndani ya ardhi yake.

Cooke alisisitiza kwamba ni wazi Urusi ilihusika kwenye jaribio hilo na walipewa nafasi ya kueleza kwa nini waliamua kutumia sumu hiyo ndani ya Uingereza licha ya kwamba matumizi ya kemikali kama silaha ni kinyume cha sheria za kimataifa. Hata hivyo, alisema mpaka sasa hawajatoa maelezo kuhusu suala hilo.

“Baadaye leo (jana) nitaonana na waziri wa mambo ya nje ili kumweleza kuhusu jambo hili na kuomba ushirikiano wa Tanzania. Ninaamini Tanzania iko pamoja nasi katika hili,” alisema balozi huyo.

Alipoulizwa kuhusu msimamo wa Tanzania kuhusu suala hilo, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Dk Susan Kolimba alisema hawezi kulizungumzia kwa sasa.

Waziri wa Mambo ya Nje, Dk Augustine Mahiga hakupatikana kuzungumzia suala hilo .

Mpaka sasa Uingereza inaungwa mkono na Marekani, Ufaransa, Ujerumani, Austalia na Umoja wa Kujihami wa Nchi za Magharibi (Nato). Pia, imeripoti suala hilo kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

Pia imewatimua maofisa 23 wa intelijensia wa Urusi na imefuta ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov.

Vilevile, Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May ametangaza kwamba hakuna waziri yeyote au mtu kutoka familia ya kifalme atakayehudhuria Fainali za Kombe la Dunia zinazotarajiwa kufanyika Juni huko Urusi.

Serikali Yakanusha kuhusu sukari ya Zanzibar Kuzuiwa Tanzania Bara

$
0
0
Serikali imekanusha taarifa zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kwamba, imekizuia Kiwanda cha Sukari Zanzibar, ZSFL, kuuza Sukari yake Tanzania Bara.

Akizungumza jana jijini Arusha, Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbas, amefafanua kwamba, kiwanda hicho kinapaswa kukidhi soko la Zanzibar la tani elfu 10 badala ya kulalamika kimezuiwa kuuza Sukari nje.

 Dk. Abbas alisema, mahitaji ya kawaida Zanzibar ya sukari ni Tani 17,000 hadi 20,000 kwa mwaka, lakini kiwanda hicho, kina uwezo wa kuzalisha tani elfu 10 japo kwa sasa uzalishaji umeshuka hadi tani elfu 8 hivyo kufanya Zanzibar kuwa na upungufu wa tani elfu 9 hadi elfu 12.

 Mapema wiki hii Kaimu Mkurugenzi Mkuu Kiwanda hicho cha Sukari Zanzibar, Bi. Fatma Salum Ali, alisema kiwanda hicho kinapata hasara ya shilingi 387,000 kwa kila tani moja ya Sukari inayozalishwa kutokana na kushindwa kupata kibali cha kuuza Sukari Tanzania Bara ambako kuna soko shindani kwa misingi ya gharama za uzalishaji na bei.

Walichokisema CHADEMA Baada ya Freeman Mbowe na Salum Mwalim Kuripoti Polisi Jana

$
0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakielewi lengo la Jeshi la Polisi mpaka sasa limekusudia kuwafanyia kitu gani viongozi wa Chadema kwa madai wanaitwa kila uchao halafu hakuna kinachojadiliwa kuhusiana na wito wao.

Hayo yameelezwa jana mchana  na Mkurugenzi wa Itifaki na Mawasiliano ya Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema  baada ya  Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe na Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar), Salum Mwalimu kuhudhuria kituo cha Polisi Jijini Dar es Salaam kama walivyotakiwa hapo awali kufanya hivyo na mwishowe kuachiwa kurudi walipotoka bila ya kuhojiwa jambo lolote lile tangu walipofika hapo majira ya asubuhi.

"Ni kweli Mwenyekiti Freeman Mbowe na Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar), Salum Mwalim waliripoti Polisi lakini hakukuwa na majadiliano ya aina yeyote yaliweza kufanywa siku ya leo.  

"Hatujui mpaka sasa Jeshi la Polisi linatutakia nini, kwa maana ninavyojua watu wakisha chukuliwa maelezo huwa Polisi wanaangalia kama watakuwa na kesi ya kujibu au laa, na kama itakuwepo basi wanapelekwa Mahakamani na kama hakuna basi jalada linafungwa. Sasa kwa upande wetu Jeshi la Polisi halijafunga jalada wanasema bado uchunguzi unaendelea.

"Kwa kweli sisi mpaka sasa hivi tunaona ni usumbufu na hii sio mara ya kwanza maaana hata Mhe. Edward Lowassa aliwahi kuitwa polisi akawa anahudhuria kila siku na mwisho wa siku hata hatujui lile jalada lilipotelea wapi walilokuwa wamempa juu ya kutoa kauli za uchochezi kwenye suala la Masheikh. 

"Sasa tunaona suala hili linajirudia kwa viongozi wetu wanaitwa kila siku, hawapelekwi mahakamani, jalada halifungwi huku ni kuwafanyia watu usumbufu kwa maana wengine ni wabunge kama Mbowe ametoka Mkoani Dodoma ambapo walikuwa wanajadili mpango wa bajeti anaitwa kuja kuripoti Polisi, sasa sijui gharama zote hizo nani atazilipa".

Kwa upande mwingine, viongozi wa Chadema wametakiwa kuripoti tena Polisi siku ya Alhamis (Machi 22, 2018) ambapo bado mpaka sasa haijafahamika wanachoitiwa tena.

Jakaya Kikwete Alipongeza Jeshi la Polisi

$
0
0

Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amefunguka na kulipongeza jeshi la polisi Tanzania kwa kuweza kufanikisha kukamatwa kwa watu ambao walikuwa wakitumia vibaya majina yake, mkewe na mtoto wake kuwaibia watanzania.

"Natoa pongezi nyingi kwa IGP Simon Sirro na Polisi Tanzania kwa kuwakamata watu waliokuwa wanatumia vibaya jina langu, la mke wangu Salma na mwanetu Ridhiwani kuwahadaa na kuwaibia Watanzania ninaowapenda sana. Kubainika kwa mtandao huo na kukamatwa ni hatua nzuri ya kupongezwa" alisema Jakaya Kikwete

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema kuwa watu hao ambao wamekamatwa na jeshi hilo la polisi watafikishwa mahakamani upelelezi ukikamilika.

Ratiba Ya Robo Fainali Champions League

$
0
0
Mabingwa watarajiwa wa ligi kuu England, Manchester City imepangwa kucheza na wapinzani wao wa ligi hiyo, Liverpool kwenye hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia droo iliyochezeshwa jana mjini Zurich.

Liverpool iliyoiondoa Porto kwenye hatua ya 16 bora itakuwa nyumbani kuwakaribisha City iliyowafungasha virago Basle, kwenye mchezo wa kwanza wa hatua hiyo

Mabingwa watetezi, Real Madrid waliotinga hatua hiyo kwa kuiondoa PSG, watasafiri kwenda Turin, Italia kuumana na wanafainali wenzao wa msimu uliopita, Juventus kwenye mchezo mwingine wa hatua hiyo.

Juve imetinga robo fainali baada ya kuwanyamazisha Tottenham kwenye hatua ya 16 bora.

Juve na Real zilicheza fainali ya michuano hiyo msimu uliopita na Wahispania walichukua kombe hilo baada ya kuibuka na ushindi.

Mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, watasafiri kwenda Hispania kuumana na wababe wa Manchester United, Sevilla huku vigogo wengine wa Hispania, Barcelona walioiondosha Chelsea kwenye hatua ya 16 bora watakuwa nyumbani kuwakaribisha Roma ya Italia.

Mchezo kati ya Liverpool na Man City unatarajiwa kuvuta hisia za mashabiki wengi wa soka Duniani kutokana na ushindani wa timu hizo za Uingereza.

Michezo ya mkondo wa kwanza inatazamiwa kuchezwa Aprili 3 na 4 huku michezo ya marudio ikipangwa kuchezwa Aprili 10 na 11.

Hii Hapa Ratiba Ya Robo Fainali Europa League

$
0
0
Baada ya shirikisho la soka Ulaya UEFA kuchezesha droo ya UEFA Champions League hatua ya robo fainali, baada ya hapo wamechezesha pia droo ya robo fainali ya UEFA Europa League.

Baada ya droo hiyo kuchezeshwa Arsenal ambao waliwatoa AC Milan katika hatua ya 16 bora, wamepangwa na CSKA Moskva ya Urusi katika robo fainali Arsenal akianzia nyumbani.

 Mechi za kwanza za Robo fainali zitachezwa April 5 na Marudiano itakuwa  April 12 mwaka huu

Rais Magufuli Na Maendeleo Ya Viwango Vya Olimpiki

$
0
0
Na Judith Mhina-MAELEZO
Uzinduzi wa tawi la CRDB Chato uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli unadhihirisha Tanzania ya maendeleo ni lazima.

“Kujenga standard gauge kwa shilingi trilioni 7.6 fedha za ndani, msifikiri watu wanafurahi” 

“Tunapoamua kujenga Stigler’s Gorge ambayo itazalisha umeme zaidi ya megawati 2100 usifikiri wanaweza kufurahi” 

”Tunapoweza kununua ndege kwa fedha zetu, kitu ambacho tulishindwa kwa miaka 50 usifikiri watu wanafurahi” 

“Tunapoweza kulipa mishahara tarehe 21 usifikiri wengine wanafurahi”. Rais Magufuli.

Maneno hayo ya Rais yametokana na utekelezaji wa miradi mikubwa kadhaa ya maendeleo, kupiga vita rushwa, uboreshaji wa huduma za jamii hususan elimu bure, afya, usambazaji wa umeme, maji na matumizi sahihi ya fedha za Umma zimeipaisha Tanzania kiuchumi.

Nina hakika sio rahisi kumshawishi Mwingereza au nchi yeyote iliyobobea kwenye uchumi mkubwa iwapo unafanya hovyo hovyo, eti akushabikie kuwa nchi yako uchumi wake unamuelekeo mzuri na itafika mbali. Lakini leo sio ajabu maana imetokea Tanzania ambayo ina muelekeo mzuri wa uchumi na inatabiriwa kufika mbali kimaendeleo.

Penye ukweli uongo hujitenga, Waziri anayeshughulikia masuala ya Afrika nchini Uingereza Stewart Rory ameeleza namna alivyovutiwa na mabadiliko yanayofanywa kwenye sekta ya elimu, kupitia sera ya elimu bure ambayo imewezesha kuwepo kwa ongezeko kubwa la udahili wa wanafunzi.

Kufuatia mabadiliko hayo Uingereza imetoa Paundi milioni 140 kusaidia maboresho katika miundombinu ya utoaji wa elimu hususan ujenzi wa madarasa na nyenzo za ufundishaji.

 “Nimetembelea shule za msingi na kushuhudia mabadiliko makubwa yaliyofanyika, ikiwemo utoaji elimu bure. Tutatoa zaidi misaada kusaidia masuala ya kitaaluma, ikiwemo ujenzi wa madarasa”. Amesema Rory.

Aidha, Balozi wa ufaransa nchini Friederic Clavier alipokwenda kumtembelea Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisini kwake Jijini Dar-es-salaam, alisema kuwa, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, anaunga mkono juhudi za dhati zinazochukuliwa kuhakikisha uchumi wa Tanzania unaimarika.

“Rais wa Ufaransa anauhakika na Tanzania ijayo na anaunga mkono jitihada za maendeleo zinazofanywa na Rais Magufuli” amesema Clavier.

Naye, Muwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kwenye masuala ya Watoto Profesa Virginia Gamba amesema kuwa anaipongeza Tanzania kwa jitihada za kudumisha amani ndani na nje ya nchi.

Aidha, amesema;“Tanzania ni miongoni mwa nchi ya kuigwa Afrika zinazopiga hatua kubwa ya maendeleo zinazopaswa kutiliwa mfano lakini yote hiyo inatokana na umadhubuti wa serikali yake na Jeshi la Wananchi wa Tanzania”.

Pia, Muwakilishi wa Benki ya Dunia katika nchi za Burundi, Malawi na Somalia Bibi Bella Bird tarehe 4 Desemba mwaka jana akiwa Ikulu Jijini Dar-es-salaam, alimuhakikishia Rais Magufuli kuwa taasisi hiyo, imejipanga kuendelea kutoa mikopo nafuu kwa miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini. Hii yote ni kwa sababu ya usimamizi mzuri wa fedha za maendeleo ambazo zinasimamiwa na serikali ya Rais John Pombe Magufuli

Bibi Bird amesema “2016 Benki ya dunia ilitoa mkopo nafuu yenye dhamani za Dola ya Marekani bilioni 1.2, ambazo zilikuwa sawa na trilioni 2.7 fedha ya Tanzania. Fedha hizi zimekwenda katika miradi mbalimbali na tunafurahi kuwa zimetumika vizuri kama ilivyokusudiwa’

Benki ya Dunia imetoa kipaumbele katika miradi ya miundombinu ya barabara na reli, kuongeza usambazaji na uzalishaji wa nishati ya umeme, tekinolojia ya habari na mwasiliano,  elimu, ili kuhakikisha idadi ya wanaopata elimu inaongezeka, uboreshaji wa sekta ya afya,  na kuongeza upatikanaji wa maji safi.

Akizungumzia hali ya uchumi Wilayani Chato Rais Magufuli amesema;”Kwa sasa tupo kwenye mstari sahihi nawaomba Watanzania mvumilie ili tufike mahali ambako Tanzania itakuwa nchi ya asali”

Rais Magufuli anamaanisha kuwa, Tanzania itakuwa nchi ya asali kweli kutokana na mbio, kasi ya Serikali ya Awamu ya Tano hii ni dhahiri bila kificho. Mpaka sasa kila kitu cha maendeleo kinachofanywa na Serikali kinawekwa hadharani ili kudhihirisha imedhamiria kutenda inachosema.

“Niliapa kwa Katiba kwamba nchi hii lazima iwe ya amani nataka tujenge uchumi wa kweli” amesema Rais Magufuli.

Haiingii akilini nje ya Tanzania watu wanaona mbio za maendeleo zinavyoshika kasi hapa nchini, na kutabiri matokeo yake kuwa ni ustawi wa nchi na watu wake. Lakini ndani ya Tanzania waone ni mateso, kutoa maneno yasiyofaa na kutaka kufanya vitu vinavyovuruga amani, upendo na mshikamano jambo hili tulikatae.

Vilevile, Rais aliongeza kuwa Tanzania ya viwanda imeanza kupatikana na kinachohitajika ni kuongeza juhudi bila kujali vitisho na maneno ya kukatisha tamaa kutoka kwa yeyote ndani au nje ya nchi.

 “Tunaposema viwanda kuna mataifa yahapendi. Hata tukitaka kujenga viwanda vya nguo hawataki kwa sababu wananufaika. Wanataka tulime Pamba kisha tuwauzie wao watengeneze nguo kisha wazivae halafu watuletee mitumba”. Amesema Rais Magufuli

Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya madini, Royalty Exploration Corporation (TRX) kutoka Canada James Sinclair amesema; “Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli amekaribisha wawekezaji zaidi baada ya kupiga vita rushwa na udanganyifu katika mfumo”. 

Aidha, Sinclair aliongeza kwa kusema kuwa, Serikali imeweka mazingira mazuri ya kiuchumi na kisiasa kuhusu uwekezaji nchini Tanzania. Ambapo kampuni yake imeingia makubaliano na Wakala wa Madini Tanzania (STAMICO) miaka kadhaa iliyopita, lakini haikuathiriwa na mabadiliko ya sheria, kwa kuwa walishaingia katika mabadiliko ya ulipaji wa kodi. 

Akizungumzia suala la viwanda wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha sigara cha Philip Moris Tanzania Ltd, kilichopo mjini Morogoro, Rais amekuwa mwalimu mzuri na kutoa somo kwa Watanzania kuwa kiongozi mzuri ni yule anayetatua kero na sio anayetengeneza kero.

“Serikali imejifunza kutokana na makosa ya hapo nyuma ya kuweka kodi kubwa kwenye  viwanda ambapo ilisababisha viwanda vingi kufa, sasa mazingira mazuri yanawekwa ili kulinda viwanda hivyo”; amesema Rais Magufuli

Kitendo ambacho kinashawishi wawekezaji wengi kuja Tanzania kuwekeza pamoja na wazawa kama alivyofanya Philip Moris Tanzania Ltd na Mansoor, au kiwanda cha sukari kinachotarajiwa kuzinduliwa ambacho kinajengwa  na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA).

Tumuunge mkono Rais kwa kila jambo analotekeleza ili tuende sote kwa pamoja, tuweze kutumia fursa mbalimbali za kazi, biashara na uwepo wa soko la uhakika la Afrika Mashariki lenye idadi ya watu takribani milioni 200. Pia, soko lipo la Jumuia ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) 665.

Mafanikio yote hayo yametokana na usimamizi mzuri wa matumizi ya fedha za umma kwenye wa miradi mikubwa ya maendeleo ambayo ni gumzo ndani na nje ya Tanzania. 

Miradi hiyo ni pamoja na mradi wa reli ya kisasa unaojengwa kwa fedha za ndani ni mfano wa kuigwa  Barani Afrika, Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga  na mradi wa Umeme wa Stiglers Gorge wa Rufiji.

Miradi mingine ni ununuzi wa ndege 6, ujenzi wa kiwanda cha kimiminika cha gesi Mkoa wa Lindi, Mpango wa Elimu Bure, Mabasi ya mwendo kasi na Tanzania ya viwanda kila Mkoa viwanda 100. 

Aidha ujenzi wa meli katika ziwa Nyasa, Victoria na Tanganyika, Mpango wa umeme Kinyerezi 11, 111, usambazaji wa umeme vijijini, upanuzi wa viwanja vya ndege na vita dhidi ya rushwa.

Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

$
0
0
Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo Ya Uume Limekuwa Kubwa Kwa Lika Zote Hapa Kwetu Na Duniani Kote. Tatizo Si Tatizo Bali Ni Iletiba Sahihi Ya Matatizo Haya Chanzo Chake Na Visababisho Vyake.

DALILI;mwili kuchoka, maumivu ya mgongo na kiuno, kutopata choo vizuri hata ukipata choo kinakuwa kigumu au gololi kama mavi ya mbuzi. misuli ya uume kulegea na kusinyaa hata uume kulegea na kushindwa kufika kileleni. miguu kuuma na kuwaka moto.

 TIBA YAKE; 4mix ni dawa pekee inayoweza kutibu matatizo hayo inarudisha nguvu za kiume mara dufu na kufanya urudie tendo la mara tatu bila kuchoka. 

LUKUBA 3 pump; ni dawa inayorefusha na kunenepesha uume hadi inchi 7 hadi 9 na kunenepesha kwa CM 2 na kukupa umbile la uhakika. ITUMIE TIBA HII KUOKOA NDOA YAKO NA KUOKOA KUKIMBIWA NA UMPENDAYE,

 ISABILO; Ni dawa itoayo mafanikio na utajili kwa watu walioshindwa kufanikiwa kimaisha, 

MWITE; Ni dawa ya mvuto kumvuta umpendaye na kumrudisha aliyembali na atakutimizia ahadi zote awe mwanamke au mwanaume. 

LUTA CD; Ni dawa inayotibu magonywa nyemelezi yanayopunguza kinga za mwili na kusababisha mwili kuzoofu na inaondoa miwasho na kuondoa kemikali na taka zinazozagaa mwilini. 

KISUKARI; Tunayo dawa ya DAYON inayotibu na kuzalisha insulin kwa wingi na kumfanya mwenye tatizo hili kupona kabisa ugonjwa wa kisukari, kwani husababisha misuli ya mwili kutokufanya kazi vizuri

MPIGIE DR DAGOTIMAN NDIYE SULUHISHO LA MATATIZO YAKO 0754372325/ 0689013109/ 0620806813 

HUDUMA HII INAWEZA KULETWA POPOTE ULIPO OFISI ZETU ZIPO MBAGALA ZAKHEM DAR ES SALAAM.

Habari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba,Ngiri, Miguu Kufa Ganzi Pamoja na Matatizo ya Nguvu za Kiume

$
0
0
Ni dawa ya nguvu za kiume inayorefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo (Inch 1-7) kwa muda wa siku 6 tu.Dozi hii itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dakika 30, utarudia tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila hamu kuisha bila kujali umri na garantee ni miaka 60 baada ya kutibu tatizo.

Pia tunatibu Busha bila kufanyiwa Oparesheni, korodani moja kuvimba, ngiri, tumbo kujaa gesi na kuunguruma, kutopata choo vizuri, miguu kuwaka moto na kufa ganzi, chango la wanawake, kisukari na kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa.

MIHAYO:
Inarudisha mke, mchumba, hawara na atakutimizia kila kitu unachotaka kutoka kwake ndani ya  saa 2 tu hata kama yupo mbali. atarudi na kumfunga asiwe na mwingine zaidi yako.

Umefukuzwa kazini? unataka kupandishwa cheo? Umepoteza pesa zako kwenye biashara bila kujua umepandikizwa chuma ulete? Njoo urudishe pesa zako. Unauza mali yako haiendi? Wasiliana na mtaalam Challo kwa; 0714006521

Tupo Mbagala

Okoa Ndoa Yako Na Afya Yako Sasa Kwa Kutumia Tiba Asilia Itokanayo Na Mizizi Na Magamba Ya Miti Shamba:

$
0
0
Kwa utafiti mkubwa uliobainika wanaume asilimia 70 wanaupungufu wa nguvu za kiume NA maumbile madogo 

NA ndio chazo kikubwa kinachosababisha ndoa au mahusiano mengi kuvunjika .Mwanaume anatakiwa awe na uume mrefu kuazia nchi 5,6,7,au 8 vinginevyo mwanaume huyo atakuwa na upungufu  wa vichocheo hivi HORMONES ZA GETROGEN

Tumia dawa YA MWIMALA huboresha uume wako saizi upendayo

SHAFTI POWER ni dawa ya nguvu za kiume hutibu matatizo matatu kwa pamoja;
1 kushindwa kurudia tendo na mwili kuchoka 
2 kuwahi kufika kileleni 
3 kulegea kwa misuli na uume, kusinyaa 

Tunatibu presha, fangasi, busha bila kupasua, vidonda vya tumbo, kisukar,i kutopata choo, magonjwa ya moyo, kupooza viungo, ngiri,

Tunapatika mbagara karibu na amana benki kwa wateja wa mwanza na mikoa jirani yupo wakala wetu au wasiliana nami DR MFAUME SIMU NO 0789234653. HUDUMA IZI UTAZIPATA POPOTE ULIPO

Dawa Ya Asili ya Kuondoa Chunusi, Harufu Mbaya na Nguvu za Kiume

$
0
0
"NI DR. CHIEF MALUNDE PEKEE ANAETIBU NGUVU ZA KIUME NA KUMTULIZA UMPENDAE KWA KUTUMIA DAWA ZA ASILI"
-baada ya kujichimbia katika nchi za kiarabu kwa zaidi ya miaka (10)sasa amewasili nchini na dawa za tiba asilia.
 
1/NGOLO 3 POWER-ni dawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa mfumo wa vidonge, ina ubora wa hali ya juu wa kutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa wasiojiweza kufanya tendo la ndoa, inaimarisha misuli iliyolegea na kusinyaa, inarutubisha mbegu za kiume na kukufanya uchelewe kufika kileleni kwa dk.15-25 kuwa na hamu na tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila kuchoka, inarefusha uume inchi 5-8 na kunenepesha hadi cm 4 kwa wenye maumbile madogo, dawa hii imeboreshwa na hutibu matatizo haya kwa muda mfupi tu.
 
2/MAGOYE MVUTO- dawa hii ina uwezo mkubwa sana kumvuta na kumtuliza aliekuacha awe mpenzi, mme/mke itamfanya akutafute mwenyewe ndani ya masaa 3tu na kukutimizia mahitaji yako kwa haraka na kumfunga asiwe na mtu mwingine.
 
3/SUPER LUBEJA- ni dawa ya kushepu umbo no.8 mguu wa bia, kuongeza hips, na makalio kwa muda wa siku 5tu unapata saizi uipendayo, kuondoa makovu, chunusi, harufu mbaya ya mwili michirizi, kupunguza tumbo na maziwa kwa siku 6tu.
 
4/NG'WESHI MIX- ni dawa ya biashara ya kupata wateja wengi, kusafisha nyota, kurudishwa kazini na kupandishwa cheo, kurudisha mali iliyoibiwa au kudhurumiwa.
 
PIA TUNATIBU MAGONJWA SUGU KAMA: vidonda vya tumbo, ngiri, chango na uzazi kwa kina mama: (dawa zote hazina madhara kwa mtumiaji) HUDUMA HIZI UTAZIPATA POPOTE ULIPO: TUNAPATIKANA DSM BUGURUNI SHELI AU PIGA SIM NO_ 0763-181099.

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania Ajiuzulu

Wema, Diamond Mahaba Motomoto Instagram

$
0
0
Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameshindwa kujizuia baada ya mpenzi wake wa zamani na Malkia wa Bongo Movies, Wema Sepetu kutupia picha yake na kumtag akisema “I’m inlove with you there’s nothing dat I wouldn’t do, catch a grenade for you, as long as you want me to…” jambo lililomuibua Diamond na kuanika rasmi mahaba yake kwa Wema.

Hayo yamejiri ikiwa ni saa chache baada ya Wema kuposti kipande cha wimbo mpya wa Diamond aliyomshirikisha staa wa Marekani, Omario, ngoma inaitwa AFRICAN BEAUTY na kumfagilia kwa kazi nzuri aliyoifanya.

Kwa mujibu wa mashabiki wa mastaa hao, inaonekana wamesharudiana na sasa wanaanza kuanika uhusiano wao.

Hivi karibuni ameachana na mama watoto wake, Zari The Bossy Lady kwa kile kilichodaiwa sababu kuwa Diamond amezaa na mwanamitindo Hamisa Mobeto.

Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images