Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

WANYARWANDA WANASWA LIVE WAKIJIUZA JIJINI DAR

0
0
POLISI Mkoa wa Ilala, jijini Dar es Salaam imeendesha oparesheni maalum ya kuwanasa machangudoa wanaofanya biashara hiyo haramu katika eneo lao na kufanikiwa kuwaweka ‘mtu kati’ makahaba kibao, wakiwemo raia wa Rwanda na Burundi... Kamatakamata hiyo ilichukua nafasi usiku mnene wa Alhamisi ya Mei 23, mwaka huu kwenye danguro kubwa la makahaba lililopo Kariakoo, jijini Dar ambalo

MAKALIO YAANIKWA MBELE YA WABUNGE KATIKA SHINDALO LA MISS TABORA

0
0
Mmoja wa washabiki wa muziki wa kizazi kipya ambaye alivaa vazi lililoacha  matako  nje.... Shabiki huyo  alipanda jukwaani kumkumbatia  msanii  maarufu nchini , Ommy Dimpoz  wakati alipokuwa akitoa burudani katika mashindano ya Redds Miss Tabora. Tukio hilo la aibu lilitokea  mbele ya  wabunge.... Mbunge wa Jimbo la Sengerema  Bw.William Ngereja akiwa na Diwani wa kata ya

KIBAKA ACHOMWA MOTO HUKO MBAGALA BAADA YA KUIBA BEGI NA SIMU.....

0
0
Jamaa  akimmalizia mtuhumiwa kwa  tofali...  Kibaka  mmoja  amejikuta  akiyaaga  maisha ya  uraiani  baada ya   kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali.... Tukio hili limetokea maeneo ya mbagala charambe mida ya saa sita mchana baada ya kibaka huyu kuingia  ndani ya nyumba ya mtu na kuiba begi... Taarifa zinaeleza kwamba, raia mwema ambaye ni mkazi wa nyumba hiyo

MABADILIKO: MWILI WA NGWEA UTALETWA JUMANNE NA SIYO KESHO

0
0
 Mwili wa ngwea  utaletwa Tanzania siku ya jumanne  na  siyo  kesho ... Taarifa hizi nikwa mujibu wa tweet alotweet Millard Ayo aliyeko nchini africa kusini ulipo mwili wa marehemu Ngwair <!-- adsense -->

UCHAFU WA BIG BROTHER: HUYU NI MUWAKILISHI WA NIGERIA AKIWA UCHI MBELE YA KAMERA HIZO

0
0
<!-- adsense --> Hiki  ni  kituko  kingine  baada  ya  kile  cha  jana  kilichoanika  nyeti  za mrembo wa Kenya.... Leo  ilikuwa  ni  zamu  ya  mrembo  wa  Nigeria  , Beverly Osu kuzianika  nyeti  zake  kisa  pesa  wanazoshindania....... <!-- adsense --> Hii  ni  video  yake:

"TANZANIA HAIWEZI KUIOMBA RADHI NCHI YA RWANDA"......BENARD MEMBE

0
0
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema kamwe Tanzania haitaiomba radhi Rwanda, baada ya Rais Jakaya Kikwete kuishauri nchi hiyo kufanya mazungumzo na upinzani ili kumaliza vita katika eneo hilo la Maziwa Makuu.   Serikali ya Rwanda iliitaka Tanzania iombe radhi kwa madai kuwa kauli ya Rais Kikwete ni kama tusi kwao na

BIG BROTHER NI SHINDANO LA LAANA......WENGI WAO NI WACHEZA FILAMU ZA NGONO....NA HII NI VIDEO YA USHAHIDI

0
0
<!-- adsense --> Kinachoonekana  ni  kwamba, BBA ni  sawa  na  shindano la  laana  ambamo  asilimia  kubwa  ya  washiriki wake  ni  wacheza  filamu chafu  au  watu  wenye  skendo  mbaya.... JUZI tuliandika  juu  ya  kuvuja  kwa  video  chafu ya mshiriki wa shindano la Big Brother Africa  ambaye  ni  raia  wa Zimbabwe...... Mshiriki huyo  ni  mwanadada  maarufu  kwa  jina  la Pokello. Katika

REGINALD MENGI AMPONGEZA KIKWETE KWA KUUZA NCHI NA KUWAACHA WATANZANIA WAKIUMIA

0
0
  WAKATI wawekezaji wakigeni wakizidi kunufaika huku watanzania wakiendelea kuishi katika lindi la umaskini,Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Media Reginald Mengi ameipongeza Serikiali ya Rais Jayaka Kikwete kwa hatua ya kuuza nchi kwa wawekezaji hao.   Pongezi za Mengi kwa Serikali ya Rais Kikwete imekuwa na tafsiri tofauti kutokana na jinsi ambavyo wawekezaji hao

HUDDAH TOKA KENYA AYAAGA MASHINDANO YA BIG BROTHER..... MWAKILISHI WA TANZANIA ALIA NA WAVUTA BANGI

0
0
Maneno  huumba....!!!  Huddah  ameliaga  shindano hilo... ------------------------ Huddah ambaye ni mshiriki kutoka Kenya   alijikuta akibubujikwa na machozi  jana wakati akimuelezea Angelo (SA) kuhusiana na uhusiano wake wa kimapenzi ambao ni wa ku-beep yani vuta nikuvute ambao amekuwa nao nchini kwao. Mrembo huyo hakutaja jina la mpenzi wake lakini inahisiwa alimaanisha kuwa

WABUNGE WANASWA KATIKA DANGURO LA UCHI MJINI DODOMA....WALIKUWA WAKITOA PESA KWA KUZIWEKA MAKALIONI

0
0
Katika ukumbi maarufu wa muziki au kwa jina jingine ‘club’ (jina linahifadhiwa) uliopo mjini  Dodoma mengi yanatokea. Watu wanaingia mmoja mmoja, wengine kwa makundi na baadhi wapo nje wakipunga kwanza upepo kabla ya kuingia. Siku hizi wanawake wanaingia bure au kwa jina jingine ‘ladies free’ jambo linalosababisha ukumbi huu ufurike watu. Katika ukumbi huu, yapo maeneo mawili. Kuna

KUMNYONYA MWANAMKE AU MWANAUME AU KUFANYA MAPENZI MDOMONI HUSABABISHA KANSA YA KOO

0
0
Kuna wakati mtu anaweza kuweka hadharani siri yake kwa nia njema ya kuokoa maisha ya watu wengine watokana na ushuhuda wake, na hii ni kwa kuwa watu wengi huwa wagumu wa kubadilika hadi waone mfano hai ama mtu aliyeathirika kutokana na tabia flani akitoa ushahidi. Muigizaji mkongwe mwenye umri wa miaka 68 Mmarekani Michael Douglas ameweka wazi kuwa tatizo lake la kansa ya koo

LADY JAYDEE NA T.I.D WASAMEHEANA BAADA YA KUZINGUANA KISA SHOW YA JIDE

0
0
Wakati mwingine matatizo hukutanisha watu waliokosana na kuufufua tena urafiki wao. Harakati za maandalizi ya mazishi ya marehemu Albert Mangwea zimewakutanisha marafiki wawili walioingia kwenye tofauti hivi karibuni, Lady Jaydee na TID. Hivi karibuni TID alitangaza kujitoa kwenye show ya miaka 13 ya Jaydee na kuweka sababu tatu. Kutokana na uamuzi huo wa TID, watu walimchukulia

KAMATI YA NGWEA YAKUSANYA MILIONI 32....MAMA MZAZI APANDWA NA PRESHA BAADA YA MWILI WA NGWEA KUZUIWA HUKO AFRIKA KUSINI

0
0
KAMATI ya Mazishi ya aliyekuwa Msanii wa Bongo Fleva, Albert Mangwea ‘Ngwea’, mpaka jana mchana ilikuwa imekusanya jumla ya Sh milioni 32 kutoka kwa wadau mbalimbali. Kamati hiyo inahitaji Sh milioni 50 kwa ajili ya kusaidia kusafirisha mwili wa marehemu kutoka Afrika Kusini mpaka Morogoro kwa ajili ya mazishi. Fedha hizo pia zinahitajika kwa ajili ya kuratibu shughuli nzima ya mazishi.

COCACOLA WAMNUNULIA GARI JIPYA DIAMOND

0
0
Ukikutana na Diamond mtaani akiwa na mchuma mpya wenye rangi nyeusi, usishtuke sana, jua ni courtesy of Cocacola. Inavyoonekana ni kuwa Cocaboy kama anavyojiita siku hizi, amenunuliwa gari jipya na wadhamini wake kampuni ya vichwaji ya Cocacola. “Ya all ready know what it’s….. tukutane Fuel station!! #CocaCola Mumetishaaaaaa,” aliandika jana kwenye picha ya Instagram ya gari hilo

BIG BROTHER: MSHIRIKI WA TANZANIA APEWA KAZI YA KUTEMBELEA MIGUU NA MIKONO KWA MUDA WA SIKU TANO

0
0
SHINDANO la Big Brother Afrika limeendelea kwa washiriki wawili kutolewa katika wiki ya kwanza ya mchezo huo ambao unashirikisha washiriki wapatao 28 kutoka nchi 14 barani Afrika.  Jumatatu iliyopita washiriki walipata nafasi ya kutoa mapendekezo yao ya kuchagua washiriki ambao wanaona wanafaa kuingia katika Danger Zone ambapo watano kati yao ndio waliotajwa mara nyingi zaidi na

VIDEO: MELI YA MIZIGO YA MV. ARAFAT YATEKETEA KWA MOTO KATIKA BANDARI YA TANGA

0
0
Meli ya mizigo ”Mv Arafat” inayofanya safari zake kupeleka shehena ya mizigo katika nchi jirani ya Kenya , Zanzibar na Mtwara Imeteketea kwa moto katika bandari ya Tanga kwa kile kinachodaiwa kuwa hitilafu ya umeme.   Credit: ITV <!-- adsense -->

RASIMU YA KATIBA MPYA YAPENDEKEZA KUWEPO KWA SERIKALI TATU.....

0
0
Leo ni ufunguzi wa rasimu  ya katiba  mpya  na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema  kwamba  Rasimu hiyo  imependekeza kwamba matokeo ya rais yahojiwe mahakamani. Kwa lugha nyingine ni kwamba katiba ijayo itaruhusu Rais kushtakiwa mahakamani endapo matokeo yake yatatiliwa shaka na wagombea wengine.  Jaji Warioba ameyasema hayo  wakati wa uzinduzi wa

AIBU YA BIG BROTHER LEO IMEHAMIA KWA ANNABEL WA KENYA....HII NI VIDEO YAKE AKIWA BAFUNI

0
0
<!-- adsense --> Alianza  Huddah  kujianika  mtupu  mbele  ya  camera za Big Brother, Akafuata  mrembo wa   Nigeria   Beverly Osu  na  sasa  ni  mrembo  mwingine  wa  Kenya  ajulikanye  kwa  jina  la  Annabel.... <!-- adsense --> Kuitazama  video  hii  ni  shart  uwe mtu mzima.... <!-- adsense --><< VIDEO  IKO  HAPA  >>

ALBERT MANGWEA AAGWA NA WATANZANIA WALIOKO AFRIKA KUSINI.....MWILI WAKE UTALETWA KESHO SAA NANE

0
0
Watanzania waishio nchini South Africa wamepata nafasi ya kuuaga mwili wa Albert Ngwea kuelekea katika safari ya mwisho wakiongozwa na Msanii Bushoke na Mtoto wa Mhe. Kingunge Ngombale mwiru, Kinjeketile wanaosimamia mipango ya kuaga mwili nchini Afrika kusini... Mwili  wa  marehemu  utaletwa Tanzania  kesho  saa  nane..... <!-- adsense -->

HII NDO HUTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, JUNE 3, 2013

0
0
 HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, JAJI JOSEPH S. WARIOBA, KATIKA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU UZINDUZI WA RASIMU YA KATIBA TAREHE 03 JUNI, 2013 KWENYE VIWANJA VYA UKUMBI WA KARIMJEE, DAR ES SALAAM. UTANGULIZI Ndugu Wananchi,Awali ya yote namshukuru mwenyezi mungu kwa kutuwezesha kufikia hatua hii ya leo ya kuzindua Rasimu ya Katiba. pia, niwashukuru ninyi
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images